ofauti
Mwaka huu mnalo tu, na bado mpaka Lowasa aingie Ikulu. Hizi ni zama tofauti. Hatutaki maneno memngi, hayo tumeyasikia sana.
Tumaini Makene fanyeni hivyo haraka..wengi hatujapenda..tunataka hotuba ya maana leo hii
Kiongozi, kumbe wewe ni full kijani & gold! .. Jangwani hadi Lumumba
TAARIFA MUHIMU; Lowassa kuhutubia live usiku huu; Mgombea Urais wa CHADEMA ambaye pia anawakilisha UKAWA, Edward Lowassa atahutubia taifa usiku huu moja kwa moja kupitia Kituo cha Televisheni cha ITV mara baada ya taarifa ya habari. Hii itakuwa Kwa ajili ya Watanzania ambao kutokana muda kuwa mfupi hawakupata fursa ya kusikia hotuba yote aliyopanga kuitoa leo Kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kitaifa za CHADEMA na UKAWA.
Acha uongo wewe. Pale Jangwani John Mrema alisema kuwa mkutano huo wa ufunguzi wa kampeni utarudiwa kwenye kituo cha ITV kuanzia saa tatu usiku. Wewe unakuja na ngonjera zako
​Hasa nataka kujua mafisadi atawafanya nini?
Tunavyoaambia lile zee limejiishia mnatuona tunafanya utani?
Unafikiri ataweza kuongea kwengine? Mawee! Si redio, si jukwaani, si bungeni.
Hivi mlikuwa hamumuoni hizi siku za mwisho bingeni? Anazubaa, kucheka hacheki, kununa hanuni, hageuki wala huku. Zumbukuku.
Wale akina mama nitilie, vijana wa bodaboda na machangudoa aliokuwa anawahadaa mbona kawatosa?
Baada ya uzinduzi nimelazimika kufuata maelekezo ya mgombea kwamba ilani ipo kwenye website ya chadema ambayo ni Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo Chadema kusema ukweli haipo. kuna tab ya nyaraka+ ukiingia kuna link ya ilani ya uchaguzi but ukiingia inakupeleka kwenye fomu ya kugombea ....
Pia nimewasili kwenye blog ya chadema Chadema Blog pia mbali ya picha hakuna ilani.....
hakuna ilani wala hotuba!!!
wakuu mwenyenayo please naitafuta...

Kama Mwakyembe ni mwanaume kweli atuambie yale aliyoyaacha kwenye ripoti ile ili serikali yote isianguke aache kubwabwaja kwenye majukwaa. Ikulu nayo ijibu hoja za Lowasa kama kweli Kikwete hausiki.
Lowasa akihutubia njoo unikate shingo
TAARIFA MUHIMU; Lowassa kuhutubia live usiku huu; Mgombea Urais wa CHADEMA ambaye pia anawakilisha UKAWA, Edward Lowassa atahutubia taifa usiku huu moja kwa moja kupitia Kituo cha Televisheni cha ITV mara baada ya taarifa ya habari. Hii itakuwa Kwa ajili ya Watanzania ambao kutokana muda kuwa mfupi hawakupata fursa ya kusikia hotuba yote aliyopanga kuitoa leo Kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kitaifa za CHADEMA na UKAWA.
Hebu tujikumbushe yalio tokea leo Jangwani na yaliyo semwa na Loassa mgombea wa Ukawa aka Chadema.
1: Lowassa amesema atamtoa Babu Seya akiwa Rais. Je huko sio kuingilia utawala wa sheria? Je ana uhakika gani alisingiziwa? Hivi ndio vipaumbele vya serikali kwenye nchi yenye matatizo kiasi hichi? Tokea lini Lowassa amekua hakimu? Je, na wafungwa wengine atawaachia huru?
2: Lowasa kasema atatuletea/kumfufua Balali, sasa najiuliza si watuambie leo hii yuko mji gani ama nchi gani na kwanini asubiri awe raisi ndio watuletee Balali? Hichi nacho ni kiapumbele? Au hii ndio ilani ya UKAWA?
3: Lowasa kasema eti, elimu itakuwa bure! Kuanzia primary-University lakini ameshindwa vibaya sana kusema fedha zitatoka wapi? Hivi, wakati wa Nyerere nani alilipia elimu?
4. UKAWA wamekiri wao ni ma lofa kutokana na t-shirt walizotengeneza na kuuza uwanjani lakini hapo hapo wameambiwa wakasome hotuba ya mgombea Urais mtandaoni je kama ni kweli ni ma lofa wana access ya internet? Kulikuwa kuna aja gani ya mkutano kama mngeweka vitu vyote online? Vipi kuhusu wazee wa Mashambani, nao waingine dot com kusoma ilani?
5. Ukawa wametuhakikishia kuwa hawana sera wala ilani zaidi ya kufukuza upepo.
6. Ukawa wamebakia kumjibu Mtaafu Rais Mkapa ambaye aliwateka Kisaikologia na kuwa gumza la Ukwa leo Jangwani.
Mwakyembe anamjua vizuri Lowasa. Na Lowasa anamuogopa sana Mwakyembe. Nashangaa wanaojitokeza kumtetea ilhali yeye mwenyewe amekubali matokeo