Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

Kwa sasa inabidi uwe na mazingatio kuwa bi mkubwa ni mzanzibar na hata hivyo hii nchi ni moja tu na sio mbili kwamba zanzibar na tanganyika ni tuliunganaga ni nchi moja
 
Na wanawauzia haohao ndugu zao katika imani.😁.

Hao DP World wapo bandari nyingi tu duniani ila huu mkataba na Tz utakuwa na terms za kipumbavu kuliko kote walipo.
 
Hao bandari hawana huwezo wa kuendesha, tumejaza majitu yenye mavitambi ila kichani akili ni kama kisoda

Kwahiyo tuwauzie waarabu ?.
Wewe kama umeshindwa umtimizia mkeo unamgawa kwa majirani au unatafuta njia sahihi ya kutatua tatizo !.

Mpuuuzi kweli kweli.
 
Wazanzibar wanajionaga nao kama ni Waarabu.Mama akikutana na Waarabu meno yote 32 nje!
 
Tumepigwa kwa Fei,tukataletwa kwa Yanga kwenda Ikulu mixer vituko vya Morrison, tukaja mabehewa ya gorofa, mkeka wa DED ukabiduliwa then katikati ya haya matukio ndio wakapenyeza ya Bandari, kudadeki hapo ndipo ujue kuna mashivo walichora mchoro, haya wale wa Burundi mjiandae.
 
Mgodi wa mwadui umeuzwa na nani?
 
Wameshaona hatujitambui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…