Kuanza leo usiku mpaka Nov ndio tutajua kama nchi hii nayo ina Deep State au namna gani?

Mpaka muda huu hajaingia bungeni
 
Mpaka muda huu hajaingia bungeni
 
Ufafanuzi mzuri sana huu
 
!...hivi! Au ni expert wa kuharibu na ukilaza?
Mpaka tuandae watu wetu wenyewe ndipo tutakuwa na Hali tunayohitaka. Hivi, Unatagemea Mossad wawape ilimu Kenya intelligence (KI) ambayo inaweza kuwafanya KI wajitegemee bila kuhitaji msaada wa Mossad Hata kama wamewalipa ada ya bajeti ya nchi ya miaka mitatu!? Lah hasha...!
===
Natamba na Ds zangu mbili !!! ha haaa!
 
Tulikuwa tunakwenda vizuri, lakini sasa naona unajichanganya mwenyewe. Soma tena pale mahali pa "Amiri Mkuu" ulivyoandika huko juu. Hayo maneno sasa unayakana?

Na haya mambo ya "maslahi ya taifa..."; hivi huwa mnaelewa maana ya maneno hayo kweli mnapo yatumia?

Ni maslahi gani ya taifa yanayokataza waTanzania wasiwachague viongozi wanaowataka wao wawaongoze kwa kuwachagua wao katika uchaguzi ulio HURU na HAKI?
 
Utakumbuka kilio cha mtu mzima sio?
 
Kuna mstari mwembamba sana unaotenganisha ya ujamaa na ucommunist,

Ukibisha na Hilo Basi TU, umeamua kubisha
🙂🙂🙂Kwa kuhamisha magoli sikuwezi.Anyways, ni aibu ya kukiri kushindwa tu ila nadhani umejifunza.
 
Hiyo ndo maana halisi ya kuwasogeza karibu ili kufanya monitoring.
Hili la kuwaachia viongozi wenye maamuzi na turufu muhimu wale ili watamani aendelee kubakia kama rais liko wazi. Na ujanja mwingine ni kuhonga wale watu wenye influence kama viongozi wa dini na vyama vya upinzani. Mtu kama Zitto tayari ameshahakikishiwa viti kadhaa. Mbowe naye alishawekwa sawa ila Lissu asiyehongeka ndiye akatibua. Ujanja mwingine ni ule wa kumtumbua kiongozi halafu baada ya muda anamrudisha sehemu nyingine. Hili linafanya kusiwepo na uasi kwa wale anaotofautiana nao kwa sababu ya kutegemea kurudishwa iwapo watakuwa wavumilivu hata pale wanapotumbuliwa. Ila haya nayo yatafika mwisho kwa sababu hao viongozi wenzake wakishaiba fedha za kutosha automatically watataka madaraka. Hii ni nature ya binadamu wengi.
 
Refa katoa extra time hadi Agost 3. Muda huu watu huwa wanakomboa magoli hata matatu na kuongeza. Here we go with the so called deep state.
 
Ila tusisahau CCM ya kule china (CCP) ndio imeiletea maendeleo makubwa Sana yote tunayoyaona kule china.
Ni kweli China kuna maendeleo makubwa ila hiyo imetokana na zero tolerance kwa ufisadi, mafisadi wakibainika hunyongwa chap.

Kwa ccm ukisema unyonge mafisadi wataisha wote.

Hiyo ndiyo tofauti ya CCP na ccm

UCommunist sio mbaya Kama ukisimamiwa vizur, Kwa malengo na uzalendo
Kwa kiwango cha ufisadi ndani ya ccm hilo haliwezekani
 
Uko sahii mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…