Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Na mimi mwisho wa ushahidi wako nikisema hiko chanzo chako ni cha uongo si nitakuwa niko sahihiHaya naanza kujibu swali lako sasa,
Mi nakubali kabla ya Yesu hakukuwepo na watu wanajiita wakristo.
Uislam wa mwanzo haukuwa na swala,Haya jibu hoja sasa,
_ why mwanzilishi wa adhana ni Muhammad?
_ Muhammad aliwahi kukutana na muislam gani ambaye alikuwa muislam kabla yake?
Ni kweli Post 144 sio yako sorryPoint of correction! Post #144 sio yangu. Ila ulichokiuliza nimekujibu kama inavyopaswa kujibiwa katika post # 158 (rudi uisome vyema). Nimeona unatake advantage kwa mtu ambaye hana maarifa ya kutosha kwenye maandiko matakatifu. Sasa anzia hapo nilipokujibu kama una swali lolote ujibiwe.
Mind you, jong afrikaanse huwa hajibu chochote kwa hisia wala kwa hekima zake binafsi au mapokeo ya makanisa yaliyopotoka. Majibu yote ntakayokujibu kwa maswali yako kuhusu imani yangu ntakujibu kwa msingi wa maandiko matakatifu pekee na kuhusu imani yako ya Kiislam kwa kitabu chako unachojengea hoja cha Quran pekee.
Karibu kwa mjadala sasa.
Narudia kusema tena, maelezo yangu yanaweza kukinzana na mdau mwingine yeyote asiye na maarifa ya kutosha au anayepotosha lakini kamwe hayakinzani na maandiko matakatifu. Dhima ni kustick to the truth by the Holy Scriptures na sio maoni binafsi.Ni kweli Post 144 sio yako sorry
Lakini pia maelezo yenu yanatofautiana kuhusu kanisa wakati nyinyi wote ni wakristo
Mungu tofauti Mzee,Mungu wa waislamu sio anayeaminiwa na wakristoYehova, Eli, Allah Yahweh, Imana, wherever Mungu ni mmoja iwe mkristo au mpagani kifo kinatoka sehemu moja
Hakuna anayelazimisha ila ndio uhalisia kiasili Mungu aliyemuumba Adam na hawa ndio huyo huyo mtu yeyote mwenye akili anatakiwa amuabudu, haimanishi dini ila nyie wakilristo mmetengeneza Yesu na Roho hivyo madai Yako Kwa baadhi ya wakristo ni kweli kabisaMungu tofauti Mzee,Mungu wa waislamu sio anayeaminiwa na wakristo
Hilo tuweke sawa tusilazimishe mambo
Allah hajaumba chochoteHakuna anayelazimisha ila ndio uhalisia kiasili Mungu aliyemuumba Adam na hawa ndio huyo huyo mtu yeyote mwenye akili anatakiwa amuabudu, haimanishi dini ila nyie wakilristo mmetengeneza Yesu na Roho hivyo madai Yako Kwa baadhi ya wakristo ni kweli kabisa
Sawa je Mimi na wewe Mungu Gani katuumba? ni kweli Mungu aliyeniumba Mimi na aliyekumba wewe ni Mungu wawili tofauti? Na camoon mnakwama wapi mbona Elimu ya chekechea hii. Kwahio kila Mungu ana idadi yake ya watu alioumba na wanao amuabudu si ndioAllah hajaumba chochote
Manabii hawamtambui Allah
😁Yani Muhammad na uislam wake una miaka 1400 ila Kila binadamu aliekuwepo kabla ya 1400 Kwa mujibu wa Quran alikuwa ni Muislam...
Hiki kichekesho ni balaaa
Kuna dini zipo miaka 3000 kabla ya uislam.
Na je kama Hadi Yesu alikuwa muislam je wauslam mnaweza kwenda kanisani ?
