Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

Kwa manufaa ya uma.

Tuache kwanza mchakato huo.

Vitapitishwa vitu vya ajabu tulaumiane miaka mingi ijayo.
Sikubaliani nawe katika hili.

Ila jinsi nilivyokusoma ukisononeka kwenye yote uliyoandika kwenye mada hii, mwishowe ilibidi nijiulize swala la ajabu kidogo.

Samahani naiweka mbele, siyo nia yangu ya kukashifu chochote, lakini nikawaza:
Hivi ingetokea Magufuli akajitokeza sasa hivi, na kukuta anayoyafanya msaidizi wake mkuu; hivi angejisikiaje?

Hivi huyu mama asingetumbuliwa mara mblimbili na kupewa maneno makali kwa haya anayoyafanya sasa hivi?
 
Kumbe mkurugenzi wa TPA ni mzanzibar ?Kweli Samia alijiandaa .
 
Kwani mzanzibari sio mtanzania?

Hebu tuache haya mambo ya ubaguzi usio na maana

Na bandari haijauzwa, na haiwez kuuzwa,

So punguza presha ya na taharuki
Mkataba ni miaka mingapi?
 
Tatizo hapo ni katiba mbovu isiyowakataza Wazanzibari kufanya maamuzi ya Tanganyika,wakati Mtanganyika hawezi kufanya kazi SMZ....huu Muungano ufilie mbali
[emoji625][emoji625]
 
CCM OYEE
 
Natoa wito Kwa Serikali kuanza kuwashighulikia wapotoshaji kama Hawa
 
Kawapa wageni au kawapa ndugu zake?. Tenda ya kubinafusisha bndari ilitangazwa wapi??
 
Unamaanisha nakumati au
 
Tanzania iliyo asisiwa na Mwl Nyerere hii
 

Attachments

  • FB_IMG_1686228239332.jpg
    20.2 KB · Views: 4
Wabongo hatuna uzalendo bhana waziri mkuu makamo mwanasheria mkuu wabunge wote hao ni wengi serikalini kuliko hao ulio wataja bado mkuu wa majeshi,vipi wazidiwe akili na watu hao wachache?kama waliona nguvu ya rais kuwazidi kwa nini wasikinukishe?
 
Unamaanisha Samia ni mwizi pia!.
 
Wabongo hatuna uzalendo bhana waziri mkuu makamo mwanasheria mkuu wabunge wote hao ni wengi serikalini kuliko hao ulio wataja bado mkuu wa majeshi,vipi wazidiwe akili na watu hao wachache?kama waliona nguvu ya rais kuwazidi kwa nini wasikinukishe?
Wanawaza matumbo yao tu kwa kuwa na wao wanufaika!
 
Dungai alisemaga lakin akawa excommunicado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…