Wewe kafiri mkubwa, ni nani aliwalazimisha hao akina fundikira wamuachie Nyerere hiyo nafasi?Ukitaka niwataje wapambania uhuru asilimia 90 ni Waislam na ndio waliokuwa wakazi wa Dar es salaam kabla hamjaja makafiri
Ninyi pamoja na huyo Baba yenu wa Taifa tumekufunzeni kuanzia kujisitiri kwa kuvaa suruali
Wasomi wa kiislam walikuwepo wengi tu akina Fundikira na kina Mwapachu ila walimwachia nyerere hiyo nafasi
Mada umeanzisha wewe, ajabu huna uwezo wa kujibu hata swali moja linalohusiana na mada yako!Tutawaunga mkono kuirudisha Tanganyika kipindi kijacho cha mkatoliki hope hamtabadili gia angani
Thibitisha...!!Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani
Mama yangu mdogo mkatoliki aliolewa na muislam, akabadili dini, amezaa waislam.
Dada yangu aliolewa na muislam akaza waislam, mwingine karudi ukristo kwa mama yake ukubwani.
Baba yangu alioa muislam baada ya kufiwa na mkewe mkristo. Amepata watoto wakristo ambaye mmoja amerudi kwenye uislam wa mama yake.
Mimi mwenyewe bado kidogo nioe msomali muislam...nikabadili gia angani sababu za masomo.
Hali ipo hivyo Tanganyika kote.
Leo siwezi shika bunduki nikauwe Kaka na dada waislam ndugu zangu au watoto wa dada zangu.
Huwezi kuwakataa hao ndugu zangu waislam wasishike uongozi wa nchi.
Akili zako ni ndogo sana zinatosha kutawazia tu na kuvukia barabara.. lakin sitakulaumu sana maana sababu ya wewe kuwa na reasoning mbovu hivi ni KUKOSA ELIMU sahihi.Mtu hana Bank kuu, Jeshi, Mahakama kuu, bodi ya mapato wala hatambuliki umoja wa mataifa anakunyonyaje hebu elezea
Kwa hiyo unataka kusemaje? Hebu malizia hicho unachotaka kukiwasilishaKwanini Tanganyika idaiwe wakati rais akiwa Mwinyi na Kikwete tu?.
Kwanini Nyerere aingilie kati wakati yupo nje ya serikali tena ana mlaumu rais wa nchi?.
Wakati wa Mkapa na Magufuli kwanini haijadaiwa Tanganyika?.
Historia inaonesha toka tupate Uhuru na kuungana na Zanzibar Samia ndio mzanzibari wa kwanza kuwa raisi wa muunganoAkili zako ni ndogo sana zinatosha kutawazia tu na kuvukia barabara.. lakin sitakulaumu sana maana sababu ya wewe kuwa na reasoning mbovu hivi ni KUKOSA ELIMU sahihi.
Kwa katiba ya sasa mtu hahitaji kuwa ni vyote hivyo ulivyoorodhesha hili akunyonye kupitia muungano kibogoyo kma huu, anachohitaji ni kushika madaraka tu basi.
Sasa hivi shetani samiya kupitia madaraka aliyonayo yeye ndio anaamua pesa za makusanyo yote ya ndani na zinatoka kwa wahisani ziende wapi na zikatumike vipi, na hakuna wa kumzuia hivyo basi hata akikata fungu la 70% na kulipeleka kujenga kwao Zanzibar hakuna wa kuhoji.
Yeye ndio anaamua rasilimali za Tanganyike azifanyie nini au amuuzie nani na kwa muda gani, na hakuna wa kumzuia.. tumeona alichokifanya kwenye bandari licha ya kukutana na upinzani mkali kwanzia kwa wanainchi mpaka kwenye taasisi za dini.
Sasa wewe na ufinyu wako wa kifikra unaanza kuuliza eti "mtu ana kunyonyaje hana bank kuu wala hatambuliki kwenye jumuiya ya kimataifa"...?? Rudi darasana Ngumbaru wewe.
Shetani samiya ameweza kuwaua watanganyika na bado akaendelea kuitawala kwa nguvu sababu ya hii katiba mbovu iliyopo.
Na watu wa aina yako ni hasara kubwa sana kwa taifa hili, maana mkimuangalia huyo shetani wa kizanzibari hamuoni jinsi anavyoliharibu hili taifa kwa maslahi yake na familia yake, sana sana nyie mmejikita kumlinda kwa sababu ya uislamu wake, ovyo sana nyie.
Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika
Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani
Ndugu zangu hizi ajenda tuzikatae Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja na ni watu wamoja pia kama ni population ya waislamu Tanganyika tuko wengi sana kuanzia Tanga, Tabora, Lindi, Mtwara, Singida, Dodoma na mikoa mingi tu ya Tanzania bara
Tusikubali kugawanywa kidini kwa kigezo cha utanganyika tukatae kwa nguvu zote
Yule masai alipigwa na mwananchi au na Serikali ya Zanzibar?..Wazanzibari wana msimamo mkali dhidi ya muungano kuliko Watanganyika.
