Clepatina ana point huyu, haujamjibu
 
Mwanamke kujitunza, shida ya wanawake wa kisasa ni kushindana na wanaume, hili nimepitia kabisaa.
Sababu kuu za kujikuta single maza;
i. kujitegesha ashike mimba makusudi bila kupanga akidhani ndio tiketi ya kuolewa hata kama hakidhi vigezo UJINGA
ii. kuwaringia na kuwakatalia wenye nia ya dhati kuoa, kwa sababu hawako fit financially, mwisho anaangukia kwa mwenye nazo ambaye ni tapeli mpita njia TAMAA
iii. kujiona mzuri sana kwamba you want something big instead of something you deserve EGO
iv. ugumu wa maisha mpaka kuamua kubeba ujauzito ili matunzo ya mtoto ya kupe unafuu wamaisha UMASKINI
v. akili bendera, kushauriwa na mashosti, limbwata (kuroga), kucheat, jeuri, mdomo domo, katika haya utazaa kila mkoa ila utaachika tu UAMINIFU ZERO
Conditionaly usingo maza ni laana ya kurithi (mfano ninao, japo sitomwachia mtoto ntamchukua nimlee mimi singo faza ila ntamwachia upumbavu wake na laana aliyorithi)
Labda kama alishika mimba bahati mbaya na baba hamjui/ alimwongopea au amekataa mimba, kidogo kuna excuse lakini mwisho wa siku ni kiherehere chake.
Kwa sababu hizo kuoa single maza ni kujitia mikosi, labda kama baba mtoto alifariki hiyo ni thawabu mbele za Mungu.
 
Clepatina waoaji ni wachache sana. Humu ndani kuna kampeni ya kataa ndoa 🤣 unafikiri unaweza ukawaelesha?
Uzuri mimi sina shida ya ndoa kutoka JF ndo mana siogopi kutoa mada zitakazonipunguzia points za kupata wachumba hapa!

Wanaotaka wachumba hapa wasiige mada zangu.
Mimi niko hapa kufurahi,kujifunza na kusema vitu ambavyo wanawake wanaotafuta ndoa humu wanaogopa kusema.

Trust me wanawake wenzangu singo mazas na non single mazas wamefurahia mimi kuomba muache huu unyanyapaaji ila ndo wanaogopa kunipigia vigelegele watakosa wachumba🤣.

Najua ni ngumu kuwaelewesha ila nimeona kuliko kuongelea mada pendwa kama 3some,misambwanda na kujitongozesha nikaona acha JMos yangu niitumie kuanzisha uzi wa kuwatetea wanawake wenzangu.

Hata wasiponielewa ila nina furahi kufanya nilichofanya😍🤩
 
Sio kweli kwamba umenielewa.

Mdada A amezaa na jamaa B, Kisha wakaachana kwasababu zozote wanazozijua wao. Huyu mdada A akakutana na jamaa C wakaingia kwenye mahusiano. In this scenario Jamaa B ni past, na Jamaa C ni present.

Kumbuka huyu jamaa B atakuwa anaulizia issue za mtoto wake, so wakati huyu mdada A akiwa anadili present continuous and future life with jamaa C, huyu jamaa B atakuwa anamdrag kwenye past life, at the same time watakuwa na present life, maana Wana mtoto pamoja ambae anaendelea kuwepo.

So, ukisha zaa na mtu mwingine (iwe kwa jinsia zote) past haiwezi kuwa past tena.

Tukirudi kwenye swali lako, sio kwamba single mothers wote ni wabaya, maana hata nyie ambao hamna watoto, mpo ambao ni vichomi kuliko maelezo. So kuwa mke mwema, ni mtu mwenyewe jinsi alivyo.

Jinsi nature ilivyo, wanawake mnawapenda sana watoto wenu kuliko kitu chochote, na hapo ndio weakness inapoanzia.
 
Kwani kama mimi sio albino nikikemea albino kuuliwa nakua nimetoa malalamiko yasiyo na msingi?
 
Naomba tufunge mjadala umemaliza Kila kitu...
 
Hawa Singo mama ni wa kuogopa.

Kuna mmoja baba Mtoto alikataa mimba. Jamaa Mwingine akamuoa.

Ila Leo hii anampelekea papuchi yule jamaa aliekataa mimba kificho huku mumewe hajui.

Ni balaa hawa viumbe
 
I didn't mean you are looking for a partner here. I just said these men who we see campaigning for no marriage they won't understand what you are saying. What you trying to explain hold no water🤐 in other words you are screaming to deaf people. Au niseme tu ukimpigia mbuzi ngoma atacheza?😀

I appreciate you writing for single mothers who can not write for themselves. You understand their feeling🙃

hata wasipofurahi unafurahi kufanya ulichofanya well said😀
 
Huo ni msemo tu, au kauli jumuishi. Ni kama ambavyo wanawake huwa mnasema "wanaume wote ni mbwa" kwani huwa ni kweli? . Mbona ndoa zinafungwa kila kukicha?

Sio kwamba singo Maza ni wabaya au hawafai. Na hakunaga mtu mbaya, Inatokea tu umekutana na ambae hamkuendana. Kama ambavyo mahusiano na mwanamke yeyote yanaweza kuwa
 
Naomba unikumbushe tafadhali!
Hapo👇
 
Mkuu inawezekana wewe ni mwema na una nia njema kabisa ila tatizo ni mambo yanayowahusu single mazaz tunayoyashuhudia huku mitaani ndio tatizo.

Uhalisia mtaani upo tofauti na unachokitetea.

Ndio maana kuna baadhi utaona wanasema endapo kama Baba wa Mtoto kafariki wapo tayari kuoa single maza bila kujali mengineyo, unadhani kwanini?
 
Born & raised by singomaza ila huwa hataki kusikia kijana wake yeyote anaoa singomaza, ukimuuliza why, anajibu “Watoto wote wazuri hawa why ukaoe mke wa mtu mali pochocho” [emoji28]
Mama wa wanaume 95% hawawezi support watoto wao kuoa single mothers
Labda mwanaume husika afanye maamuzi magumu mwenyewe kulingana na alivyomuona huyo mwanamke husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…