Hao uliowataja wote Wayahudi, sasa huyu Mohamed Salah katoka wapi hadi ajitie na yeye hao ni ndugu zake?Unajua maana ya Uislam? Kabla ya Muhammad wapo waliokuwa wakijisalimisha kwa mola wao na kufuata maagizo ya Allah na Manabii zake wa mwanzoni akina Daud, Yusuph, Ibrahim, Isihakha na wengine, huo unatosha kuwa Uislam
Mungu aliyejitambulisha kaumba ,aliyewatokea manabii ,mitume ,sio huyo Allah@hamis
Sawa je Mimi na wewe Mungu Gani katuumba? ni kweli Mungu aliyeniumba Mimi na aliyekumba wewe ni Mungu wawili tofauti? Na camoon mnakwama wapi mbona Elimu ya chekechea hii. Kwahio kila Mungu ana idadi yake ya watu alioumba na wanao amuabudu si ndio
Mbona unachanganya post zangu na zawatu wengine tuliza akili ..Bro ukristo huwa hautetewi Kwa maandiko ila unatetewa Kwa propaganda
Na ndio maana unajichanganya
Post yako no 144 umesema kanisa sio Nyumba ya Ibada
Huku tena unasema kanisa ni Nyumba ya Ibada
Post 144 umesema Nyumba ya Ibada ukiingia unatikiwa utawadhe na kusiwe na viti huku unasema sio lazima
Post yako 144 hi yapa
JIBU ...YESU ALIINGIA KANISANI ILA KANISA SIYO NYUMBA YA IBADA ...NDIYO MAANA KANISA KWA MAANA YA JENGO, WATU UINGIA NA VIATU NA HATA KUKETI VITINI...KANISA KWA MAANA YA JENGO NI JENGO LOLOTE AMBALO WATU WALIKUSANYIKA KUJIFUNZA AU KUFUNDISHANA INJILI ....tukumbuke kuwa wayahudi walimkataa Yesu na Injili waliikataa hivyo yesu alikuwa anafundisha injili kwenye masingagogi na hekaluni na kwenye makanisa yaani majengo yasiyo hekalu wala sinagogi ...hivyo hapa utajua kwa nini hata kipindi cha Yesu kanisani watu waliingia na viatu au kuketi vitini kwa sababu kanisa kwa maana ya Jengo siyo nyumba ya ibada ni kama wewe unavyo weza kutumia nyumba yako binafsi kuabudi ila hiyo nyumba yako siyo msikiti ....
Kosa lilitokea baada ya yesu kuondoka duniani na Injili kukataliwa kwenye masinagogi na hekaluni ...watu wa injili waliendelea kukutanika kwenye majengo wakifundishana injili na kuhubiri injili hivyo ilikuwa siyo kosa ni haki kuingia na viatu na kuketi vitini makanisani .....kosa lilikuja baadae ...WAKRISTO WALIO FUATIA KIZAZI WAKAYAGEUZA MAKANISA KUWA NI NYUMBA ZA "MUNGU ZA IBADA" KUTOKA KUWA MADARASA YA INJILI TU, NA WALIPO YA GEUZA MAKANISA KUWA NYUMBA ZA KUABUDIA MUNGU, ZILE TARATIBU ZA KUINGIA NA VIATU NA KUKETI VITINI ZA MADARASA WAKAENDELEA NAZO ...ILO NDIYO KOSA ...HIVYO YESU ALIINGIA KANISANI KAMA DARASA LA INJILI SIYO NYUMBA YA IBADA.
