Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Ale muwaha, mulungu yalumbwe natuga umuntu wokulonga nayo kuwahehe wakonongo!Akuno behi na UDOM.
Ale muwaha, mulungu yalumbwe natuga umuntu wokulonga nayo kuwahehe wakonongo!Akuno behi na UDOM.
Hii lugha ni nyepesi kama vile unakojoa bhana!🤣🤣🤣 Kwa muda niliokaa Dodoma nimeona Lugha Yao ni nyepesi sana. natoa Salam zao zote huku nacheka,🤣🤣 Neene mdala. Alee Chilomawaka
Ale walamuse kuko.Ale muwaha, mulungu yalumbwe natuga umuntu wokulonga nayo kuwahehe wakonongo!
Panafurahishaga Salam ndefu sanaHii lugha ni nyepesi kama vile unakojoa bhana!
Hale, hale walumenyi.Ale walamuse kuko.
Hakika mkuu.Panafurahishaga Salam ndefu sana
Okay 👍.Hale, hale walumenyi.
Mkuu, ukisoma vizuri historia ya dunia, utakuwa huna sababu ya kuwashangaa wagogo!Mimi sishabikii ukabila lakini hili la wagogo wa Dodoma limenishangaza.
Eti Chatu ni nyoka wa mvua na haupaswi kumuua hata kukimkuta ndani mwako.
Kenge, ni kiumbe wa mavuno na ukimuua basi wagogo watakuala sahani moja nawewe.
Pimbi, ni kiumbe wa mitishamba hivyo kuharibu kumfhuru ni kutaka kuleta balaa kwa wananchi.
Hii afrIka bado sana.
Hahahah wahodanga muwaha.Kwa muda niliokaa Dodoma nimeona Lugha Yao ni nyepesi sana. natoa Salam zao zote huku nacheka, Neene mdala. Alee Chilomawaka
Kweli hayo yalifanywa na wazungu, pia makabila mengi huku Afrika yanaendekea kuyafanya.Mkuu, ukisoma vizuri historia ya dunia, utakuwa huna sababu ya kuwashangaa wagogo!
In Greek Mythology, for example, Greek gods, the Olympians, rule different aspects of life, each with distinct domains and personalities that shape human lives and nature.
- Zeus: King of the gods, ruler of the sky, lightning, law, and order.
- Hera: Queen of the gods, goddess of marriage, women, and childbirth.
- Poseidon: God of the sea, earthquakes, storms, and horses, wields a trident.
- Hades: Ruler of the Underworld, god of the dead (often separate from the 12 Olympians).
- Athena: Goddess of wisdom, strategic warfare, crafts, and protector of Athens.
- Apollo: God of music, prophecy, archery, medicine, light, and truth.
- Artemis: Goddess of the hunt, wild animals, the wilderness, and the moon (Apollo's twin).
- Aphrodite: Goddess of love, beauty, pleasure, and procreation.
- Ares: God of war, representing its violent, physical, and brutal aspects.
- Hephaestus: God of fire, blacksmiths, metalworking, and sculpture.
- Hermes: Messenger of the gods, guide for travelers, merchants, and thieves.
- Demeter: Goddess of agriculture, the harvest, grain, and the fertility of the earth.
- Hestia: Goddess of the hearth, home, domesticity, and family (often gave her seat to Dionysus).
Mimi sishabikii ukabila lakini hili la wagogo wa Dodoma limenishangaza.
Eti Chatu ni nyoka wa mvua na haupaswi kumuua hata kukimkuta ndani mwako.
Kenge, ni kiumbe wa mavuno na ukimuua basi wagogo watakuala sahani moja nawewe.
Pimbi, ni kiumbe wa mitishamba hivyo kuharibu kumfhuru ni kutaka kuleta balaa kwa wananchi.
Hii afrIka bado sana.
😂😂😂, Nampenda sana huyu ☝️ mungu.hadi mungu wa kujig jig
Usukumani chatu aina ya ndelema akija kwenye familia yako mpe unga kama kuna maziwa fanya hivyo pia atakaa kwako kisha ataondoka salama salimini.Mimi sishabikii ukabila lakini hili la wagogo wa Dodoma limenishangaza.
Eti Chatu ni nyoka wa mvua na haupaswi kumuua hata kukimkuta ndani mwako.
Kenge, ni kiumbe wa mavuno na ukimuua basi wagogo watakuala sahani moja nawewe.
Pimbi, ni kiumbe wa mitishamba hivyo kuharibu kumfhuru ni kutaka kuleta balaa kwa wananchi.
Hii afrIka bado sana.
Who knows, those Gogo elders may be right after all. Kumbuka, tunavyovijua ni 5% tu ya total universe!Kweli hayo yalifanywa na wazungu, pia makabila mengi huku Afrika yanaendekea kuyafanya.
Kilichonishangaza ni kitendo cha wazee wale kugoma mimi kumsogeza barabarani chatu aliyetaka kunisababishia ajali....walikuwa wanadai kuwa ni kiumbe kisichostahili kuguswa kwani kufanya hivyo ni kusababisha upotevu wa mvua.
WANGEKUWA wazungu ungewakubali na kuona kuwa wapo sahihi na ungewafuataMimi sishabikii ukabila lakini hili la wagogo wa Dodoma limenishangaza.
Eti Chatu ni nyoka wa mvua na haupaswi kumuua hata kukimkuta ndani mwako.
Kenge, ni kiumbe wa mavuno na ukimuua basi wagogo watakuala sahani moja nawewe.
Pimbi, ni kiumbe wa mitishamba hivyo kuharibu kumfhuru ni kutaka kuleta balaa kwa wananchi.
Hii afrIka bado sana.
😂😂😂, Nampenda sana huyu ☝️ mungu.
Umenisema mm kaka mgogo nisiyejua kigogo kummke kilugha changu.Ale muwaha, mulungu yalumbwe natuga umuntu wokulonga nayo kuwahehe wakonongo!
Nisingewakubali hata kidogo.WANGEKUWA wazungu ungewakubali na kuona kuwa wapo sahihi na ungewafuata
Huenda unachokisema kina ukweli lakini kilichonikera wanlichelewesha kwa muda mrefu.Who knows, those Gogo elders may be right after all. Kumbuka, tunavyovijua ni 5% tu ya total universe!
The 95% iliyobaki ni kitendawili. More specifically:
- Dark Matter (27%): Invisible, invisible substance that binds galaxies together through gravity; we know it's there but not what it's made of (candidates include unknown particles).
- Dark Energy (68%): A persistent, repulsive force causing the universe's expansion to accelerate; it fills all of space, but its nature is unknown.