Kuanza leo usiku mpaka Nov ndio tutajua kama nchi hii nayo ina Deep State au namna gani?

Tatizo Umereply Kwa jazba Sana mkuu,
Hujui sababu yake?
Mambo muhimu kwa taifa hili mnapoyafanya yaonekane kuwa stori za vijiweni!
Maslahi ya nchi, unayageuza kuwa maslahi ya Genge la watu.; hiyo bado ni nchi au ni uwanja wa makahaba!

Mwanzo nilikuchukulia kuwa unao umakini fulani, lakini jibu hilo uliloweka hapo ni la kipuuzi kabisa.
 
DeepPond kaongea ujinga mwingi sana kwenye huu uzi mpaka nimebaki kumshangaa kwakweli
 
Hata mimi nimemdharau sana DeepPond kwenye huu uzi. Yan nimemvua heshima na vyeo vyooote. Yan bure kabisa
 
Ukizungumzia "Uchaguzi huru na haki" tambua Hilo sio MIONGONI mwa "maslahi ya taifa" . USIJITIE MGUMU KUELEWA
Wewe ni mpumbavu mnoo bwana mzee. Baki tu na harakati za mama J, ndio ukomo wa upeo wa akil zako brother,haya mambo ya kutumia brains ni hatar kwa afya yako huja qualify. U sound sooo idiotic man, very hopeless head
 
👍
Wewe ni mpumbavu mnoo bwana mzee. Baki tu na harakati za mama J, ndio ukomo wa upeo wa akil zako brother,haya mambo ya kutumia brains ni hatar kwa afya yako huja qualify. U sound sooo idiotic man, very hopeless head
 
Je
Tunaweza kuikosoa sana ccm,

Ila tusisahau CCM ya kule china (CCP) ndio imeiletea maendeleo makubwa Sana yote tunayoyaona kule china.

UCommunist sio mbaya Kama ukisimamiwa vizur, Kwa malengo na uzalendo
Je Tanzania akili hiyo ya kuusimamia ukomunisti ipo? Kwa sasa Tanzania ufisadi aliojaribu kuudhibiti Magufuli umerudi kwa kasi ya 6G. Kwa hali ilivyo nchi yetu imefikia kikomo sidhani kama tutakuja kufikia maendeleo ya nchi za ulaya au Asia. Tutabaki third country mpaka mwisho wa dunia.
 
Democracy ipo sana. Democracy ni mpambanaji mzuri wa ufisadi, democracy ni muhamasishaji smart wa uwekezaji katika uchumi, Democracy ni mlinzi mzuri wa maslahi ya nchi. Democracy ni charger mzuri sana wa akili ya vijana katika ugunduzi na ubunifu. Ukifanikiwa katika Democracy lazima upige hatua katika maendeleo ya vitu na watu. Maslahi ya kundi la watu wachache haiwezi kuipeleka nchi popote. Bila Democracy tutabaki kuhangaika na vitu vya kujikimu ili tuendelee kusogeza siku za kuishi.
 
Jumuiya hizo pia zinatambua kuwa taratibu
Tujiulize kama nchi tunaweza kumudu uchaguzi utakaogharimu fedha yote halafu ustambuliwe na Watanzania walio wengi na Jumuiya ya kimataifa.Ni sawa na kupanda shamba kubwa na usivune chochote.
Chadema akili kubwa walikuwa wanapita na petition hapa CCM walipigwa bao mapema sana. La msingi zifanyike Reforms kila Chama na kila mgombea atangaze na kunadi sera zake wananchi waamue
 
Confirmed ! No Deepstate in Tanzania..Hata hii Idara nayo ipo very Shallow sana + MI Loh !
 
Yaani huu ni Uchaguzi Mkuu wa 13 Tanzania, lakini watu wana porojo kibao. Nchi hii ni imara na itaendelea kuwa imara. Tunakunywa Konyagi tunaendelea kunywa raha mustarehe hadi Serikali Mpya ya CCM itakapoingia madarakani!
Konyagi unanywea wapi siku hizi 😁 ?
 
Warahkma whatullai wabarakat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…