Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya
Naskia Arusha kuna vikundi vya vijana wanafanya kampeni yakuingeza single maza
 
Kila kitu duniani kuna jinsia moja anakibeba kuliko kingine hamna jipya. Sawa na ukiwa na umasikini, atabebeshwa zaidi mwanaume kuliko mwanamke lakini ujue tumepata elimu sawa na chances sawa za kutafuta kipato na maisha, ila kwasababu mwanaume ndio provider na ndiyo thamani yake hiyo lawama haiepukiki vivyohivyo mke ni nurturer, her purity na kujitunza kwake ndio thamani yake. Hata upigane mara 100 hutaweza badilisha, jifunze kuishi nayo maana hata wanaume wamebeba lawama zao. Dunia uwanja wa vita!

Sent using Jamii Forums mobile app
Amini ni kweli

Mwanamke akizaa anabadilika akili mpaka maumbile anabeba mzigo pekeake

Vivyo hivyo familia ikiwa maskini baba ndo anakua ame feli
 
Hii dunia ya leo ukweli ni kwamba ukilalamika kushika mimba zisizo na baba unless kesi tofauti. Kwani wanawake wengi wanataka kuwazalia wanaume wakiamini watawaoa. Pamoja na njia zote hizi za uzazi wa mpango u ashikaje mimba kizembe kama sio asilimia kubwa wanataka wenyewe kuzaa na majamaa vilaza?.

Kongole sana kwa wachaga huwa hawaachi damu nyuma na wala hawakatai watoto kabisa. Binafsi napenda watoto mbaya na nahitaji kuwa nal hata 20😀😀 sijui naanzia wapi.
Ni mapenzi. Tuna data vibaya

Ukitaka watoto wengi usichague mama wale wanao taka wote unawapa😂
 
Walioanza ngono juzi ndo wanagundua ngono rahisi ila kumbe ili kuwa rahisi kitambo kama zamani ilikuwa ngumu ukimwi usinge uwa maelfu ya watu mishoni mwa miaka ya tisini na mwanzo wa miaka ya 2000
Amna jipya ni kwamba kila kizazi na style zao
 
Chunguza kwanza sababu zilizomfanya aachane na mmewe!
Mpaka hapo fahamu kama alikuwa ameolewa na kulipiwa mahari bado huyo ni Mke wa mtu!
 
Single mothers ni wanawake kama wengine tuu na wote wanakuja na tabia na sifa tofauti kama wanawake wengine tuu, ni vijana wajinga tuu na wasio na akili wa JF wanaoogopa kuoa single mothers kwa sababu wanaogopa watachapiwa, wengine ni single mother kwa sababu walikuwa katika mahusiano ya hovyo (abusive) sasa wametoka, wengine mwanaume alikuwa kila kona nyumba ndogo, mlevi na hajali familia etc acheni huu ujinga
 
Back
Top Bottom