..Na Wazanzibari wamekuwa wakitoa kauli za kupinga muungano, na kulalamika kuwa wananyonywa, kwa uwazi na kujiamini kuzidi Watanganyika.
..Matukio ya Watanganyika kuwabagua Wazanzibari ni machache kuliko matukio ya Wazanzibari kubagua Watanganyika.
..Kwa mfano tumewahi kushuhudia Mtanganyika akishambuliwa Zanzibar wakati wa mfungo wa Ramadhani. Na alishambuliwa huku akitolewa kauli za kibaguzi. Pia yapo matukio ya Wamaasai wakishambuliwa na vyombo vya usalama vya Zanzibar. Matukio kama hayo hatujayashuhudia huku Tanganyika.
..Pia kuna hatua za kisheria na kiutawala ambazo zimechukuliwa na serikali ya Zanzibar ili kuwabagua Watanganyika. Kwa mfano Watanganyika hawaruhusiwi kuajiriwa ktk taasisi za serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Watanganyika pia hawaruhusiwi kupewa kitambulisho cha mkaazi wa Zanzibar.
..Kwa kifupi Mzanzibari ana haki na fursa nyingi huku Tanganyika, wakati Watanganyika wakibaguliwa wanapokuwa Zanzibar.
Walituhumiwa ughaidi sababu ya wafuasi wao au wafuasi wa harakati zaidi kuanza matukio ya ughaidi niliyokupa mfano. Mashambulizi ya kumwagia watu tindikali hasa wenye Imani tofauti.Hukuona wakiitwa magaidi kipindi cha uamsho na hao hao TEC wakiunga mkono hoja
Hivi umeelewa hata logical correlation iliyopo kati ya reply yangu na comment yako?Kwa andiko lako hili unamaanisha miaka yote hiyo Tanganyika ilikuwa inainyonya Zanzibar?
Yule masai alipigwa na mwananchi au na Serikali ya Zanzibar?
Moja, mbili ukipewa uchague kati ya kitambulisho na na Bank kuu, mahakama kuu na Jeshi utachagua nini wewe kama mkuu wa nchi?
Tufike sehemu tuache ubinafsi Tanzania bara kuna mapori mengi hadi mnayaacha kazi kulalama na tuvitu tudogo
Mimi sikatai hayo yote, yani ni kusema hawakuwa wanapigania Zanzibar ila walikuwa wanapigania dini ndio maana Vita yao ilikuwa dhidi ya makanisaWalituhumiwa ughaidi sababu ya wafuasi wao au haraki zao kuanza matukio ya ughaidi niliyokupa mfano. Mashambulizi ya kumwagia watu tindikali hasa wenye Imani tofauti.
Au tukio la kushambuliwa kanisa na kuharibiwa mali na thamani (vandalizing of church property).
View: https://youtu.be/_ZM4BvPF0Uo?si=Hg-RA1nDIin3487zThread 'Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar: Zanzibar haitaki Muungano' Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar: Zanzibar haitaki MuunganoPADRI WA KANISA KATOLIKI APIGWA RISASI ZANZIBAR
Padri Evarist Mushi Padre wa Kanisa la Katoliki la parokia ya Minara Miwili lililopo mji mkongwe, Zanzibar, Padri Evarist Mushi amepigw...lukemusicfactory.blogspot.com
Kuna tukio lingine nikipata link nitaawekaa hapa... Kanisa lilivunjwa mlango kisha wakaingia ndani na kuharibu sound sanamu na vitu vingine.Kanisa lateketezwa Zanzibar - BBC News Swahili
Washabuliaji waliiharibu kanisa hilo mwaka jana katika kile wengi walitaja kama mgogoro wa umiliki wa ardhi ambako kanisa hilo lilikuwa limejengwawww.bbc.com
Lakini ulitaka ujue kanisa Katoliki siku zote husimamia na kutetea haki. Mwaka 2009 huko Zanzibar lilikemeea matajiri kuitwa wezi na mafisadi bila kufikishiwa mahakamani.
tusiwaite mafisadi- kanisa
Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar limesema hakuna haki ya kuwaita matajiri wezi au mafisadi hadi hapo watakapohukumiwa na kupandishwa katika vya sheria ambavyo ndivyo vyenye haki ya kuthibitisha hi…zanzibariyetu.wordpress.com
Unataka tusikemee mauaji ya watu wasio na hatia kwa kuwa aliyeamuru watu wauwawe ni muislamu?Halafu ondoa ushenzi wako wa udini mpuuzi mkubwa wee! Nchi hii wakristo na waislam wanaishi pamoja na kushirikiana bila ubaguzi wa dini hakuna shida. Umerefusha madevu yako unashadidia uislam kana kwamba ni dini ya maana kumbe ni utumwa tu kifikra, shenzi kabisa. Nchi hii tulishaachaga kuulizana dini ni ujuha. We baki na uislam wako mpaka kiyama hakuna wa kukubughudhi unapoabudu miungu yako huko msikitini. Tena shindilia tende unywe maji ya zamzam mpaka uvimbiwe hakuna wa kukukera kwenye ujuha wa kidini