Kosa la Samia ni kuleta Siasa za Zanzibar huku Tanganyika

Siasa za Zanzibar labda ungesema kutoa nafasi za uongozi wa umma kwa familia na ndugu.
 
Acheni huu UPUMBAVU.

Nioneshe sehwmu yoyote kwenye sheria zetu inayoruhusu👇

  • UTEKAJI
  • Kuweka tu mtu mahabusu bila kosa
  • Kuua watu kikatili
  • Kupiga watu mahakamani
  • Kupora uchaguzi
  • Ufisadi

Nioneshe??

Nadhani hujaelewa kabisa tunaposema ni mfumo!

Mfupo uliopo wa kuiendesha nchi hii, umeipa serikali ya CCM madaraka ya kufanya chochote wanachofanya! In Short Mfumo huu unawapa madaraka ya kuweka watu mahubusu bila kosa! Kuua wakijua huwezi kuwafanya lolote, kupora uchaguzi wakijua wazi huna uwezo wa kupinga matokeo, (Maana hii iko ndani ya Katiba). huwezi kabisa kupambana na Ufisadi, kwa sababu una neemesha watu ambao wanatoa support kubwa kwenye CHAMA TAWALA!.

Nadhani umeelewa ndugu yangu!
 
RIP sheikh Yahya Hussein wa magomeni ,Dar es Salaam Tanzania.
 
Hayo mambo hayajaanza kipindi cha Samia.

Ila kavunja rekodi.

Kama hii ya mass grave ni kweli sjui anawezaje kupata usingizi. Mkapa watu 26 walimtesa mpaka akaandika kwenye kitabu chake kuomba msamaha. Huyu maelfu lakini haonekani kushtuka. Ana roho ngumu sana.

No wonder wanadai anakula MAYAI YA SAMAKI ZERUZERU.
 
Ndio mzoee, tutazoea tu
Tutazoea tu
 
Wewe ndio huelewi. Hakuna cha mfumo wala samia wote wale wale. Akivurunda mtu binafsi mnayempenda mnatetea ni mfumo umesababisha. JPM wengi walikataa tatizo sio mfumo bali ni yeye mwenyewe kiasi kwamba alipofariki wakashangilia na kuanza mapambio Mama ataponya nchi,hadi akina Lissu wakaingia mkenge. Saiv mpo busy kusema mfumo aiseeeeeee kila siku mtaibua excuse mpya mpya
Bado hujaelewa kuwa simtetei Samia nakueleza kuwa hapa una tatizo kubwa kuliko Samia.

Huelewi wapi?

Ina maana leo ukiambiwa na CCM wanamtoa Samia wanakuwekea Emmanuel Nchimbi utakubali na kufurahi kwa kuwa Samia kaondolewa?
 
Mkuu Zanzibar kule wana mifumo yao ya kudili na wakosoaji wa CCM na Serikali yake ndiyo maana Kule Zanzibar CCM wana vikosi vyao vya Ulinzi vinaitwa Vikosi vya Serikali ya Mapunduzi Zanzibar wana vikosi vya aina tatu kuna KMKM, KVZ, JKU, Kikosi cha Kvz kina dili na Wapinzani wanaoikosoa Serikali na Chamq cha Mapinduzi kikosi cha Kvz iki ndicho kilikuja Tanganyika kuua ndugu zetu, KMKM ni kikosi cha kuzuia Magendo huku Tanganyika tunaita Nevi, na kikosi cha JKU ni kikosi cha Kujenga Uchumi ni kama JKT kwa uku Tanganyika. Vikosi vyote nilivyokutajia kikosi cha KVZ ndicho kina nguvu kuliko Vikosi vyote yani hata Polisi hana Nguvu kwa KVZ kule Zanzibar jeshi la polisi ni kama Mgambo tu wa Tanganyika, kikosi Cha Kvz kinaratibiwa na CCM wananchi wa kule wanawaita Askar Mazombi wao kuua mtu Dakika tu na hawashtakiwi kwasababu ni kikosi cha CCM wanakitumia kwa Shughuli zao za kizani. Ndiyo Maana kule ni ngumu kusikia kesi za Watuhumiwa wowote zikienda Mahakani za wanaoikosea Serikali au Wachochezi. Yani kule Zanzibar ajira zao ni za Wanachama wa CCM tu na Serikali ikitaka kuajiri Askari wa Vikosi vya Mapinduzi Zanzibar CCM ndiyo wanao simamia mchakato wote wa kuchukua vijana. Yani ata nafasi za Ajira za muungano mfano Uhamiaji, polisi, JWTZ nafasi zinatangazwa kwenye ofisi za Chama Mkoa ili upate Ajira lazima utambulike kwenye Tawi lolote la CCM. Yani ukiomba kazi Za serikali usaili wake Unafanywa kwa kuulizwa uanachama wako na Wanachama wa Tawi gani na Mzee wako Chama chake ni kipi kama Mzee wako ni No reform kazi hakuna.
 

