Hujui sababu yake?Tatizo Umereply Kwa jazba Sana mkuu,
Mambo muhimu kwa taifa hili mnapoyafanya yaonekane kuwa stori za vijiweni!
Maslahi ya nchi, unayageuza kuwa maslahi ya Genge la watu.; hiyo bado ni nchi au ni uwanja wa makahaba!
Mwanzo nilikuchukulia kuwa unao umakini fulani, lakini jibu hilo uliloweka hapo ni la kipuuzi kabisa.