Kwanini Taasisi za kidini zinahodhi maeneo makubwa ya Ardhi Tanzania? Wapewe wananchi

Hii nchi, wengi walioenda shule walienda kusomea ujinga.

Mfano mzuri ni wewe na wengine wengi walio kama wewe. Mna "ujinga wa Kiafrika", anasema Dhahabu Nyeusi. Umemsikiliza Dhahabu nyeusi?
 
Nchi nyingi za duniani zinamiliki ardhi Tanzania. Hata Tanzania tuna miliki ardhi nchi za nje.

Ni makubaliano ya Kimataifa.
Ni kweli Tz inamiliki ardhi ktk nchi za nje, LAKINI ni kwa sababu ya matumizi ya Shughuli za Kidiplomasia tu (Kujenga Majengo ya Ofisi za Ubalozi tu), wala siyo kwa ajili ya kufugia Mifugo (kuweka Ranchi ya wanyama ) kama ile Ranchi ya RAZABA kule Kiwangwa Bagamoyo.
 
Makanisa ya nje yanamiliki zaidi ya hekta hizo Tanzania. Huelewi hilo?
 
Hii nchi, wengi walioenda shule walienda kusomea ujinga.

Mfano mzuri ni wewe na wengine wengi walio kama wewe. Mna "ujinga wa Kiafrika", anasema Dhahabu Nyeusi. Umemsikiliza Dhahabu nyeusi?
Ukweli Mchungu umekuchoma moyoni.
You have to argue with reasons., not only the reasons but the "reasonable reasons"
 
Kwa hivyo KADCO ndio mfano wa moja ya taasisi za kidini hapa Tanzania?!
Wivu na chuki vitakumaliza...hii hoja yako najua unawalenga Wakristo halafu unajisahaulisha Waislam chini ya BAKWATA viwanja vyao vingi wameuza kwa watu binafsi tofauti na wenzao.
Kumbuka ardhi hizo zinazokuuma zinamilikiwa kisheria, siunajua tena shule mingi zimewasaidia!.
 
K
KADCO ndiyyo nani, siwafahamu.

Taasisi za kidini Tanzania nazifahamu ni Bakwata 100% Fanzanian. Rc Church 100% Vatican. Anglican Church 100% England. Lutheran Church 100% Germany.

. Hizo naona. Ndiyo taasisi kubwa za kidini Tanzania. Nyingine hazina kauli.
 
Exactly
 
Tazameni wanaopinga wazo langu hili ndio haohao wanaopinga Dubai wasiendeshe gati (berths) za container za bandari ya Dar.

Tujiulize, kwanini
 
Tazameni wanaopinga wazo langu ndio haohao wanaopinga Dubai wasiendeshe gati (berths) za container za bandari ya Dar.

Tujiulize, kwanini?
😂😂😂😂

Freeman ana tenda ya kuuza "Mfugo" Dubai

Kwahiyo usiingize udini Dubai
 
Tazameni wanaopinga wazo langu ndio haohao wanaopinga Dubai wasiendeshe gati (berths) za container za bandari ya Dar.

Tujiulize, kwanini?
Watu wanapinga DPW au wanapinga mkataba hususani kuhusu masharti/vifungu vya mkataba??
Hivi wewe una kiwango gani cha elimu?
 
Watu wanapinga DPW au wanapinga mkataba hususani kuhusu masharti/vifungu vya mkataba??
Hivi wewe una kiwango gani cha elimu?
Elimu yangu ni ya Madrassa., ni mwanafunzi daima.


Kuhusu vifunguvya mkataba bofya chini hapo, tukaviadili👇🏾

 
Faiza unalipwa shi ngapi kwa hii fitna yako unayoieneza humu?
Huoni aibu ktk umri kama wako kuyafanya haya? Hizi chuki unataka ku achieve nini?
 
Kama ni ruksa taasisi za kidini kuhodhi ardhi popote, Waislam warudishiwe ardhi na majengo yao waliodhulumiwa, bofya chini ujionee 👇🏾

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…