Hayo matendo yanaendana na maandiko?Cha ajabu hizo imani tulizoletewa ndio zimekuwa mawakala wa ubakaji, ulawiti na maadili mengine mabovu. Kidume mzima aliyekomaa anajificha mbele ya madhabau na kupachikwa jina Padre anaapa kuishi bila kuoa kwa sababu ya Mungu mwisho wa siku anaishia kulawiti vijana wa altareni. Stupid