Kukosa mtoto wa kiume inawasumbua sana wanaume kufanya wakose amani

Wanaume wanakimbiliaga kulaumu wanawake kwenye watoto wa kiume huku wao ndio wazalishaji wa jinsia hiyo.
All in all mtoto ni mtoto. Unaweza ng'ang'ana wa kiume wa kiume anakuja james delicious. Kumtanguliza tu Mungu katika kila jambo.
na vp akiwa james delicious afu ukute ndo anamchango mkubwa wa kifedha na kiuchumi kuliko nyie wote na ukute ndo tajiri na mtoaji mkubwa wa misaada kama yule choko/shoga wa south Africa bob risk?
 
na vp akiwa james delicious afu ukute ndo anamchango mkubwa wa kifedha na kiuchumi kuliko nyie wote na ukute ndo tajiri na mtoaji mkubwa wa misaada kama yule choko/shoga wa south Africa bob risk?
Bob risk ni wa nigeria mbona. Sasa yule ni kidume kwamba ataendeleza ukoo?
 
Nipe mbinu maana nimeshindwa,, Niko serious nipe mbinu mwenzio

Mi naona ni rahisi zaidi kupata wa kiume
Hapana....Mwenyewe natafuta bby boy aise.

Ongea na dokta pia google google utapata mbinu dear....
 
Ukiona Muda Mwingi Mwanaume Anawaza/Kukimbizana Na Mbususu Fahamu Fika Hana Majukumu Yakutosha Kulingana Na Uwezo Wake.
 
nina watoto kadhaa wa kike, mke wangu ndio alikuwa na shida na maumivu kwanini hana mtoto wa kiume, mimi nilisharidhika na watoto wa kike.
 
Kwa kizazi hiki, mwanaume kutegemea kuwa mtoto wako wa kiume atakuja kukusaidia kimaisha huko ni kujidanganya kwa 100%. Ni sawa na kucheza Biko.

Mtoto wa kiume akikua anawaza kwenda kutafuta mwanamke, amuoe na kutengeneza miliki yake, na akichelewa kufanikisha hilo atabakia hapo hapo home akiwaza wewe baba utakufa lini ili arithi mali.
 
Elimu ya afya ya uzazi nayo tunasubiri NG'O ,anashindwaje kutambua siku ya 12 na 13 toka mkeo wewe kubrid nikikutia mtoto wakike anapatikana ,baada yahapo siku zifuatazo ni baby boy ,sijui tunafeli wapi wanaume ...harafu unamwita kasoma ulaya hayamambo ni basic muhimu kuyafahamu ,wanaume tupunguze ubwege twende clinic na mama tukamwone mkunga atusaidie ,endapo mkeo Hana pamanent menstrual cycle pia utaratibu utapewa kikubwa ujue kanuni za bridi zake(hedhi).....
 
Hapana....Mwenyewe natafuta bby boy aise.

Ongea na dokta pia google google utapata mbinu dear....
Jamani Kama nikugawie vile, Kila la heri utampata tu,,

Naona nimeathirika kisaikolojia kiasi Kwamba mtu wangu wa karibu akipata baby boy nakosa vibe hata la kwenda kumuona ila akiwa wa kike nitapeleka mazawadi Kama yote😂😂
 
Jamani Kama nikugawie vile, Kila la heri utampata tu,,

Naona nimeathirika kisaikolojia kiasi Kwamba mtu wangu wa karibu akipata baby boy nakosa vibe hata la kwenda kumuona ila akiwa wa kike nitapeleka mazawadi Kama yote[emoji23][emoji23]
Jamani, nakuelewa..Pole sana .

Mimi wakati mjamzito, nilitamani bby boy but ultrasound ikasoma bby girl and nikawa tu kawaida but as time went on I loved her so much mpaka leo nampenda kweli mrembo wangu. But for now I wish to have a bby boy hakuna mfano.

So inabidi nizingatie siku zangu vyema, na siku ya kutunga mimba ya bby boy niwe tayari na mwenzangu awe ready kweli kweli cuz one of the things to consider is deep penetration.

Angalia hapo some of the dos to consider when having sex ili upate bby girl.
 
Mimi nilikua nasex everyday after my period nakumbuka..So try it
Noelia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…