AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,318
- 4,106
Hahahahahahah ndio maisha yalivyo dar! Kwa hali hio uchawi ni ngumu kuisha😅 mtu kapandisha losheni yake moja rum 6 full furnished bila kupumua yani ngoma ndani ya miezi 3 watu washahamia😅Ukitaka uishi kwa raha dar lizika na ulichonacho ,unaweza kuwa unahangaika kujenga room tatu au mbili kwa mbinde afu anakuja jiran yako anajenga ghorofa kwa speed ya 5g mpaka anahamia ww hata lenta hujafunga .
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Africa viongozi huku ni kama Miungu watu yani mtu akishapewa madaraka akili za kibinadamu anaziwacha pale anapoingia mlango wa ofisini tu😅!Shida kubwa ya afrika imekosa mifumo bora ya uongozi.
Ni afrika pekee ndipo viongozi wake Wana Kinga ya kutokushtakiwa ikiwa na maana ya ruhusa ya kufanya chochote kwa raia wao ikiwemo ufisadi.Afrika mtawala ni mungu,kwa wenzetu kiongozi,raisi ni mtumishi wa watu ukifanya ufisadi,wizi,nk unaondolewa hadhi yako ya uraisi au uongozi unashughulikiwa bila huruma ikibidi kupotea kabisa.
Thus wao Wana maendeleo.
Mkuu yangu ni ya 2010 na nimeuza maana iliwahi nitokea hiyo ishu mara 2, mara ya kwanza Naelekea Dodoma, na Mara ya Pili naelekea Mtwara. SINA HAMU NAYO. Sijui shida ni nini au kwakuwa sio mtaalam wa magari ila PRADO TX hapana.L
Hahahah gari za 1999 nyingi zina Alias ya Massawe sababu kimsingi huwezi kumkosa nayo hio gari huyo Massawe!
Rav 4 Massawe, Prado Massawe pamoja na Suzuki Massawe!
Acha tu ,unakaa unamwangaliaaa wewe hata hujui unajipindua vipi umalize kijumba chako ,yeye mafundi hawalaliii .Dar ukifikiria sanaa unaweza punguza siku za kuishi ni bora kufurahia maisha ya saizi yako tu.Hahahahahahah ndio maisha yalivyo dar! Kwa hali hio uchawi ni ngumu kuisha[emoji28] mtu kapandisha losheni yake moja rum 6 full furnished bila kupumua yani ngoma ndani ya miezi 3 watu washahamia[emoji28]
Factory defects tu, atleast moja ya gari katika 1 million inaweza kuleta defects. Ikawa ina shida flani mkuu ila sio kwamba zote. Ulibahatika kupata ambayo ni problematic one.Mkuu yangu ni ya 2010 na nimeuza maana iliwahi nitokea hiyo ishu mara 2, mara ya kwanza Naelekea Dodoma, na Mara ya Pili naelekea Mtwara. SINA HAMU NAYO. Sijui shida ni nini au kwakuwa sio mtaalam wa magari ila PRADO TX hapana.
Eeh mi huwa naita kukamua kwa uwezo yani. Usifosi maana unaweza ukapotea au ukaishi na sonona tu!Acha tu ,unakaa unamwangaliaaa wewe hata hujui unajipindua vipi umalize kijumba chako ,yeye mafundi hawalaliii .Dar ukifikiria sanaa unaweza punguza siku za kuishi ni bora kufurahia maisha ya saizi yako tu.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Umama umekuzidi.Wivu gani hapo wewe mke wa muuza madawa ya kulevya, huna taarifa ya kwamba wizi, ujanja na biashara haramu zimeongezeka sana kwa miezi ya hivi karibuni…
Sasa Mjomba Kama bongo Maisha Ni marahisi hivi kwanini wewe usifanye huo mchongo mpk ukawa unatafuta kazi ya kua mchanganya cocktail huko mahotelini mkuu?hatari Sana kiufupi bongo Hela ipo ya kutosha imetulia inakungoja ni ujanja wako tu hapa mjini huwezi kosa Hela wewe kusanya mawe Yako Tani 5 Kwa kuokoteza halafu tangaza nauza mawe hapa huwezi kosa wateja katu,Kila kitu ni biashara bongo Hadi Dini yaani wewe huoni kina shila eti nao ni manabii na Wanakusanya sadaka mpaka 1million per Sunday
Bongo nyosso!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ni kwa sababu hakuna mwenye moral authority ya kumkemea mwenzake.Viongozi wameingia madarakani kimichongo, wananchi wenyewe wako kimichongo michongo mwisho wa siku tunaenda kimichongo hivyo hivyo tu.Africa viongozi huku ni kama Miungu watu yani mtu akishapewa madaraka akili za kibinadamu anaziwacha pale anapoingia mlango wa ofisini tu[emoji28]!
Ni kujineemesha kwa kwenda mbele kwa kila fursa anayoona iko usawa wake yani na kejeli nyingi tu kwa wananchi sema tu ni vile tumeumbiwa upole ila kwa nchi ambazo wananchi ni vichaa upuuzi kama unaofanyika nchini hapa hawawezi uvumilia hata kwa week 1 tu lazma kiumane.
Yani mtu anafanya ufisadi kwenye hela za umma na still atatoa jibu jepesi tu akiulizwa na sababu ana backup ya askari anajua hatoguswa. Raisi nae unakuta wala hana habari na mtu[emoji28]
Unashida ya kukunwa wewe si bure..
Ni balaa!Hajawahi kuipanda hata ile TRJ120 tu! Wanaita Prado Diamond ile... Apple lake sio mchezo iko very comfortable yani. Hii KAKADU na maboresho yaliofanyika itakuwa bora zaidi pasi na shaka.
Zile walisimamisha production Japan! Zinazalishwa Australia tu kwa sasa sababu material yalikuwa adimu!Na hivi karibuni mtaanza kuziona zile lc 300 series
Nimeshaiona 1 IT hapo dar ikipelekwa Congo/ Rwanda.Zile walisimamisha production Japan! Zinazalishwa Australia tu kwa sasa sababu material yalikuwa adimu!
Yeah ni za mwanzo pre-orders hizo na zile ambazo zilikwishapelekwa Dubai! Kuagiza Japan hutoipata ziko Australia na Dubai ambako ndio masoko makubwa ya Land Cruiser!Nimeshaiona 1 IT hapo dar ikipelekwa Congo/ Rwanda.
Hahahahah maisha maraisi kwenye Keyboard mkuu ukimwagwa field kitaani with bare hands uambiwe pambana uzalishe 1M tu kwa mwezi ndio utajua hujui!😅Sasa Mjomba Kama bongo Maisha Ni marahisi hivi kwanini wewe usifanye huo mchongo mpk ukawa unatafuta kazi ya kua mchanganya cocktail huko mahotelini mkuu?
Nikipata pesa nitanunua v8
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] jamaa wanavyoandikaga kirahisi rahisi tu wanaweza kuleta Sonona kwa watu wkt ukweli Hali Ni taiti tu mzee.Hahahahah maisha maraisi kwenye Keyboard mkuu ukimwagwa field kitaani with bare hands uambiwe pambana uzalishe 1M tu kwa mwezi ndio utajua hujui![emoji28]
Yani pambana mwisho wa mwezi uwe una 1M kibunda mkononi bila shughuli maalum ndio utajua kama Dar maisha ni maraisi au mawaziri mkuu!
[emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanakodisha bunduki wanapata pesa