Hayawezi kumkuta kwasababu kwa maelezo aliyotoa hapo juu yeye hawezi kuvunja sheria za nchi,wanaokumbana na mambo ya hivyo ni watu wajinga wajinga na wapenda sifa kama kina Mdee na wenzake wapiga ganja.Mkuu nakuombea yakukute ya namna hiyo,ili uje uongee tena upuuzi kama huo,na lazima yakukute tu
Pumbavu wewe, maCCM kweli ni chama cha mauaji.Mpuuzi mkubwa wewe, hao watesi akina nani? nyie RAIA wa nchi gani? walitumwa kwenda kufanya vurugu magereza? wengine tungetamani hata huo mkono ungekuwa unaning'inia kabisa, msidhani kukaa mnatukana mitandaoni na wengine tumekaa kimya mkajiona ndo pekee wenye haki nchini, hayo ni majeshi ya ulinzi na usalama, hakuna siasa huko washe.nzi nyie, mnaudhi sana...siku moja ombeni hao mnaowatukana wakae kimya then watuache na mfanye hayo myafanyayo ili mjue vizuri nini maana ya nguvu ya umma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa washenzi nadhani walitumwa kwenda kutorosha waharifu wengine kule,hivyo Mbowe ilikua ni sababu tu ya wao kufika pale. Wafunguliwe mashtaka ya uvamizi wa gereza na nia ovu ya kutaka kutorosha wafungwa.Mpuuzi mkubwa wewe, hao watesi akina nani? nyie RAIA wa nchi gani? walitumwa kwenda kufanya vurugu magereza? wengine tungetamani hata huo mkono ungekuwa unaning'inia kabisa, msidhani kukaa mnatukana mitandaoni na wengine tumekaa kimya mkajiona ndo pekee wenye haki nchini, hayo ni majeshi ya ulinzi na usalama, hakuna siasa huko washe.nzi nyie, mnaudhi sana...siku moja ombeni hao mnaowatukana wakae kimya then watuache na mfanye hayo myafanyayo ili mjue vizuri nini maana ya nguvu ya umma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikiona kwenye uzinduzi wa album ya Harmonize kilikuwa kinakenuakenua tu ka kitaahira fulani hivi.
Walitumwa kuuaKuna wakati unakaa unawaza mtu aliyefanya alikua na malengo gani na akili yake ilikua yotee unakosa jibu
Taahira huyoHapo unaona wapi wameandika kabla na baada? Mkono si umegeuzwa huo mkuu?
Dah...usidanganyike baby wangu.....mleta Uzi katafuta picha ya zamani huko ili awazingue walugaluga..ila usimlaumu..ndiyo kazi yake anatafuta ugali wake...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uwe mfano au la..!! The issue is, kama wamemvua, haipo sawa.... Yaani kwa hili, uwe mwana CCM au siyo mwanaCCM, si sawa... Siamini kama CCM toka moyoni mnafurahia jambo hilihiyo kabla hajavunjika ilipatikana vipi??
Mleta mada si useme tu kuwa huu ni mfano??
Sifurahii hata kidogo,ila muwe mnasema ukweli.Propaganda za kizamani hazifai.
Dah....pitia huku Mkuu...labda utaelewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]hiyo kabla hajavunjika ilipatikana vipi??
Mleta mada si useme tu kuwa huu ni mfano??
Ni askari.Hivi waliofanya unyama huu ni polisi au askari magereza?
Wanawavisha sare hata mgambo wawasaidie.Sina uhakika kama hao wanaopiga watu huwa ni askari wa kawaida
πππDah....pitia huku Mkuu...labda utaelewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Broken Arm Xray Images, Stock Photos & Vectors | Shutterstock
Sent using Beretta ARX 160
Aisee sasa sijui kati yangu na nyie nani muongo.