KUMBUKA KUWA UKRISTO YAANI INJILI ILIKATALIWA NA WAYAHUDI WA TORATI NA KWENYE NYUMBA ZA IBADA ZA WAYAHUDI WALIMKATAA YESU NA INJILI YAKE ... HIVYO BAADA YA YESU KUONDOKA DUNIANI INJILI NA UKRISTO VILIKUWA HAVINA NYUMBA ZA IBADA ISIPOKUWA MADARASA YAANI MAJENGO YANAYO TUMIKA KUFUNDISHA INJILI =KANISA....WAKRISTO WALIYAGEUZA MADARASA YA INJILI KUWA NYUMBA ZA IBADA BILA YA KUONDOA TARATIBU ZA DARASA NA KULETA TARATIBU ZA NYUMBA YA IBADA AMBAZO NI KUTAWAZA KUABUDU CHINI BILA YA VITI
We nenda tu kanisani ukaimbe, ulie na kupiga makofi usubiri siku yako ya kufa ifike uende Jahanam
Kiongozi, uislam umeanzishwa na Muhammad, na Quran ameitungwa yeye. Hiyo ni sawa na mimi nianzishe dini mpya sasa hivi Kisha ndani yake niseme mitume wote walikuwa wa dini hii. Then watu wa dini nyingine mkitaka uthibitisho wa kuonyesha dini yao ilikuwa hii naonyesha ushahidi kutoka kwenye kitabu changu, itakuwa sawa hapo?Umetaka ushahidi nimekupa unadai Qur’an ni kitabu cha uongo sasa wewe ulitarajia ushahidi nitautoa wapi😀😀😀
Qur’an ndiyo ninayoiamini mimi kwa hiyo imenipa ushahidi kuwa Uislamu ulikuwepo tangu Adam
Yes umeongea point nzuri,Islam is an identity and so is Christianity. Islam means submission to God and Christianity is the practice of being a follower of Jesus Christ (i.e., being a disciple of Jesus).
Kwa kifupi, hizi identities ni superficial labels za kutambulisha tu spiritual lives za watu. Hayo majina hayakupangwa na Mungu. Waislamu wangeweza kuamua kujiita Wacha Mungu na Wakristo kujiita Wanafunzi wa Yesu na hakuna kosa ambalo wangekuwa wamemtendea Mungu!
Umetaka ushahidi umepewa ila kwa kuwa tayari kichwani una unachokiamini ndio maana unaanza kuongea bila hata ya hojaKiongozi, uislam umeanzishwa na Muhammad, na Quran ameitungwa yeye. Hiyo ni sawa na mimi nianzishe dini mpya sasa hivi Kisha ndani yake niseme mitume wote walikuwa wa dini hii. Then watu wa dini nyingine mkitaka uthibitisho wa kuonyesha dini yao ilikuwa hii naonyesha ushahidi kutoka kwenye kitabu changu, itakuwa sawa hapo?
Sasa unakuwa unataka ushahidi wa nini😀😀Yes utakuwa sahihi kwa upande wako
Sasa kama shetani ndio kaibadili Nyumba ya Mungu kuwa kanisa maana yake ni kwamba wanaenda kanisani kufanya Ibada wamepotea Kwa sababu wanafuata agizo la shetaniMbona unachanganya post zangu na zawatu wengine tuliza akili ..
Mimi nimekuambia kanisa jengo ni nini na lilianzaje na kwa nini kumetokea mkanganyiko wa idada ya kanisa na hekalu .. Yesu alienda hekaluni na kutawaza na kuabudu kawa desturi za kale . Sasa nikakujibu kwanini kanisani watu wanaingia na viatu na kuketi vitini..jibu...msingi wa kanisa ulikuwa siyo nyumba ya IBADA BALI DARASA LA INJILI NDIYO MAANA YESU ALIITWA MWALIMU...SHETANI NDIYO KALIBADILI KANISA KUWA NYUMBA YA IBADA PASIPO KUONDOA TARATIBU ZA MADRASA NA KULETA TARATIBU ZA NYUMBA YA IBADA MFANO WA HEKALU NA SINAGOGI ...WAKRISTO WALIO POTOKA WANA AMINI 👉 KANISA NI NYUMBA YA MUNGU YA IBADA HIVYO KUZIVUNJIA HESHIMA NYUMBA ZA MUNGU ZANYE KUFUATA TARATIBU ZA KWELI ZA HESHIMA YA NYUMBA INAYO STAILI KUITWA YA MUNGU