Sasa hapo mfano wako mwenyewe wa JPM bado hujaelewa kuwa tatizo kubwa zaidi si mtu ni mfumo?

Huelewi wapi?

Nimekuuliza Samia akijiuzulu amuachie Emmanuel Nchimbi utakubali na kufurahi?

Hujajibu.
 
Zanzibar kuna maisha ya hatari sn
 
Mfumo ni illusion tu.

Hoja kubwa ni watawala kutoheshimu hizo taratibu chache zilizowekwa.

Kama shwria na katiba yetu inasema watu wakamatwe, ila wao WANATEKA maana yake hawafuati utaratibu.


Na kama hawafuati utaratibu ndio kitu kinaleta CIVIL DISOBIDIENCE, maana sheria zinalindwa na WATU.
 
Serikali imekuwa na historia ya kudanganya takwimu. Sidhani kama ile ya Mkapa ilikuwa watu 26.

Pia nahisi kwenye tukio la MO29, hawakumpa taarifa za kweli za hiyo operation mwanzoni. Labda baadae sana ndiyo walimpa picha kamili.
 
Serikali imekuwa na historia ya kudanganya takwimu. Sidhani kama ile ya Mkapa ilikuwa watu 26.

Pia nahisi kwenye tukio la MO29, hawakumpa taarifa za kweli za hiyo operation mwanzoni. Labda baadae sana ndiyo walimpa picha kamili.

All in all. Haya mauaji ya safari hii yamevuka mipaka.
 
Lakini Wapemba hao hao ndio hawaamini Muungano.
 
Tatizo ni CCM ambayo haina standards. Mnaweka kiongozi wa chama na serikali anafanya atakavyo huku akitazamwa tu.
Upimaji wa nchi hii utaanza kutokea CCM ikiuliwa.
 
Zanzibar kuna maisha ya hatari sn
Kweli kule hakuna uhuru wa kujieleza kama Tanganyika yani kule Raia wachini kabisa muuza mihogo au Muuza kahawa akisubutu kuiongerea vibaya CCM tu anapotezwa. Kule nahisi wameiga mifumo ya nchi za kiarabu zinazotawaliwa kifalme, Nchi za Kiarabu zinazo tamale kifamilia hakuna uhuru wa kuhoji jambo lolote lile kuhusu utawala.
 
All in all. Haya mauaji ya safari hii yamevuka mipaka.
Sawa ni kweli ila na wananchi na wenyewe wanastahili kujitathmini kwa nini wameiwezesha CCM na serikali zake kufika hadi kuona wanaweza kufanya haya yote na wasifanywe chochote.

Kufumbia macho uovu mdogo umefungua mlango wa uovu mkubwa kutokea. Sheria mbovu, kukamatwa kwa wanasiasa wa upinzani mara kwa mara. Kutekwa kwa mtu mmoja mmoja, na wengine kuuawa. Haya yote yalistahili kusimamisha nchi ila watu waliona hayawahusu.

Kwa kiasi fulani wananchi na wenyewe wanastahili lawama.
 
Lakini Wapemba hao hao ndio hawaamini Muungano.
Wao wanataka Mamlaka kamili ya Zanzibar wajiamulie mambo yao na siyo Mambo yao yaamuliwe na Tanganyika, Unajua kama October 29 Mtandao ulizimwa mpaka Zanzibar je sasa inahusika vipi na vurugu za Tanganyika yani mtu akimua tu leo ngoja niwazimie Umeme na Mtandao Zanzibar na anawazimia tu. Kule mtandao ulizimwa watalii wakateseka.
 

Wananchi wako innocent. Wananchi waliwaaamini viongozi wao ambao walitake advantage.

Tatizo CCM wameibadilisha system taratibu taratibu na kuifanya ya uonevu kiasi kwamba wananchi wamekabwa kwenye kona. Kinachotokea kwa sasa ni uvumilivu kufikia mwisho. Kama ni sheria mbovu zimetengenezwa na serikali. Wananchi wakitoa maoni hawasikilizwi kabisa.
 
Lakini haya mambo mbona yalianza hata kabla ya Samia kuwa rais?

Magufuli alipoteza watu sana pia, naye ni Mzanzibari?
hv umesoma ukaelewa bandiko la jamaa au umetumia hisia , kasema waliotangulia waliteka ila sio hadi watu wa kawaida kabisa , waliteka watu ambao kwel ni tishio kwao
Mim enzi za Jpm nliishi mtaa ambao umejaa bendera za Chadema tu , ila sikuwai ona watu wakipotezwa .
Nlikuwa Mwanza enz za utawala wa Jpm watu walimkosoa Jpm ila sikuwai ona wakitekwa
Leo hata mtu akiimbwa Nywi nywi unatekwa

Usishabikie utekaj , leo kwa wengine kesho kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…