Kweli...
 
Baada ya kuyagundua haya,nilimchukua mjomba wangu kutoka kwa dada yangu,nikampa kimtaji akafungua cafe na nkamwambia ukirudia tena kubeba mimba za masela,mimi kama kaka yako ntakubaka na huo ujauzito niuvurugie mbali...
Nimechoka kulea vitoto vya kikopo
 
Wewe mzee wa wapi sex ilikuwa rahisi kitambo kwa mabaharia hasa wake za watu
 
Single mother wamefanya sex iwe cheap? Siyo kwamba sex imekua cheap mno kiasi kwamba imeongeza single mothers?
 
Weka akiba ya maneno hauna watoto bado
Mie mtoto wangu wa kiume au wakike namwambia mapema kabisaaa kuwa bwana bwana hapa nijue kuwa unagegeda au kugegedwa kabla ya ndoa aisee, ninakuua kwa mikono yangu mwenyewe na hiyo jamhuri ikaninyonge tuu wala sina problem.
Ni mzazi mjinga ambaye anakumbatia mtoto mzinifu. Kwangu mie ndani ya nyumba ni taliban style tuu.

Mambo lakini besty, vipi wee ulishapata mume au nikuoe kaka yangu😝
 
Nyie mliowapa mimba wanawake mkawaacha Warudieni mkaendeleze Maisha yenu,Hao wanawake mnawaachia akina nani sasa?

Kila mtu apambane na Mzigo wake,ulie mzalisha Muoe huyo huyo

Acheni ujinga
 
Singel mothers watatokea wapi kama wanaume wasipowaacaha au mimba wanajipa wenyewe?

Mada za single mothers zinachosha cc Maxence Melo
 
Yan mngejua ukimwi unasambazwa na watoto wadogo na wake za watu!
Mnaoita single mothers wanakuwa wamevuka hatua ya kukosa umakini ili uzao wao usitaabike mbelen.
Nikisoma comments nyingi naona kama kuna hoja zinaletwa na vitoto vya primary. Wana ugomvi wa ndan ya nafsi.
Single mother hata kudanga ni kwa sabab na maslahi au malengo yanayoelezeka. Lakin kizaz cha wasio na majukum ni kama wamesusia sehem zao za siri au wamemeza vidonge vya NDIYO. Wanangonoka kama mateja wa ngono.
...Kama unataka kuwa salama achana na ngono za visichana au vivulana. Ukiondoa ngono hawana faida nyingine. Hali imegeuka, 'nguruwe mchanga ana magonjwa, hadi ya kuzaliwa nayo'
LOVE RESPONSIBLY!
 
Ila safi tuu kwa maana mbususu sio kitu ya kumnyima mwanaume na wao wenyewe wanatii kiu yao ya ngono
Walioanza ngono juzi ndo wanagundua ngono rahisi ila kumbe ili kuwa rahisi kitambo kama zamani ilikuwa ngumu ukimwi usinge uwa maelfu ya watu mishoni mwa miaka ya tisini na mwanzo wa miaka ya 2000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…