Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya
Hapana mkuu , nakupinga hili. Huu ni naked lie
Mi nilishawah kula singo mama wa aina hyo ila alikuwa kama anasiku tano toka atoke hospital,nilkutana na bwawa ambalo sijawah kutegemea kukutana nalo,yaan nilipwaya haswa na vile nilivyonakibamia
 
Mi nilishawah kula singo mama wa aina hyo ila alikuwa kama anasiku tano toka atoke hospital,nilkutana na bwawa ambalo sijawah kutegemea kukutana nalo,yaan nilipwaya haswa na vile nilivyonakibamia
😅😂🤣
 
Wekeni tu sheria single mothers wauwawe kunyanyapaa kila siku imetosha sasa
Ukisoma mambo humu ukasikia kila mara kuhukumiwa, ni kheri usiingie humu kabisa. Biblia inasema, yoyote yaliyo ya kweli, yoyote yaliyo ya staha, yoyote yaliyo safi, yoyote yenye kupendeza, yoyote yenye sifa njema, ukiwapo wema wowote, ikiwapo sifa nzuri yoyote yatafakarini hayo.

Kama jambo linakuumiza kila mara usiwe karibu nalo. Kuna watu wa kila kariba humu. Unayajua uliyoyapitia, iwe ulikosea iwe ulikuwa huna kosa, kama uko tayari kusonga mbele na kuishi katika amani, jisamehe na inuka tena. Hakuna anayekujua zaidi ya wewe dearest. Usihold grudge against anybody, struggle kuwa the best version of you every single day.

Afu kama vipi, acha na kusoma hizi mada kwa ajili ya afya ya moyo na akili yako. Ni hilo tu.
 
Kuna ukwel ktk chapisho lako lakini ki vyovyote ni jukumu letu wanaume kuhakikisha ustawi wa watoto wetu hata kama hakuna maelewano
Watoto hawana shida, lakini binadamu tumeumbwa tofauti, mtu mwingine akiona mwanamke ni mshenzi anamuacha hapo na wala hawazi chochote nyuma
 
Haya mambo ndo yanafanya watu wanavumilia mateso humo ndoani/kwenye mahusiano sababu akitoka jamii inaanza kumuita majina ya ajabu na hukumu kama hizi. Ni kweli wapo wachache wenye viburi na kukosa utulivu ila pia kuna wengi ambao ni victims.

Be sure not to mock a pain you haven't endured.
 
Nina gateman wangu ,jamaa kwa kweli anafaidi mbususu za kitaa Sana , utaskia Friday "boss nataka kwenda kuona wazazi weekend" kila weekend analaza mbususu Kama mbili tofauti ,sifa zake naziskia Sana [emoji23][emoji23][emoji23] single Maza kwa huyu mwamba hawapiti ,hit n run tu
 
Back
Top Bottom