Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 2,042
- 4,416
Bila kufanya makosa huwezi kuwa binadamu. Hongera kwa kuwa muungwana , nina imani uliowakwaza wamekusamehe.Jana nililewa kwa stress za kupoteza pesa kama milioni 40 kizembe kwa kumwamini ndugu kijinga sana
Kwenye reply zangu za jana nilikosea sana ni ulevi tu
Kweli nisameheni wale nilio wakera🙏
Hapana mkuu niwe mkweli sikutoa, roho ilini suta sanaPole sana, kwani na wewe ulituma mchango wa gari?
Nilisema leo utakimbia ule uziKaone 🤣
Ila wewe una shida sana, umesema hii I'd huijui, sasa hivi unataka kunioa, na hunijui, sa kama Mimi ni POPO BAWA, hayo Malinda yatakuwa salama kweli?Imani yangu inaniruhusu kuoa wake wanne,
Unahitaji ndoa binti?
Ila jana 🙌Kweli ulisema 🤣
Na usije kurudia kusema vile bora ungezima simu ulewe vizuri🤣 imebidi nifute , dogo nilimkwaza sana
Ndoa unaitaka au huitaki?umesema hii I'd huijui, sasa hivi unataka kunioa,
Si Bure una shida wewe mahala
Min hiyo pesa apoteze aje JF kutukana?Meku na hela, wee [emoji23][emoji23][emoji23]
Sijamaanisha ujiue ila kwa kifupi nikipoteza milioni 1 leo hata jf siingii zaidi nitakua nawaza kuliko kawadi.Sasa nijiue mkuu?
Hiyo emoji huwa ina majibu bila hata ya kutype chochote..!! 😹Umeona eeh,. Hii emoji inanipa raha mimi wouii😹😹
Nakufikiria sikumalizi, umesema hii I'd huijui, sasa hivi umekomalia ndoa, mmmhhh, au we ni anko TNdoa unaitaka au huitaki?
Acha kuuma uma kucha,jibu swali basi.
Yupo kipindi cha uangaliziHawezi kukubali, anajifanya mwamba🤣🤣
Tumetofautiana mkuu , hatuwezi fananaSijamaanisha ujiue ila kwa kifupi nikipoteza milioni 1 leo hata jf siingii zaidi nitakua nawaza kuliko kawadi.
Kwa maisha ya sasa 80% ya watanzania hawajawahi kuishika milioni 40 wala hawategemei kuishika. Hii inamaanisha wewe ni mtu wa uchumi wa juu ndio maana tunachat hapa wakati jana umepoteza milioni 40.
Shukuru sana kwa nafasi ya uchumi uliyopo..... mimi hapa kudunduliza milioni 1 naweza kuchukua miezi miwili baada ya kutoa matumizi 😊😊
Li min liongo liongo jirani 😹😹😹Hahaha jamani Mlongo kwani humjui min akishalewaga kujitia billionaire wa Jf??,.
The next morning aje na uzi wa kuomba radhi ili mumwambie mlevi anaongeaga ukweli kwamba kweli mpunga upo,.
Sema watu mna mbinu humu😂😂🙌🏻