hao wamefungwa na Katiba , katiba imempa mandate kubwa rais , hvyo watu wanalinda ugali wao ila yule mkuu wa nchi ndo anaeamu njia ipi tunaenda na yeye ndo wa kulaumiwaTuseme hilo ni kweli.
Swali linakuja.
Je, watu mamilioni wote hawa wa Tanganyika, wamekubali vipi kuletewa siasa za kigeni ambazo si zao zikafanya yote hayo?
Hawa wakuu wa polisi, usalama, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, watendaji wa serikalini, wote ni wazanzibari nao?
Wameruhusuje siasa hizi kuendelea Tanzania?
ww ndo muongo hata mm nmeishi Zenj , haya mamb yapoMuongo mkubwa, ZNZ watu wanaisema CCM na Serikali yake vijiweni na hakuna aliewahi kuchukuliwa. Munapenda kuzua vitu eti ZNZ acheni uzushi.
Jpm alikuwa anasingiziwa , hawa hawa ndo walikuwa wanateka watu enz za Jpm , Jpm aliwaita wakosoaj wake kama Gwajima wakajiunga na serikali .Sijui watu hili huwa halioni.
Sasa hapo mfano wako mwenyewe wa JPM bado hujaelewa kuwa tatizo kubwa zaidi si mtu ni mfumo?
Huelewi wapi?
Nimekuuliza Samia akijiuzulu amuachie Emmanuel Nchimbi utakubali na kufurahi?
Hujajibu.
hv umesoma ukaelewa bandiko la jamaa au umetumia hisia , kasema waliotangulia waliteka ila sio hadi watu wa kawaida kabisa , waliteka watu ambao kwel ni tishio kwao
Mim enzi za Jpm nliishi mtaa ambao umejaa bendera za Chadema tu , ila sikuwai ona watu wakipotezwa .
Nlikuwa Mwanza enz za utawala wa Jpm watu walimkosoa Jpm ila sikuwai ona wakitekwa
Leo hata mtu akiimbwa Nywi nywi unatekwa
Usishabikie utekaj , leo kwa wengine kesho kwako
Mtu wa kawaida na mtu asiye wa kawaida ni nani?hv umesoma ukaelewa bandiko la jamaa au umetumia hisia , kasema waliotangulia waliteka ila sio hadi watu wa kawaida kabisa , waliteka watu ambao kwel ni tishio kwao
Mim enzi za Jpm nliishi mtaa ambao umejaa bendera za Chadema tu , ila sikuwai ona watu wakipotezwa .
Nlikuwa Mwanza enz za utawala wa Jpm watu walimkosoa Jpm ila sikuwai ona wakitekwa
Leo hata mtu akiimbwa Nywi nywi unatekwa
Usishabikie utekaj , leo kwa wengine kesho kwako
UTEKAJI ULIANZIA KWA KIKWETE LABDA KAMA MLIKUWA HAJAZALIWA. DR. ULIMBOKA ALITEKWA NA KUPIGWA NA KUTUPWA MSITU WA MABWEPANDE WAKATI WA MAGUFULI? SEMA WAKATI WA JAKAYA MATUKIO YA UTEKAJI HAYAKUWA MENGI ILA YEYE NDIYE MWANZILISHI NA HATA MAGUFULI YAWEZEKANA ALIJIFUNZA KUTOKA KWA MTANGULIZI k
Kipindi cha jk utekaji haukuhusiana na siasa wala.kukosolewaUTEKAJI ULIANZIA KWA KIKWETE LABDA KAMA MLIKUWA HAJAZALIWA. DR. ULIMBOKA ALITEKWA NA KUPIGWA NA KUTUPWA MSITU WA MABWEPANDE WAKATI WA MAGUFULI? SEMA WAKATI WA JAKAYA MATUKIO YA UTEKAJI HAYAKUWA MENGI ILA YEYE NDIYE MWANZILISHI NA HATA MAGUFULI YAWEZEKANA ALIJIFUNZA KUTOKA KWA MTANGULIZI WAKE YAANI KIKWETE.
