Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hapana mkuu sikuiz uku sizululi sana kama zamaniMdogo angu mambo vp unanitenga siku izi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu sikuiz uku sizululi sana kama zamaniMdogo angu mambo vp unanitenga siku izi..
Nimekuelewa sana sema hutaki kuamini kuwa nimekuelewa.Sio kweli kwamba umenielewa.
Mdada A amezaa na jamaa B, Kisha wakaachana kwasababu zozote wanazozijua wao. Huyu mdada A akakutana na jamaa C wakaingia kwenye mahusiano. In this scenario Jamaa B ni past, na Jamaa C ni present.
Kumbuka huyu jamaa B atakuwa anaulizia issue za mtoto wake, so wakati huyu mdada A akiwa anadili present continuous and future life with jamaa C, huyu jamaa B atakuwa anamdrag kwenye past life, at the same time watakuwa na present life, maana Wana mtoto pamoja ambae anaendelea kuwepo.
So, ukisha zaa na mtu mwingine (iwe kwa jinsia zote) past haiwezi kuwa past tena.
Tukirudi kwenye swali lako, sio kwamba single mothers wote ni wabaya, maana hata nyie ambao hamna watoto, mpo ambao ni vichomi kuliko maelezo. So kuwa mke mwema, ni mtu mwenyewe jinsi alivyo.
Jinsi nature ilivyo, wanawake mnawapenda sana watoto wenu kuliko kitu chochote, na hapo ndio weakness inapoanzia.
Sawa mdogo angu tukumbukane..Hapana mkuu sikuiz uku sizululi sana kama zamani
Siwezi kuthubutu kuwa na singo maza kwenye mahusiano au ndoa.Wewe kama wewe ushakua na singo maza wangapi vichomi??
So tatizo lako unaangalia upande mmoja Wengine wanastahili kuwa single mothers kwa uzembe tu 🤔Umenena vema Gily .
Jishangazi la Analyse na hao wanaotegesha mimba wakidhani wataolewa hao ni wapuuzi na wajinga ila pamoja na kujua kuwa wapo wa hivyo ila pia tunajua wapo waliobakwa na wapo walionasa mimba kwa bahati mbaya wakaamua kutozitoa.
Naomba uniambie Gily unafikiri mwanamke aliyekua singo maza kwa kubakwa ni sawa kunyanyapaliwa?
Ni sawa akaitwa scam?
Ni sawa akaonekana hafai kupata uhusiano wa kudumu?
Ni sawa aonekane anafaa kugonga na kukimbiwa?
Nimecheka Kwa saut mpaka wamenishanga watu wa pembeni angu 😊😊😊😂😂😂Hili ni jambo hema sana tena uzuri ukiwa na mbegu safi. Nina mbegu safi kabisa 😀
Ukijilengesha mimba kwa kuwa umeona jamaa anakaupepo ka hela mtateseka tu. Kama jamaa anaonesha hana nia ya kuwa na wewe on permanent terms kwanini umbebee mimba?Hao wanaotegesha mimba ni wapuuzi ila pia ikiwapendeza msiache damu zenu zikateseka kwa ujinga wa mama zao🙏🙏
Basically hayana msingi maana kulamikia mauaji ya albino si game of chance or natural trait na ni straight direct motive inayomwendesha mtu kumuua mwenzake ila wewe unalalamikia kitu nauturally embeded on the masculinity of a man, mwanaume hutaka kutunza mtoto wa damu yake na hupenda kujenga boma lake alilolianzisha mwenyewe na hizo ni mojawapo ya sifa za masculinity. Kuna muda zaweza kupwaya but exceptional doesn't make the rule. Sasa wewe unataka na unalazimisha kubadilisha uhalisia ufanane na disney fairy tales, it will never happen. Kama mwanamke kutaka mme mwenye uwezo kwanzia kifedha hadi kimwili, tulalamike mara ngapi haitabadilika maana kuna wanawake ni CEOs na bado wanataka wahudumiwe na mwanaume ukishindwa bado jamii itakucheka na kukusema basi ujue hivyo vitu hata kwa mwanamke vipo. Don't ever try to change masculinity, maana madhara yaliyotokea mpaka sasa yameharibu dunia to 50%. Stay in your lane, linda purity yako na mwanaume atafute pesa na maisha hakuna huruma hata kwa mmoja hapo. But exceptions exist.Kwani kama mimi sio albino nikikemea albino kuuliwa nakua nimetoa malalamiko yasiyo na msingi?
