Umesema kweli ila penye hasara hapo ndo pakubwa na wengi tu wameila na mie huenda nikawa miongoni mwao,😂HAPANA, familia nyingi ukiona mtoto wa kiume kasahau kwao bhasi angalia huduma inayopelekewa familia ya mke wake. Usishangae hata hao watoto wa kike wanaosifiwa utakuta wanapush waume zao wapeleke huduma kwao na sio alipozaliwa mwanaume. Ni familia nyingi tu utakuta ndugu wa mke wanajiachia for years ila wa mume akikaa hata wiki mbili tayari anatamani kuondoka ndio maana watu wengi hujihisi comfortable kuishi kwa dada na sio kaka
Kama umezaa watoto wa kiume wengi trust Me, huwezi kukosa yule atakaeijua thamani yako kwa asilimia zote lakini kubwa kuliko waombee wapate wake watakaokuwa wanawapush kukumbuka. Ila ukipata watakaokuita mnoko au mchawi, hasara ni yako
KwannNatural mwanaume unapofika miaka arobaini, inatakiwa mke wako awe na mimba ya mtoto wa mwisho,
Matokeo ya kutokuwa na mtoto wa kiume kwenye familia yako....kubali uzeeni kwako ukalelewe ukweni....na ni udhaifu mkubwa....na hapo kale kamsemo ketu ka kujifariji kuwa watoto wote ni sawa huwa kana poteana.....Mtoto wa watu umkute amesomeshwa wewe uje kusema unamiliki mtoto na mzazi wake. Huu ni utomvu wa adabu.
🤣🤣🤣 utafanyaje sasa au ndio unatafuta kakike kwa nguvu. Ila ukitazama kabisa kiundaniUmesema kweli ila penye hasara hapo ndo pakubwa na wengi tu wameila na mie huenda nikawa miongoni mwao,😂
Mungu asikie kilio changu sio siri, nimpate mrembo na mimi loh!🤣🤣🤣 utafanyaje sasa au ndio unatafuta kakike kwa nguvu. Ila ukitazama kabisa kiundani
mtoto toka akiwa mdogo unaiona tabia yake, sasa muangalie yule anaekupenda sana au ana huruma sana na wewe bila choyo
Ukimpata, kamtolee sala na sadaka ya mwanamke na kizazi chake kwa mwamposa 🤣
Kati ya mtoto wa dada na wa kaka kibaolojia nani ni ndugu yako? watoto wa kiume tuna risk kubwa ya kubebeshwa watoto ambao sio wetu kwa kiasi kikubwa, unasema unaendeleza ukoo kumbe mtoto puga 2,ukweli usemwe mwanaume kizazi chake huendelezwa na mtoto wa kiume....mtoto wa kike huendeleza kizazi cha mume wake....
Yeah ni familia nyingi tu watoto wa kike hawatimizi majukumu yao. Hivyo ni kumuomba Mungu tu akujaalke mtoto atakaekuwa na huruma juu yakoMungu asikie kilio changu sio siri, nimpate mrembo na mimi loh!
Wapo watoto wa kiume wanaofanya vizuri kuzidi wa kike, nakumbuka baba yangu alimuuguza mama yake(bibi) ilifikia hatua, anamuamsha anamkalisha anajisaidia anamnawisha anamvisha na kumbeba kumrudisha kitandani,, nilikuwa mdogo wakati huo lkn nikikumbuka nasisimkwa na si kwamba bibi hakuwa na watoto wengine ama wa kike hawakuwepo ila ni baba tena kitinda mimba wake ndiye alikuwa akifanya hayo😥
Tuseme Amina,🙏🙏Yeah ni familia nyingi tu watoto wa kike hawatimizi majukumu yao. Hivyo ni kumuomba Mungu tu akujaalke mtoto atakaekuwa na huruma juu yako
Hatushindani mkuu ila nakushauri tu mzee. Ombea sana watoto wako mkuu na uwalee vizuri.hata wewe na ukubwa huo unaweza ukaingiwa na tamaa ukachenji gia angani, ukawa kama hao "mashoga" zako wawili uliowataja. karibu sana ndg.
