Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Ni kweli ila hiyo hailalishi uuzaji wake kwa aina hii.Hao bandari hawana huwezo wa kuendesha, tumejaza majitu yenye mavitambi ila kichani akili ni kama kisoda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli ila hiyo hailalishi uuzaji wake kwa aina hii.Hao bandari hawana huwezo wa kuendesha, tumejaza majitu yenye mavitambi ila kichani akili ni kama kisoda
Huyo ni muendeshaji sio mkusanya Kodi, Tra wako pale pale kukusanya kodi, kazi ya hao jamaaSasa kama mtu anaendesha kwa miaka 99 kuna tofauti gani na kuuza?
Tatizo ni sisi wabara kuruhusu kutawaliwa na watu wa nchi nyingine, tukatae huu upuuzi mali zetu zinaishaHeshima kwenu wanajamvi,
Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika.
Rais awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE.
Rais Samia Suluhu Hassan na yeye anauza Bandari zetu zote za Tanganyika kwa waarabu wa DUBAI huku Bandari za Zanzibar zikisalimika katika uporaji huu uliotukuka.
Ifahamike BANDARI ni suala la MUUNGANO lakini utashangaa suala la kuuza BANDARI zetu zote kuanzia MTWARA, TANGA, BAGAMOYO na Dar limezigusa bandari za TANGANYIKA peke yake huku BANDARI za Zanzibar zikisalika. Ijulikane mapema zoezi hili la uporaji litagusa pia BANDARI zilizoko katika maziwa yetu yote yaani Ziwa Victoria, Nyasa,Tanganyika.
Wahusika wote katika uporaji wa wahusika wakuu ni WAZANZIBAR kwa maana ya RAIS na Waziri.
Kwa hakika suala la katiba mpya sasa haliepukiki.
Ngongo kwa sasa safari Dubai - Deira
Kuna haja ya kuweka mipaka ya madaraka kwa Raisi.Heshima kwenu wanajamvi,
Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika.
Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE.
Rais Samia Suluhu Hassan na yeye anauza Bandari zetu zote za Tanganyika kwa waarabu wa DUBAI huku Bandari za Zanzibar zikisalimika katika uporaji huu uliotukuka.
Ifahamike BANDARI ni suala la MUUNGANO lakini utashangaa suala la kuuza BANDARI zetu zote kuanzia MTWARA, TANGA, BAGAMOYO na Dar limezigusa bandari za TANGANYIKA peke yake huku BANDARI za Zanzibar zikisalika. Ijulikane mapema zoezi hili la uporaji litagusa pia BANDARI zilizoko katika maziwa yetu yote yaani Ziwa Victoria, Nyasa,Tanganyika.
Wahusika wote katika uporaji wa wahusika wakuu ni WAZANZIBAR kwa maana ya RAIS na Waziri.
Kwa hakika suala la katiba mpya sasa haliepukiki.
Ngongo kwa sasa safari Dubai - Deira
Zanzibar sio sehemu ya Tanzania?, umesahau miaka ile ya JPM halmashauri zote zilijaa wasukuma, nani alilalamika kama unavyolalamika bila hata ya kuona aibu?.Rais Samia Suluhu Hassan
Waziri Mnyaa Mbarawa Makame
Katibu Mkuu Balozi Aisha Amour
Wote waZanzibar
Mali zenu na nani?, acha upuuzi mkuu.Tatizo ni sisi wabara kuruhusu kutawaliwa na watu wa nchi nyingine, tukatae huu upuuzi mali zetu zinaisha
unajua maana ya kubinafsisha ? kama issue ni uendeshaji tu kwanini tusi outsource Management pekee kama ilivyofanyika miaka ya mwanzo ya 2000 kwa Net group kwny uendeshaji wa Tanesco?Acheni sumu ya ubaguzi, mnapanda kitu kibaya sana. Kilicho binafsishwa ni uendeshaji na siyo ardhi wala bandari yenyewe.
Kwa kheri wazanzibar, watanganyika tuliwapenda lakini warabu wa Dubai wamewapenda zaidiWalianza na Liliondo washenzy sana hao, kuanzia sasa ni marufuku rais kutoka Zanzibar
NDUGAI: Kuna siku nchi itapigwa mnada....haya Sasa yameanza.Heshima kwenu wanajamvi,
Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika.
Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE.
Rais Samia Suluhu Hassan na yeye anauza Bandari zetu zote za Tanganyika kwa waarabu wa DUBAI huku Bandari za Zanzibar zikisalimika katika uporaji huu uliotukuka.
