To yeye tunaomba utupe opinion yako hapa kama single maza
Mke/mpenzi/mme wako wa leo alikuwa mme/mpenzi/mke wa jamaa enzi hizo.

Mke/mpenzi/mme wako wa leo atakuwa mke/mpenzi/mme wa jamaa wakati ujao.

Hivyo kaa kwa kutulia jombaa!!!! Mambo haya hayataki hasira.

[emoji38][emoji851][emoji56][emoji21]
 
Sema tu Sina Hela za kutatua shida za Hawa viumbe. Ila umasikini wa familia unafanya watoto wa kike kufedheheshwa sana. Wanageuzwa onjwa onjwa Kila wakihitaji pesa.
Inauma sana walahi, tuwaomber mema kila wakati.
 
Pia inafanya ukimwi kuenea kirahisi ukiachia mbali uhuni na umalaya. Ni balaa hili japo mnalishabikia. Fikiria mama yako au dada yako au shangazi yako wangekuwa single mothers
 
Aisee kwa hiyo mbususu za single maza kuchakatwa ni rahisi sana au sio.
Vipi umerudi kwa jamaaa kupeana utamu au na leo tena umekimbia
Hakuna uhalisia wowote, ni percetions za watu tu.

Kama mwanamke yupo na jamaa ovyo aendelee kuvumilia ujinga? Ni bora asepe ili kuepukana na madhara yajayo.

Sio kila single mother alipenda awe hivyo, kuna kisababishi. Kwa hiyo tuwapende kama dada/mama/shangazi zetu.

Mbona kuna wanaume wa hovyo sana siku hizi? Tusijifanye hatuwaoni na maadili kengeufu yao siku hizi.

Tuangalie pande zote sio single mothers tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…