Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amini ni kweliKila kitu duniani kuna jinsia moja anakibeba kuliko kingine hamna jipya. Sawa na ukiwa na umasikini, atabebeshwa zaidi mwanaume kuliko mwanamke lakini ujue tumepata elimu sawa na chances sawa za kutafuta kipato na maisha, ila kwasababu mwanaume ndio provider na ndiyo thamani yake hiyo lawama haiepukiki vivyohivyo mke ni nurturer, her purity na kujitunza kwake ndio thamani yake. Hata upigane mara 100 hutaweza badilisha, jifunze kuishi nayo maana hata wanaume wamebeba lawama zao. Dunia uwanja wa vita!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mapenzi. Tuna data vibayaHii dunia ya leo ukweli ni kwamba ukilalamika kushika mimba zisizo na baba unless kesi tofauti. Kwani wanawake wengi wanataka kuwazalia wanaume wakiamini watawaoa. Pamoja na njia zote hizi za uzazi wa mpango u ashikaje mimba kizembe kama sio asilimia kubwa wanataka wenyewe kuzaa na majamaa vilaza?.
Kongole sana kwa wachaga huwa hawaachi damu nyuma na wala hawakatai watoto kabisa. Binafsi napenda watoto mbaya na nahitaji kuwa nal hata 20😀😀 sijui naanzia wapi.
Amna jipya ni kwamba kila kizazi na style zaoWalioanza ngono juzi ndo wanagundua ngono rahisi ila kumbe ili kuwa rahisi kitambo kama zamani ilikuwa ngumu ukimwi usinge uwa maelfu ya watu mishoni mwa miaka ya tisini na mwanzo wa miaka ya 2000
Tayari unahofu ya hiki kitualishawahi kuolewa akaachika kama miaka miwili imepita tangu aondoke Kwa mumewe,
Vijana wa siku hizi hamna akili kuna demu tere niende na singo maza kweliNaombeni ushauri wenu wadau.
Huyu single mother ana mtoto mmoja alishawahi kuolewa akaachika kama miaka miwili imepita tangu aondoke Kwa mumewe,
Akipigwa na kitu kizito aje tena hapa,UNAMCHELEWESHAA Mwenzio Maendeleo