To all single mamaz
Either ni kwa makosa au matendo yetu au ya wenza wetu leo tuna title mpya as single mama tunaangaliwa kwa tafsiri na mtazamo tofauti na jamii
Ila habari njema ni kuwa licha ya masimango,matusi na lawama tunazopokea kwa jamii ni kuwa tayari tushakua mama na tuna watoto wanaotutazama na kututegemea, watoto ambao sisi ni kila kitu katika maisha yao (hii inaonyesha kuwa sisi ni wathamani kwa kizazi chetu)
Kubwa zaidi ni being single mama tayari ni maisha yetu na njia yetu mpya hatuwezi badili hilo sababu kilichopandwa ndicho kilichovunwa muhimu kwa sasa ni tupande kilicho bora kupitia matendo na kila hatua tunayopiga kwa hakika hatutaweza kubadili yaliyotokea ila kwa uwezo wa Allah in shaa Allah tutavuna kilicho bora for the sake of our kids and our future
NB: ukiachilia maumivu ya majukumu kuwa mengi na kutamani japo mtu wa kukushika mkono unfortunately no one is there, maumivu ya kihisia,majuto na lawama karibu pm uweze kupata nafasi ya kukutana na single mama wenzetu sometimes tunahitaji kusikilizwa,kupewa pole,kupewa muongozo na kusikiliza story za wenzako hii itafanya usijione kuwa upo mwenyewe na kuondoa unyonge so let's meet tuweze kushare hisia zetu na kuonyeshana njia