Nimekuelewa sana sema hutaki kuamini kuwa nimekuelewa.

Hata wanaume wenye watoto nje ya ndoa huwa wanapasha viporo na mama watoto zao ila pia sio wote hivyo hivyo pia wapo singo maza wanaopasha viporo na baba mtoto ila sio wote.

Nilichokipenda kwenye hii comment yako ni wewe kukiri kuwa sio single maza wote ni wabaya mana huo ndio mtizamo ambao nimewaomba muwe nao ktk uzi wangu.

Kisichopendeza ni jamii kubwa kuamini mtu akiwa singo maza tu huyo ni scam sijui kichomi.

Haiwezekani kundi kubwa la watu kuwa na tabia zinazofanana
 
So tatizo lako unaangalia upande mmoja Wengine wanastahili kuwa single mothers kwa uzembe tu πŸ€”
ila kwa case chache haimaanish wanadharaulika πŸ˜€ what do you want me to say?


I still see single mothers wakiolewa ukisoma mtandaoni utadhani single mothers hawaolewi🀣
 
Kwani kama mimi sio albino nikikemea albino kuuliwa nakua nimetoa malalamiko yasiyo na msingi?
Basically hayana msingi maana kulamikia mauaji ya albino si game of chance or natural trait na ni straight direct motive inayomwendesha mtu kumuua mwenzake ila wewe unalalamikia kitu nauturally embeded on the masculinity of a man, mwanaume hutaka kutunza mtoto wa damu yake na hupenda kujenga boma lake alilolianzisha mwenyewe na hizo ni mojawapo ya sifa za masculinity. Kuna muda zaweza kupwaya but exceptional doesn't make the rule. Sasa wewe unataka na unalazimisha kubadilisha uhalisia ufanane na disney fairy tales, it will never happen. Kama mwanamke kutaka mme mwenye uwezo kwanzia kifedha hadi kimwili, tulalamike mara ngapi haitabadilika maana kuna wanawake ni CEOs na bado wanataka wahudumiwe na mwanaume ukishindwa bado jamii itakucheka na kukusema basi ujue hivyo vitu hata kwa mwanamke vipo. Don't ever try to change masculinity, maana madhara yaliyotokea mpaka sasa yameharibu dunia to 50%. Stay in your lane, linda purity yako na mwanaume atafute pesa na maisha hakuna huruma hata kwa mmoja hapo. But exceptions exist.
 
swala ni utajuaje kwamba huyu bahati mbaya huyu ni ukicheche wake, maana wanawake sifa yenu kuu ni uongo na drama. Unless unamjua personally
 
Ukiwa specific hupungukiwi kitu, be straight to the point. Kila mtu anauelewa wake wa hoja!
Mhh.. mkuu mimi na wewe tuna nini cha kubishana hapo?
Nilimquote Clepatina kwenye comment yako kwamba hajaijibu, kumaanisha ulikuwa umetoa point nzuri yenye mashiko.
Kwaiyo tokea kwenye comment yangu ujumuishi wako haukuwa unahitajika, unless ulitaka kupigilia msumari point uliyokuwa umeitoa, ama kama ni alijibu na sijaona ungeniquote kwenye reply yake.
 
Her purity na kujitunza kwake ndo thamani yake sawa nakubali ila vipi akibakwa kama huyo wa kwenye uzi wangu ni sawa jamii kumuongelea kama kahaba asiyefaa?

Lengo la uzi wangu ni kuomba msi generalize maana kuna waliojikuta single maza kwenye mazingira ambayo hata wewe ungekua ni mwanamke ungejikuta tu ushakua singo maza bila kupenda
 
Umeandika adrenaline ikiwa juu sana mkuu🀣.
Relax.
Pole ila sio wote wako hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…