secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Nisamehe Mkuu. Juzi kunasehemu nukimkuta chats anataka kunisababishia ajali, niliopojaribu kumwua wazee na vijana wa pale wakaniambia ukithubutu kumdhuru huyo nyoka tunakushushia kipigo na utalipa faini.Kwahiyo mkuu licha ya kuheshimiana kote umekuja kutuzushia uzushi wa ajabu, kwanza ni mbugila gani huyo aliyekudanganya mambo ya hovyo kama hayo!
15 years hapo dodoma sijawahi kusikia ujinga wa mleta mada.Kwahiyo mkuu licha ya kuheshimiana kote umekuja kutuzushia uzushi wa ajabu, kwanza ni mbugila gani huyo aliyekudanganya mambo ya hovyo kama hayo!
Kama hujawahi kusikia basi wewe ni kiziwi, na hunabudi kuwahi hospitalini.15 years hapo dodoma sijawahi kusikia ujinga wa mleta mada.
Chokiwona ubi.
Mbona hawana noma. Kipindi fulani niliishia nao vizuri sana, ila waliponikataza kumtoa chatu barabarani nilishangaa mno.Hawa jamaa wavivu sana hawapendi kazi afu wana wivu kwa wageni
Haa Boss Wao Almaruhum MatonyaHawa jamaa wavivu sana hawapendi kazi afu wana wivu kwa wageni
Huo ulikuwa ni mkwara mbuzi tu, hatunaga mambo ya hovyo kama hayo, tena wakiona siyo wa jadi yao ndo wanaongeza chumvi kama hivyo ulivyosikia.Nisamehe Mkuu. Juzi kunasehemu nukimkuta chats anataka kunisababishia ajali, niliopojaribu kumwua wazee na vijana wa pale wakaniambia ukithubutu kumdhuru huyo nyoka tunakushushia kipigo na utalipa faini.
Mimi mwenyewe ndo nashangaa. Akusaka ulugu nkuona.15 years hapo dodoma sijawahi kusikia ujinga wa mleta mada.
Chokiwona ubi.
Mkuu, nagwe uli mgogo?Mimi mwenyewe ndo nashangaa. Akusaka ulugu nkuona.
Inawezekana mkuu.Huo ulikuwa ni mkwara mbuzi tu, hatunaga mambo ya hovyo kama hayo, tena wakiona siyo wa jadi yao ndo wanaongeza chumvi kama hivyo ulivyosikia.
Org kabisa.Mkuu, nagwe uli mgogo?
Ale viswanu!Org kabisa.
Kuko kidodoma wikaliye pande chi?Ale viswanu!
Nili makulu.Kuko kidodoma wikaliye pande chi?
Makulu ya bahi mba makulu ya chali?Nili makulu.
Akuno behi na UDOM.Makulu ya bahi mba makulu ya chali?
Mkuu, nagwe uli mgogo?
Org kabisa.
Ale viswanu!
Kuko kidodoma wikaliye pande chi?
Nili makulu.
🤣🤣🤣 Kwa muda niliokaa Dodoma nimeona Lugha Yao ni nyepesi sana. natoa Salam zao zote huku nacheka,🤣🤣 Neene mdala. Alee ChilomawakaMakulu ya bahi mba makulu ya chali?