Kumbe kwa wagogo kila kitu/jambo kina Mungu wake! Kweli hii Afrika bado sana

Kumbe kwa wagogo kila kitu/jambo kina Mungu wake! Kweli hii Afrika bado sana

Usukumani chatu aina ya ndelema akija kwenye familia yako mpe unga kama kuna maziwa fanya hivyo pia atakaa kwako kisha ataondoka salama salimini.

Lakini atakuachia mavuno na mfanikio makubwa sana kwa kila jema utakalo fanya!!

Hii wengine walikuwa wanapewa kamaa dangu yaani kafara (sijui vzr kuliweka kwenye kiswahili) na baada ya hapo mafanikio ni hakika ili mradi tu usivunje mashart.

Namaliza kwa kusema kudharau asili yako ni utumwa au usela mavi pale india mungu wao ni ng'ombe... Lakini hatujawahi kuwaona mkiwakejeri wahindi.

Mambo yanayofanyika anapoapishwa mfalme wa uingereza ni ya ajabu lakini kwa sababu ni wazungu tu mpo kimyaa
Haya mkuu, endelea kuwapikia ugali chatu wanaokutembelea kwako.
 
Mkuu, ukisoma vizuri historia ya dunia, utakuwa huna sababu ya kuwashangaa wagogo!

In Greek Mythology, for example, Greek gods, the Olympians, rule different aspects of life, each with distinct domains and personalities that shape human lives and nature.

    • Zeus: King of the gods, ruler of the sky, lightning, law, and order.
    • Hera: Queen of the gods, goddess of marriage, women, and childbirth.
    • Poseidon: God of the sea, earthquakes, storms, and horses, wields a trident.
    • Hades: Ruler of the Underworld, god of the dead (often separate from the 12 Olympians).
    • Athena: Goddess of wisdom, strategic warfare, crafts, and protector of Athens.
    • Apollo: God of music, prophecy, archery, medicine, light, and truth.
    • Artemis: Goddess of the hunt, wild animals, the wilderness, and the moon (Apollo's twin).
    • Aphrodite: Goddess of love, beauty, pleasure, and procreation.
    • Ares: God of war, representing its violent, physical, and brutal aspects.
    • Hephaestus: God of fire, blacksmiths, metalworking, and sculpture.
    • Hermes: Messenger of the gods, guide for travelers, merchants, and thieves.
    • Demeter: Goddess of agriculture, the harvest, grain, and the fertility of the earth.
    • Hestia: Goddess of the hearth, home, domesticity, and family (often gave her seat to Dionysus).
Umenikumbusha kwenye miaka ya 2010 kulikuwa na torrents moja ya moto sana innit inaitwa "Ares"
 
Mimi sishabikii ukabila lakini hili la wagogo wa Dodoma limenishangaza.

Eti Chatu ni nyoka wa mvua na haupaswi kumuua hata kukimkuta ndani mwako.

Kenge, ni kiumbe wa mavuno na ukimuua basi wagogo watakuala sahani moja nawewe.

Pimbi, ni kiumbe wa mitishamba hivyo kuharibu kumfhuru ni kutaka kuleta balaa kwa wananchi.

Hii afrIka bado sana.
Greek mythology ina miungu wengi na kila mmoja ana kazi yake. Mungu wa mvua ni Zeus. Mungu wa tetemeko la ardhi, farasi, kimbunga na bahari ni Poseidon. Mungu wa kifo ni Thanatos, wa mapenzi ni Eros. Na wengine wengi. Tena miungu ya Kigiriki ilikuwa inazaliana, mara huyu ni mtoto wa kambo wa huyu.

Mbona Wagiriki wamegundua vitu vingi na wanaheshimika duniani kuliko Kabila lako ambalo halijui kusoma wala kuandika.

Wamisri mbona walikuwa na mungu mkuu Ra, ambaye ni jua. Na miungu wengine kina Osiris wa maisha baada ya kifo, Amun muumba, na mungu wa kufanya mummies.

Bado Wamisri wa kale wana akili, maarifa, historia na mafanikio kuliko hao mababu zako wacheza ngoma za unyago.

Wagogo hapo wana imani kwanza ni ya kutunza mazingira.
 
Kwenye kabila langu mungu anaeheshimika zaidi ni mungu wa 'kut.ombana' ndiyo maana hatuna akili kama wagiriki.
 
Punguza mzuka na hayo ndiyo mazara ya kulelewa sehemu zenye maandazi hadi mnasahau asili zenu.
Mambo ya wazazi kuja mapema mjini anaopoa mtoto wa kabila lengine unajikuta umezaliwa mjini na makabila umechanganya........watoto wangu ndio kabisa maana babu na bibi waanaishi DSM asili ndio inapotea hivyo.

Kigogo mtu akiongea numuelewa kwa mbali....ila me kuongea ndio siwezi kabisa.
 
Sijawahi kuona watu wanasalimiana muda mrefu kama wagogo.. Wanatumia muda mpaka wanaweka pumziko katikati ya salamu, kisha wanaendelea kusalimiana. Kama kuna mtu yupo mahututi alaf mgogo ndo mtoa msaada ndo ujue mnaondoka na maiti.
 
Mimi nipo Dsm ila muda wowote nikijisikia naenda kuuwasha moto home, hata mashamba ya ulithi yapo huko na kujenga nimejenga huko, huku nipo kupoteza muda na kusafisha nyota nikizeeka nasepa zangu masikani.
 
Sijawahi kuona watu wanasalimiana muda mrefu kama wagogo.. Wanatumia muda mpaka wanaweka pumziko katikati ya salamu, kisha wanaendelea kusalimiana. Kama kuna mtu yupo mahututi alaf mgogo ndo mtoa msaada ndo ujue mnaondoka na maiti.
Kwamba hadi wanatokwa na jasho kisa salamu!? 😂.
 
Back
Top Bottom