Endelea mkuu
 
Ambae ni mjane hapo sawa...
Wengine ni pasua vichwa unadhani ni sabb Gani hawaku excel kwenye mausiano ya kwanza.....

Lisemwalo lipo..kua uyaone....Hii mechi haiitaji hasira...
Vipi wanaume ambao wanaooa wakiwa tayari na watoto 6?
Wao sio pasua kichwa?
Najua hakuna mwanaume malaya kwenye jamiiπŸ€”
Honestly nyie wenzetu mmependelewa sana na hatuwezi kushindana na nyie ila tunchoomba ni mtuhurumie tu.
Tafakarini mara mbili mbili kabla ya kutuhukumuπŸ™
 
Wewe mweleze ukweli kuwa kuna wadada umewzalisha likiwemo shangazi yule wa safari ya analyseπŸ˜€

kifupi mwambie kwamba yule shangazi alitaka mwenyewe. Mbali na kuwepo njia za uzazi wa mpango zote na kujitahidi kote kumwaga nje😁 shangazi alitaka mwenyewe kuzaa abebe mzigo wakeπŸ˜ƒ
 
Gily β˜ΊοΈβ˜ΊοΈπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜€
 
Hii dunia ya leo ukweli ni kwamba ukilalamika kushika mimba zisizo na baba unless kesi tofauti. Kwani wanawake wengi wanataka kuwazalia wanaume wakiamini watawaoa. Pamoja na njia zote hizi za uzazi wa mpango u ashikaje mimba kizembe kama sio asilimia kubwa wanataka wenyewe kuzaa na majamaa vilaza?.

Kongole sana kwa wachaga huwa hawaachi damu nyuma na wala hawakatai watoto kabisa. Binafsi napenda watoto mbaya na nahitaji kuwa nal hata 20πŸ˜€πŸ˜€ sijui naanzia wapi.
 
Single mother ni Scam,

Kimbia...butua kimbia...ni visirani sana..UJUAJI MWINGI..ndio maana wanaume wanawaweka kwenye 18 butua ndukiii.....

Oa single mama pekee ikiwa mume au ex_wake ni marehemu
Mume/ex wake akiwa amekufa na ukisirani wake na ujuaji wake unaisha?
 
Ukoo wetu tupo wachache sana na sisi wanaume tusipo pambana ukoo unaweza kupotea huko mbeleni....

Mimi pia naitaji watoto kama kumi na kuendelea....😊😊
 
Umenena vema Gily .
Jishangazi la Analyse na hao wanaotegesha mimba wakidhani wataolewa hao ni wapuuzi na wajinga ila pamoja na kujua kuwa wapo wa hivyo ila pia tunajua wapo waliobakwa na wapo walionasa mimba kwa bahati mbaya wakaamua kutozitoa.

Naomba uniambie Gily unafikiri mwanamke aliyekua singo maza kwa kubakwa ni sawa kunyanyapaliwa?
Ni sawa akaitwa scam?
Ni sawa akaonekana hafai kupata uhusiano wa kudumu?
Ni sawa aonekane anafaa kugonga na kukimbiwa?
 
Shaloom.

Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa.

Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze "wachumba" wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa.

H
Hadithi ndefu ila inaonekana msimamo wa dada uheshimiwe maana alirubuniwa kihuni na kuleweshwa. Nyie mnaotutegea mimba tutawaacha na watoto wenu
 
B
Iam not a single mother(yet).
Ila hata ikitokea nimekua hakuna mtu atasema neno la kunishusha thamani sbb ya usingo maza nikaliamini.
Wapo watu wameoa singo maza na wanaishi kwa amani kuliko waliooa waliotupa watoto chooni
Basi kama unaamini kuwa hamna mtu anayeshushwa thamani kwahivyo vitu, hii mada hukutakiwa kuileta huku. Nakama unajua kuwa kuna single mums pia wanaolewa pia hii mada hukutakiwa kuileta, maana unalalamika huku ukijua malalamiko hayo hayana msingi. Hayo ndiyo maisha yalivyo, hakuna jinsia inayokula mema ya nchi wote tunateseka kwakuwa tubinadamu. Never blame your problem on anyone, they are yours and only for you, maneno ya watu hayauwii.
 
Jamaa wa dislike kaingia mzigoni naona ni mwendo wa ku dislike Kwa kwenda mbele in JPM voice πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni ngumu sana kwa yanayoonekana huku mtaani. Hasa hasa kama baba wa Mtoto yupo hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…