Basi omba Mungu isije ikatokea siku moja akakuambia kapata mchumba, kwa furaha unamwambia amlete umwone akakuletea bonge la kidume rijali... mindevu kama yote, abs za kueleweka .... ndio utasema bora ile siku ningevaa condom au ningepiga punyetopamoja na ugangwe wangu wote, nilitoa machozi ya furaha ile siku nilipopewa taarifa kwamba shemeji/wifi yenu kanizalia salama mtoto wa kiume.
that feeling is something i can't explain, wababa wenzangu waliobahatika kupata watoto wa kiume wanajua nazungumza nini.
kwa sasa jembe langu yupo standard two halafu he is a real version of me copy and paste. mdogo wake aliyemfatia pia na yeye ni kidume, sura kama kaka yake utadhani mapacha.
Ni wanawake wachache wameandikwa kwenye Bible, zamani hesabu ilifanyika kwa wanaume tu.Mtoto ni mtoto ndiyo, lakini bado najiuliza mbona kwenye biblia ukisoma sijui uzao wa Isack, Yakobo, Yoseph nk. Unaona wakibarikiwa mzao wa kwanza, pili... Wote wa kiume. Na Kama Mwenyezi Mungu alimuahidi mtu mtoto basi alikuwa wa kiume! Kuna kitu hapo
Waje na wake zao niwape mbegu za giantBwana Mchanga alipata nafasi ya kwenda masomoni nchi za Scandinavia, alibahatika kupata mke wa Kizungu na baraka ya mabinti watatu. Baada ya masomo Mrs Mchanga alikataa kurudi Tanzania. Waliachana kwa amani na bwana Mchanga kurejea nyumbani.
Alipata ajira serikalini kama afisa mwandamizi. Alikutana na Ruth na wakafunga ndoa. Ruth alipata mtoto wa kike, Mchanga alikua mvumilivu, wapili akaja binti mrembo. Hapa Bwana Mchanga uvumilivu ulimwishia. Alikwenda kijijini kwao na kuoa kabinti kigori kabisa. Kwakua uwezo wa fedha alikua nao alimjengea nyumba nzuri pale kijijini.
Huku kwa Ruth alimuacha akiwa mja mzito na alijaliwa kupata mtoto wa kiume. Ruth hakua na habari kuwa mume wake ana mke kijijini. Kila weekend Mchanga alikwenda kijijini akidai anajiandaa kugombea Ubunge. Ruth slipata habari mume wake ana mke mwingine yeye akiwa na mtoto wa pili wa kiume.
Huyu mke wa kijijini alianzisha leagu na Ruth, Ruth akiwa career woman hakuwa na muda huo, aliachana na Mchanga na kugaiwa mali zake. Maisha yanaendelea na watoto wakakua.
Mchanga akianza familia mpya kijijini. Umri nao unasogea. Sasa Mchanga anastaafu akiwa na watoto wanasoma shule ya msingi. Wale mabinti wa Scandinavia wameolewa na wameanza familia.
Katika jitihada za kutafuta mtoto wa kiume sasa Mchanga anatumia mafao ya kustaafu kulea watoto.
Naam!!! Na ile ya Yesu kuwa na wanafunzi kumi na wawili unaionaje? kiukweli mtoto wa kiume ikiwezekana tumwombe Mwenyezi Mungu awepo kwenye familia.Ni wanawake wachache wameandikwa kwenye Bible, zamani hesabu ilifanyika kwa wanaume tu.
Usiseme hivyo mkuuNikiangalia navyohangaika na home kwetu, pamoja na ndugu zangu,,sio siri naona kabisa mtoto wa kike Ni muhimu Sana kwenye familia kuliko hao wa kiume, wanawake hatubebi majina ya koo zetu ila hatusahau makwetu hasa wazazi, tofauti kabisa na wa kiume akipata familia kwao ndio hata hawafikilii kabisaa
Nikiangalia hapa nimejaza madume tu naiwaza hasara nitakayopata miaka ijayo nakosa nguvu kabisa[emoji26],
Mbona rahisi sana kupata bby girl kuliko kupata bby boyNataka wa kike hata awe mmoja tu,, hayo ndo matamanio yangu