Kumbe kwa wagogo kila kitu/jambo kina Mungu wake! Kweli hii Afrika bado sana

Kumbe kwa wagogo kila kitu/jambo kina Mungu wake! Kweli hii Afrika bado sana

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
23,984
Reaction score
51,055
Mimi sishabikii ukabila lakini hili la wagogo wa Dodoma limenishangaza.

Eti Chatu ni nyoka wa mvua na haupaswi kumuua hata kukimkuta ndani mwako.

Kenge, ni kiumbe wa mavuno na ukimuua basi wagogo watakuala sahani moja nawewe.

Pimbi, ni kiumbe wa mitishamba hivyo kuharibu kumfhuru ni kutaka kuleta balaa kwa wananchi.

Hii afrIka bado sana.
 
Kwahiyo mkuu licha ya kuheshimiana kote umekuja kutuzushia uzushi wa ajabu, kwanza ni mbugila gani huyo aliyekudanganya mambo ya hovyo kama hayo!
Nisamehe Mkuu. Juzi kunasehemu nukimkuta chats anataka kunisababishia ajali, niliopojaribu kumwua wazee na vijana wa pale wakaniambia ukithubutu kumdhuru huyo nyoka tunakushushia kipigo na utalipa faini.
 
Huo ulikuwa ni mkwara mbuzi tu, hatunaga mambo ya hovyo kama hayo, tena wakiona siyo wa jadi yao ndo wanaongeza chumvi kama hivyo ulivyosikia.
 
Mkuu, nagwe uli mgogo?

Org kabisa.

Ale viswanu!

Kuko kidodoma wikaliye pande chi?

Nili makulu.

Makulu ya bahi mba makulu ya chali?
🤣🤣🤣 Kwa muda niliokaa Dodoma nimeona Lugha Yao ni nyepesi sana. natoa Salam zao zote huku nacheka,🤣🤣 Neene mdala. Alee Chilomawaka
 
Back
Top Bottom