Kwanini ndugu wa mwanamke mara zote hukaa kwenye familia kuliko ndugu wa mwanaume?

kwa sababu ndugu wa mke unaweza kuwatafuna ila ndugu zako kidume huwezi kuwatafuna
 
Hizo baraka ni za namna gani? Hapo hamna ukweli wowote. Kila mtu akae kwake ukienda kwa watu sio uhamie unakwaza. Sio selfishness nimesema ukweli si bora yangu kuliko mnaobagua wageni.

Ubinafsi na uchoyo! Mwanamke…
 
Mbaya sana, kuna familia fulani yeye mkewe akiwepo nyumbani mpaka mende wanafyata mkia, anafoka kwa ukali wakati akitoa maelekezo ya kazi, mama mkwe halikadhalika ikabidi awe anajishughulisha kwa hofu ya kuonekana mzigo tu, na uzee wake bibi wa watu akadondoka akavunjika kapelekwa hosp kesho yake kafariki dunia, tunajua hili na vifungu vya biblia mke amekariri vya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…