Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Hobaho! Nimnyambwa, nnyeze chilechele.Wewe itakuwa mnyambwa wewe hebu tueleze vizuri
Hobaho! Nimnyambwa, nnyeze chilechele.Wewe itakuwa mnyambwa wewe hebu tueleze vizuri
Sijajua ulicho maanisha. Anyway, wagogo waliplay part kubwa sasa kwa mimi kufanikiwa. I cant lie, nimezungu kibakwe, kibaigwa, na mpwapwa ndo usiseme. Nimefika hadi chitemo, kunakipindi nilienda kijiji kinaitra Rudi (huku ndo nimenusurika kufa mara tatu).Ndio sisi hai wanyambwa
Ile salamu bhana mtu asipotokwa na jasho usoni anaamini kuwa bado hajasalimia vizuri.Hapo wanakua na bonge la fimbo amelichomeka chini alaf linaegemeshewa kwenye trako.
Zikianza mbukweni mbukwa, sunuka, vana, pakaya.. yaani hata kama unasungura, paka, mbwa, kuku atataka awajulie hali mmoja mmoja. na wanawapa majina.
Nilikutana na nguruwe anaitwa Oska
secretarybird
Watu waajqbu sana.. wanasalimiana muda mrefuu mpaka wanaweka kituo utaskia mtu kasema Mmhm na mwenzie anaitikia Mmhm, wanaangaliana dakika mbili wanaanza tena pakaya swanu.Ile salamu bhana mtu asipotokwa na jasho usoni anaamini kuwa bado hajasalimia vizuri.
Wanafaa kuwa watangazaji hawa jamaa 😂.Watu waajqbu sana.. wanasalimiana muda mrefuu mpaka wanaweka kituo utaskia mtu kasema Mmhm na mwenzie anaitikia Mmhm, wanaangaliana dakika mbili wanaanza tena pakaya swanu.
Alaf me nilienda kibiashara, kwahyo mwenyeji wangu anasalimiana na mtu wake me natafuta sehem nakaa nawasha portsman mpaka inaisha wanasalimiana tu.
Up what's 😂What's up!😎.
Agwe mdodo kodo dyako nhaule kulambiza wayago! Ase chisina makani gago.Mimi sishabikii ukabila lakini hili la wagogo wa Dodoma limenishangaza.
Eti Chatu ni nyoka wa mvua na haupaswi kumuua hata kukimkuta ndani mwako.
Kenge, ni kiumbe wa mavuno na ukimuua basi wagogo watakuala sahani moja nawewe.
Pimbi, ni kiumbe wa mitishamba hivyo kuharibu kumfhuru ni kutaka kuleta balaa kwa wananchi.
Hii afrIka bado sana.
😂😂😂Up what's 😂
Sina mungu wa kumwabudu hapa duniani Kwa sababu hakuna mungu wala miungu. Ni upuuzi kuamini Kila kitu kiasi cha kuwakera watu wengine, sawa?Si bora wao Mungu wao wanamjua kuliko wewe unayeabudu Mungu wa waarabu/wazungu ambaye hajawai na hana ushahidi wa uwepo wake, na hata miujiza ya nguvu zake mlizosimuliwa ktk vitabu vyake, hakuna hata kimoja amewai kukifanya kwa waafrika.
Acha dharau kwa mila za watu, deal na mambo yako
What's up!😎.
😂😂
Mungu asiyechoka kutupa mema, tunajilia tu maziwa na asali 😋😋!Mungu wa Binti wa zamani huyo 😂.
Amen 🙏.Mungu asiyechoka kutupa mema, tunajilia tu maziwa na asali 😋😋!