Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

Na watanganyika tupo kimyaa tu tuko busy na mambo ya usimba na uyanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umezaliwa jana ?!!!

Raia dhaifu kabisa ambao hata thamani ya KATIBA yao hawataki kuijua....hawataki kuithamini.....yaani katiba ndiyo dira ya usawa wa raia wa Tanzania halafu Rais anapokuwa mzanzibari mnajitokeza kuitaka Tanganyika iliyokufa nan kuzikwa na baba wa taifa?!!? Isn't it insanity?!!!

#SiempreJMT[emoji120]
 
UMEANDIAKA UPUUZI KAMA JINSI ULIVYO!
 
Unaongea maoni yako au unatafsiri mkataba uliopo?
 
Hawa Wazanzibari hatukutakiwa kabisa kuungana nao. Maana ni useless people in the useless country.
Asante sana Mkuu TATE, ni bora kuvunja huo Muungano kuliko wanachotufanyia hawa Wazanzibari.

Nadhani hawana nia njema na Tanganyika.
Na wana ajenda yao ya siri.
Tazama walivyodai kile kipande cha ardhi cha Bagamoyo kwa Kauli ya Ubabe na dharau tele. Bila kufikiria ni ka nchi kadogo.
 
hawezi kuuza peke yake, anashirikiana na watanganyika wenzetu na wengi wao ni wabunge wa mchongo ambao kwenye dili hili wanajulikana kama "Michawa".

Pole sana Tanganyika, Katiba yetu ndiyo inakuponza kuwapa mamlaka watu ya kufanya watakavyo.
 
Awamu hii wazanzibar na waisalam wana raha,nimeona hata kwenye mikeka ya wakurugenzi na Ma -Das eti siku hz Muslim ni wengi kuliko Christian.
Wonders shall never end.
 
Inaonekana hii issue ya kuuza nchi imewakera wengi. Hivi Mbarawa na Mwigulu na Makamba na Nape na mchengerwa wanapitia jamii forums?
 
Awamu hii wazanzibar na waisalam wana raha,nimeona hata kwenye mikeka ya wakurugenzi na Ma -Das eti siku hz Muslim ni wengi kuliko Christian.
Wonders shall never end.
Ule mkeka ulikua special kwa watoto wa wezi.
Hebu upitie Tena.
 
Acheni sumu ya ubaguzi, mnapanda kitu kibaya sana. Kilicho binafsishwa ni uendeshaji na siyo ardhi wala bandari yenyewe.
Ng'ombe anaekamuliwa na mtu mmoja Ni tofauti na anaekamuliwa na watu wawili, kwanu hawezekani kuwa na Sheria Kali kwenye Mali za uma, sheria zitakazo angamiza wapigaji.
 

Hili Jambo linaleta hisia Sana , hasa kwa kuwa imetokea Rais anatokeaa Zanzibar na Anampa Waziri ambaye bahati Mbaya Naye katokea zanzibar kuendesha na kusaini majadiliano hayo……

IELEWEKE kuwa hata wizara anayoongoza MAKAME MBARAWA ya Ujenzi sio ya Muungano basi tu watu wamestahi mamlaka ya Rais kumteuwa …….maana siku hizi hadi wakuu wa Wilaya wanatokea Zanzibar Nafasi Ambazo pia sio za muungano

TUNAOMBA jambo hili viongozi wetu waone Busara katika kulimaliza
 
Zanzibar sio sehemu ya Tanzania?, umesahau miaka ile ya JPM halmashauri zote zilijaa wasukuma, nani alilalamika kama unavyolalamika bila hata ya kuona aibu?.
Kuna mtanganyika anaweza kuwa Balozi wa nyumba kumi nchi ya Zanzibar
 
Inaonekana hii issue ya kuuza nchi imewakera wengi. Hivi Mbarawa na Mwigulu na Makamba na Nape na mchengerwa wanapitia jamii forums?
kwa hili JIWE aliona mbali pamoja na mapungufu yake ya kuminya demokrasia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…