Ifahamike BANDARI ni suala la MUUNGANO lakini utashangaa suala la kuuza BANDARI zetu zote kuanzia MTWARA, TANGA, BAGAMOYO na Dar limezigusa bandari za TANGANYIKA peke yake huku BANDARI za Zanzibar zikisalika. Ijulikane mapema zoezi hili la uporaji litagusa pia BANDARI zilizoko katika maziwa yetu yote yaani Ziwa Victoria, Nyasa,Tanganyika.
Wahusika wote katika uporaji wa wahusika wakuu ni WAZANZIBAR kwa maana ya RAIS na Waziri.
Kwa hakika suala la katiba mpya sasa haliepukiki.
Ngongo kwa sasa safari Dubai - Deira
Hujui unachoongea maana kichwa chako hakijui na hakiwezi kuelewa yaliyoandikwa kwennye mkatabaAcheni sumu ya ubaguzi, mnapanda kitu kibaya sana. Kilicho binafsishwa ni uendeshaji na siyo ardhi wala bandari yenyewe.
Kwamba TPA wameshindwa kazi? Kwanini wasijiuzulu? Wao wanaweza nini halafu TPA kinawashinda nini?Huyo ni muendeshaji sio mkusanya Kodi, Tra wako pale pale kukusanya kodi, kazi ya hao jamaa
1. Kuongeza miundombinu ya Bandari iwe ya kisasa
2. Kuhakikisha Kontena zinapakuliwa kwa haraka zaidi (sehemu nyingi ni chini ya masaa 48) kwetu meli zinakaa zaidi ya wiki.
3. Kontena zinapakiwa kwa haraka zaidi
4. Uendeshaji mwengine kama mpangilio wa Ma container, usafirishaji kwenda kwa wahusika etc.
Kwani Hilo Eneo ni Tpa alikuepo si Toka mwaka 2000 yupo Ticts? Na mkataba ume Expire karibuni? Tatizo la wabongo Hamna mnazijua ila kubwabwaja ujinga ni Jadi yetu.Kwamba TPA wameshindwa kazi? Kwanini wasijiuzulu? Wao wanaweza nini halafu TPA kinawashinda nini?
Kwa miaka 100 au sio? Au milele si ndio?Kwani Hilo Eneo ni Tpa alikuepo si Toka mwaka 2000 yupo Ticts? Na mkataba ume Expire karibuni? Tatizo la wabongo Hamna mnazijua ila kubwabwaja ujinga ni Jadi yetu.
Watu hawataki kujadili Cost/benefit ila ni ubaguzi, matusi na vitu ambavyo hawajui A wala Z
Mzee mzima unatupotosha...Tanganyika haipo....ilishakufa na kuzikwa na baba wa taifa....kuna Tanzania bara tu....Heshima kwenu wanajamvi,
Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika.
Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE.
Rais Samia Suluhu Hassan na yeye anauza Bandari zetu zote za Tanganyika kwa waarabu wa DUBAI huku Bandari za Zanzibar zikisalimika katika uporaji huu uliotukuka.
Ifahamike BANDARI ni suala la MUUNGANO lakini utashangaa suala la kuuza BANDARI zetu zote kuanzia MTWARA, TANGA, BAGAMOYO na Dar limezigusa bandari za TANGANYIKA peke yake huku BANDARI za Zanzibar zikisalika. Ijulikane mapema zoezi hili la uporaji litagusa pia BANDARI zilizoko katika maziwa yetu yote yaani Ziwa Victoria, Nyasa,Tanganyika.
Wahusika wote katika uporaji wa wahusika wakuu ni WAZANZIBAR kwa maana ya RAIS na Waziri.
Kwa hakika suala la katiba mpya sasa haliepukiki.
Ngongo kwa sasa safari Dubai - Deira
CCM ni waongo waongoNyie si mlisema Ally Hassan Mwinyi kwao Tabora mnyamwezi wa Mboka?
Mzanzibari ni nani ?!!!Hawa Wazanzibari hatukutakiwa kabisa kuungana nao. Maana ni useless people in the useless country.
[emoji7][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani hiyo bandari ya Dar haikuwa na mwekezaji kabla? Aliletwa(iliuzwa) na nani!? Familia ya kifalme ya uingereza haina ardhi inayomiliki miaka 100 huko nyanda za juu kusini!? Muuzaji alikuwa nani!? Mgodi wa Mwadui umeuzwa kwa miaka mingapi, muuzaji nani!?
[emoji7][emoji7]Acheni sumu ya ubaguzi, mnapanda kitu kibaya sana. Kilicho binafsishwa ni uendeshaji na siyo ardhi wala bandari yenyewe.