Hakuna kujificha kwenyw katiba katika mambo dhalimu.hao wamefungwa na Katiba , katiba imempa mandate kubwa rais , hvyo watu wanalinda ugali wao ila yule mkuu wa nchi ndo anaeamu njia ipi tunaenda na yeye ndo wa kulaumiwa
Kipinfi cha jk utekaji haukuhusiana na siasa na wala hakuna tukio la jk kukosolewa kiasiasa watu wakatekwaWatu sijui wameanza kufatilia siasa juzi
Sasa kama huitaki CCM wala Nchimbi huoni kuwa kuweka energy zako nyingi kwenye kumtoa Samia ni ujinga?Mzee wa kuhamisha magoli inaonekana haufahamu hata unachotetea au kubishania.
Hakuna sehemu watu wanaitaka CCM au nchimbi. Watu wanataka free and fair election. Lissu aachiwe.
Siwezi kukubali maana hakukua na uchaguzi bali uchafuzi.
Free and fair election na reforms ndicho watu wanachokitaka. Sio samia ajiuzuli kisha nchimbi achukue madaraka hapana haikubaliki hio
Shambulio la lissu lina mkono wa ccm mtandao na chadema ndiyo maana samia alikwemda mbio kumwona lissu akiwa hospital Nairobi ili ionekane kuwa wao kina Samia (mtandao) ni wema tofauti na jpm ...sasa swali..kwa nini samia aliwatenda uovu wakenya na waganda waliokuja kumwona huyo huyo lisu akiwa mahakamani? Tumia akili yako vizuri ...Samia aliye kwenda mbio kumwona lissu ndiyo huyu huyu aliye waumiza wanaharakati wa haki waliokuja kumwona lissu ..je ni samia huyu huyu aliye umizwa na lissu kupigwa lisasi ndiyo huyu huyu aliye waua watanganyika zaidi ya elfu 10 na kuwafukia mafichoni .....NILIWAI KUWAAMBIA KUWA CCM MTANDAO WALIKUWA BEGA KWA BEGA NA CHADEMA KUMPIGA VITA JPM .Utetezi huo hauna mashiko. Nyie ndiyo mpaka leo mnataka kutuaminisha shambulio la Lissu lina mkono wa CHADEMA wenyewe.
Siyo kweli, hizo propaganda kawahadithie watoto wachanga. Pia Samia hakwenda "mbio" kumuona Lissu na pia hakwenda bila ruhusa ya Magufuli.Shambulio la lissu lina mkono wa ccm mtandao na chadema ndiyo maana samia alikwemda mbip kumwona lissu akiwa hospital Nairobi ili 9onekane kuwa wao kina Samia (mtandao) ni wema tofauti na jpm ...sasa swali nini samia aliwatenda uovu wakenya na waganda waliokuja kumwona huyo huyo lisu hakiwa mahakamani? Tumia akili yako vizuri ...Samia aliye kwenda mbio kumwona lissu ndiyo huyu huyu aliye waumiza wanaharakati wa haki waliokuja kumwona lissu ..je ni samia huyu huyu aliye umizwa na lissu kupigwa lisasi ndiyo huyu huyu aliye waua watanganyika zaidi ya elfu 10 na kuwafukia mafichoni .....NILIWAI KUWAAMBIA KUWA CCM MTANDAO WALIKUWA BEGA KWA BEGA NA CHADEMA KUMPIGA VITA JPM .
Na kuwazuia wapinzani wasifanye siasa, ni agizo la CCM mtandao?Shambulio la lissu lina mkono wa ccm mtandao na chadema ndiyo maana samia alikwemda mbio kumwona lissu akiwa hospital Nairobi ili ionekane kuwa wao kina Samia (mtandao) ni wema tofauti na jpm ...sasa swali..kww nini samia aliwatenda uovu wakenya na waganda waliokuja kumwona huyo huyo lisu hakiwa mahakamani? Tumia akili yako vizuri ...Samia aliye kwenda mbio kumwona lissu ndiyo huyu huyu aliye waumiza wanaharakati wa haki waliokuja kumwona lissu ..je ni samia huyu huyu aliye umizwa na lissu kupigwa lisasi ndiyo huyu huyu aliye waua watanganyika zaidi ya elfu 10 na kuwafukia mafichoni .....NILIWAI KUWAAMBIA KUWA CCM MTANDAO WALIKUWA BEGA KWA BEGA NA CHADEMA KUMPIGA VITA JPM .