Ukiwa specific hupungukiwi kitu, be straight to the point. Kila mtu anauelewa wake wa hoja!Hapo👇
Sawa nilikutext wasp uka niblue tick tuSawa mdogo angu tukumbukane..
swala ni utajuaje kwamba huyu bahati mbaya huyu ni ukicheche wake, maana wanawake sifa yenu kuu ni uongo na drama. Unless unamjua personallyUmenena vema Gily .
Jishangazi la Analyse na hao wanaotegesha mimba wakidhani wataolewa hao ni wapuuzi na wajinga ila pamoja na kujua kuwa wapo wa hivyo ila pia tunajua wapo waliobakwa na wapo walionasa mimba kwa bahati mbaya wakaamua kutozitoa.
Naomba uniambie Gily unafikiri mwanamke aliyekua singo maza kwa kubakwa ni sawa kunyanyapaliwa?
Ni sawa akaitwa scam?
Ni sawa akaonekana hafai kupata uhusiano wa kudumu?
Ni sawa aonekane anafaa kugonga na kukimbiwa?
Mhh.. mkuu mimi na wewe tuna nini cha kubishana hapo?Ukiwa specific hupungukiwi kitu, be straight to the point. Kila mtu anauelewa wake wa hoja!
Na cm tatu so Moja iyo ni office use most of time so ngoja niangalie sijaiona na siwez kufanya ivyo mdogo angu....Sawa nilikutext wasp uka niblue tick tu
Her purity na kujitunza kwake ndo thamani yake sawa nakubali ila vipi akibakwa kama huyo wa kwenye uzi wangu ni sawa jamii kumuongelea kama kahaba asiyefaa?Kila kitu duniani kuna jinsia moja anakibeba kuliko kingine hamna jipya. Sawa na ukiwa na umasikini, atabebeshwa zaidi mwanaume kuliko mwanamke lakini ujue tumepata elimu sawa na chances sawa za kutafuta kipato na maisha, ila kwasababu mwanaume ndio provider na ndiyo thamani yake hiyo lawama haiepukiki vivyohivyo mke ni nurturer, her purity na kujitunza kwake ndio thamani yake. Hata upigane mara 100 hutaweza badilisha, jifunze kuishi nayo maana hata wanaume wamebeba lawama zao. Dunia uwanja wa vita!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa✊Nishamjibu mkuu
Ukweli utabaki uwa kweli tu😀Nimecheka Kwa saut mpaka wamenishanga watu wa pembeni angu 😊😊😊😂😂😂
SawaNa cm tatu so Moja iyo ni office use most of time so ngoja niangalie sijaiona na siwez kufanya ivyo mdogo angu....
Umeandika adrenaline ikiwa juu sana mkuu🤣.Mwanamke kujitunza, shida ya wanawake wa kisasa ni kushindana na wanaume, hili nimepitia kabisaa.
Sababu kuu za kujikuta single maza;
i. kujitegesha ashike mimba makusudi bila kupanga akidhani ndio tiketi ya kuolewa hata kama hakidhi vigezo UJINGA
ii. kuwaringia na kuwakatalia wenye nia ya dhati kuoa, kwa sababu hawako fit financially, mwisho anaangukia kwa mwenye nazo ambaye ni tapeli mpita njia TAMAA
iii. kujiona mzuri sana kwamba you want something big instead of something you deserve EGO
iv. ugumu wa maisha mpaka kuamua kubeba ujauzito ili matunzo ya mtoto ya kupe unafuu wamaisha UMASKINI
v. akili bendera, kushauriwa na mashosti, limbwata (kuroga), kucheat, jeuri, mdomo domo, katika haya utazaa kila mkoa ila utaachika tu UAMINIFU ZERO
Conditionaly usingo maza ni laana ya kurithi (mfano ninao, japo sitomwachia mtoto ntamchukua nimlee mimi singo faza ila ntamwachia upumbavu wake na laana aliyorithi)
Labda kama alishika mimba bahati mbaya na baba hamjui/ alimwongopea au amekataa mimba, kidogo kuna excuse lakini mwisho wa siku ni kiherehere chake.
Kwa sababu hizo kuoa single maza ni kujitia mikosi, labda kama baba mtoto alifariki hiyo ni thawabu mbele za Mungu.