Mwanaume anakuwa dominated na eneo dogo sana lisilozidi hata 10 cm2 akileta za kuleta anadondokea njeUzoefu unaonyesha katika familia nyingi ndugu wa mwanamke ndio anaweza kutoboa na kuishi kwa amani kwenye familia nyingi. Ndugu wa mwanaume ni mara chache sana, tena wanaishi kwa kufosi.
Tatizo huwa ni nini?
I miss you madam.Wanawake tutabisha tu...lakini wanawake ni wabinafsi mchawi akasome
[emoji3][emoji3][emoji3]Tuache Ujamaa kila mtu akae kwa wazazi wake.
Wazazi ndiyo wenye jukumu la kulea na kusomesha.
Ndoa changa ziachwe zenyewe
NB: Umasikini mbaya sana
Mbona unabadilisha maneno? Kuna mahali nimesema nachukia ndugu? Tabia mbaya sana kubadilisha maneno ya mtu na kujitungia yako [emoji4][emoji4] hii ndio wale tunasema umbea ambao watu wanasutwaUsipokuwa na taa ya Mungu rohoni hali ndo huwa kama hivi,
Kuwachukia ndugu na jamaa pasipo na sababu ya msingi. Roho ya choyo ni machukizo kwa mwenyezi Mungu.
Ni malaya hao bola changudua ana akiliOgopa sana mwanamke anayejiita mlokole [emoji24][emoji24]
Iko hivi wakati mwingine tunajudge isivyo.Ndugu wa mwanamke siku zote atajiona nipo ugenini kwa kuwa ni kwa shemeji hivyo atakua humble kidogo na wa kiume kwa kaka anapaona ni kwake hivyo kutaka kuwa na mamlaka jambo hilo huwaudhi sana akina mama na chuki huanzia hapo.Japo yapo mazingira ambayo ubinfsi hutangulia zaidiUzoefu unaonyesha katika familia nyingi ndugu wa mwanamke ndio anaweza kutoboa na kuishi kwa amani kwenye familia nyingi. Ndugu wa mwanaume ni mara chache sana, tena wanaishi kwa kufosi.
Tatizo huwa ni nini?
Kuwa na brekiWanawake wengi ni viumbe wenye roho mbaya sana, pia ni wabinafsi. Mchunguze hata mama yako
Kutotaka wasije kwako hiyo ni chuki na choyo juu, na aghalab masikini ndo huwa na roho za namna hiyo sababu ya ufinyu wa bajeti zao.Mbona unabadilisha maneno? Kuna mahali nimesema nachukia ndugu? Tabia mbaya sana kubadilisha maneno ya mtu na kujitungia yako [emoji4][emoji4] hii ndio wale tunasema umbea ambao watu wanasutwa
Hahahaaaa unapenda kusema uongo sana wewe. Sijasema mtu asije ila sio mtu uhamie kwangu. Unahamia kwa shemeji yako mpaka unawakosesha uhuru mke na mume kupeana malovidovieKutotaka wasije kwako hiyo ni chuki na choyo juu, na aghalab masikini ndo huwa na roho za namna hiyo sababu ya ufinyu wa bajeti zao.
Hizo sio mila zetu ni mila za wazungu. Waafrica kukaa pamoja na kutembeleana ni mila tumedumu nazo tokea tuje dunianiTuache Ujamaa kila mtu akae kwa wazazi wake.
Wazazi ndiyo wenye jukumu la kulea na kusomesha.
Ndoa changa ziachwe zenyewe
NB: Umasikini mbaya sana
Huwa wanakaa hapo sana ili watumike kama substitute ya ndugu yao anayehenyeshwa usiku kuhudumia mahari wsliyopokea.Uzoefu unaonyesha katika familia nyingi ndugu wa mwanamke ndio anaweza kutoboa na kuishi kwa amani kwenye familia nyingi. Ndugu wa mwanaume ni mara chache sana, tena wanaishi kwa kufosi.
Tatizo huwa ni nini?
Huu ndio ubinafsi unaozungumziwa hapaKuna watu wana moyo. Mimi mtu akija kwangu siku chache tu nimemchoka awe ndugu yangu au wa mume. Kukaa uncomfortable nyumbani kwangu kisa mgeni siwezi kabisa
Hapa umenena ukwel kabisa,ninao ndugu waliobadili dini na kuwa walokole wana roho mbaya sana,yaan wanacheka na wanaosali nao tuOgopa sana mwanamke anayejiita mlokole 😭😭
Umemaliza mjadalaMwenye maono ya lini na nani wa kuoa ni mwanaume ila ndoa ni ya mwanamke
Mwenye kujenga mjengo wa kuishi ni mwanaume ila nyumba ni ya mwanamke
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hatukatai kutembeleana, issue inakuja unataka ukae kwa watu permanent, Bora angalau uende kimasomo, au kusikilizia mchongo Fulani, lakini hii unakuja kukaa kwa ndugu permanent kama kwenu sio poa.Hizo sio mila zetu ni mila za wazungu. Waafrica kukaa pamoja na kutembeleana ni mila tumedumu nazo tokea tuje duniani
Aisee ni nani huyo anakuja kuishi kwa ndugu permanent? Yaani anakuwa yupo tu bila shughuli na hujamuita! ? Hii mbona km haingii akiliniHatukatai kutembeleana, issue inakuja unataka ukae kwa watu permanent, Bora angalau uende kimasomo, au kusikilizia mchongo Fulani, lakini hii unakuja kukaa kwa ndugu permanent kama kwenu sio poa.