JPM alisema wazi kuwa wapinzani na wanasiasa wangoje kwanza anyoshe nchi ....unajua maana ya haya maneno ? Jpm alikuwa anapambana na maadui wakubwa wa taifa ambao walikuwa ndani ya CCM YENYEWE .Na kuwazuia wapinzani wasifanye siasa, ni agizo la CCM mtandao?
Siyo kweli, hizo propaganda kawahadithie watoto wachanga. Pia Samia hakwenda "mbio" kumuona Lissu na pia hakwenda bila ruhusa ya Magufuli.
Mna ugonjwa sugu wa kukwepa uwajibikaji. Ni ugonjwa wa mifumo yote ya kijamaa. Mfumo unapofeli, badala ya kuwajibisha wahusika, mnatafuta wa kumuangushia jumba bovu ili mfumo upone. Huo ni ugonjwa sugu wa mifumo ya kijamaa na kisoshalisti.
Ni vizuri umefunguka mapema ili nisipoteze muda wangu kujadiliana na wewe.Lissu hata angepigwa shaba kwa amri ya JPM ilikuwa sahihi maana alianza kutumikia mafisadi kina Rostam Aziz na mabeberu ya madini ndiyo akaja na hoja ya kushitakiwa MIGA
Sasa kama huitaki CCM wala Nchimbi huoni kuwa kuweka energy zako nyingi kwenye kumtoa Samia ni ujinga?
Samia akisema "Sawa, nimekusikia, naondoka, namuachia nchi Nchimbi" huoni kuwa hoja yako ya kumbagaza na kumtoa Samia itakuwa imekurudisha kwenye uongozi wa CCM tena?
Kwa nini unashindwa kufanya focus comprehensively kuitoa CCM unaishia ku focus kwenye mtu mmoja wakati tushaona hao viongozi wanakuja na kuondoka lakini tatizo linabaki palepale kwa sababu tuna matatizo makubwa zaidi ya hao viongozi individuals tu?
Huoni kujikita kumsakama na kumuondoa Samia ni kuji shortchange wewe mwenyewe kama unachotaka ni kuiondoa CCM?
Wewe tatizo lako akili ndogo huelewei somo unafanya logical non sequitur fallacy unaiongezea na ad hominem fallacy.Team samia upo vizuri. Hebu ngoja nirudi kusoma katiba ambayo samuya aliita ka kitabu, kama ina kipengele cha yeye kujiuzulu kisha nchimbi anashika usikani bila general election.
Samia kaua watu wengi sana wasio na hatia kisa kuiba kuingia madarakani. Waliotoka hawakuua kwa kiwango hiki alichofanya yeye. Hawakujaza ukoo wao bungeni kama yeye. Waliotoka hawakuwatumia watoto wao ambao hawana ajira wala vyeo serikalini kupokea wageni wa kitaifa kama Abdul. Samuya kazidi na hasafishiki kabisa
Keynez: Nilikuwa na mawazo kama yako. kwa sababu nchi hii imejengwa katika kujipendekeza na kumpendeza Mkuu, inawezekana kabisa Samia hakupewa taarifa halisi (ya kweli) nini kilitokea Octber 29. Nadhani aliambiwa kuna tafrani ndogo ndogo tu za hapa na pale, na kuna vijana wameingia toka nchi jirani, Na yeye bila kujua akatamka hivyo.Serikali imekuwa na historia ya kudanganya takwimu. Sidhani kama ile ya Mkapa ilikuwa watu 26.
Pia nahisi kwenye tukio la MO29, hawakumpa taarifa za kweli za hiyo operation mwanzoni. Labda baadae sana ndiyo walimpa picha kamili.