Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya
Naombeni ushauri wenu wadau.

Huyu single mother ana mtoto mmoja alishawahi kuolewa akaachika kama miaka miwili imepita tangu aondoke Kwa mumewe.
Sababu gani aliachana na mumewe ?
Aliolewa au alizaa tu home?
Watoto ni wababa mmoja ?

Kama ana focus, ana hofu ya Mungu anajitambua na amekidhi matakwa yako oa
 
Naona siku hizi vijana wamechoka kutoa ushauri kuhusu kuoa single mother bila kuonyeshwa kaburi la mzazi mwenza. Uzi hautembei kabisa. Yani ni dhahiri mmekubali liwalo na liwe. Tumuache kijana aangamie kwa kuendeshwa na hisia badala ya akili.

Waswahili husema kenge hawezi sikia kwa kipigo mpaka damu zimtoke maskioni. Na siku hizi ulimwengu umekua mkatili sana, hata kama ulifunzwa na mama yako basi na wenyewe utakufunza maradufu!!!
 
Chunguza kwanza sababu zilizomfanya aachane na mmewe!
Mpaka hapo fahamu kama alikuwa ameolewa na kulipiwa mahari bado huyo ni Mke wa mtu!
Mkuu hapo kwenye aya ya pili ni kweli kabisa, sitakiwi kukurupuka
 
Single mothers ni wanawake kama wengine tuu na wote wanakuja na tabia na sifa tofauti kama wanawake wengine tuu, ni vijana wajinga tuu na wasio na akili wa JF wanaoogopa kuoa single mothers kwa sababu wanaogopa watachapiwa, wengine ni single mother kwa sababu walikuwa katika mahusiano ya hovyo (abusive) sasa wametoka, wengine mwanaume alikuwa kila kona nyumba ndogo, mlevi na hajali familia etc acheni huu ujinga
Chakula chako cha usiku juu yangu
 
Naombeni ushauri wenu wadau.

Huyu single mother ana mtoto mmoja alishawahi kuolewa akaachika kama miaka miwili imepita tangu aondoke Kwa mumewe.
Mme wangu alimzalishaga nesi mmoja hivi saizi huyo dada kaolewa na Ana mtt mmoja Cha kushangaza wanapasha kiporo na mme wangu mpk siyo poa.....oa Kaka!!! Wako atakuwa tofauti na hawa wengine
 
Mme wangu alimzalishaga nesi mmoja hivi saizi huyo dada kaolewa na Ana mtt mmoja Cha kushangaza wanapasha kiporo na mme wangu mpk siyo poa.....oa Kaka!!! Wako atakuwa tofauti na hawa wengine
Walikua hawajamaliza safari yao ya mapenzi hao
 
Single mothers ni wanawake kama wengine tuu na wote wanakuja na tabia na sifa tofauti kama wanawake wengine tuu, ni vijana wajinga tuu na wasio na akili wa JF wanaoogopa kuoa single mothers kwa sababu wanaogopa watachapiwa, wengine ni single mother kwa sababu walikuwa katika mahusiano ya hovyo (abusive) sasa wametoka, wengine mwanaume alikuwa kila kona nyumba ndogo, mlevi na hajali familia etc acheni huu ujinga
Ishu sio kuchapiwa, mbona kuchapiwa hata kama sio singo maza unachapiwa tu.
Ila ni yale mahusiano yake na baba wa mtoto na familia ya baba wa mtoto huwa hayafi, inakua kama kaolewa na wanaume wawili.
Siku mtibuana yeye ni kama anakua na backup, so sometimes anafanya kusudi akijua ana mume mwingine yuko tayari kwa ajili yake.

Yaani uoe mtu halafu anytime kuna lijamaa linapanga miadi nae kwa kisingizio cha kuona mtoto.
 
Naombeni ushauri wenu wadau.

Huyu single mother ana mtoto mmoja alishawahi kuolewa akaachika kama miaka miwili imepita tangu aondoke Kwa mumewe.

Je Mfupa alioshindwa Fisi, wewe utauweza??
 
Back
Top Bottom