Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

Unaongea maoni yako au unatafsiri mkataba uliopo?
Nimefanya kazi Icd na ninetumia Ticts si Maoni yangu nafahamu mizigo ilikua inatolewa vipi, nimetoa na Ticts na nimetoa na Tpa zilikua ni Entity mbili tofauti. Bandari walikua kizamani zamani hata kwenye System unajaza tu Manual na Ticts walikua kisasa kila kitu Automated.
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika.

Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE.

Rais Samia Suluhu Hassan na yeye anauza Bandari zetu zote za Tanganyika kwa waarabu wa DUBAI huku Bandari za Zanzibar zikisalimika katika uporaji huu uliotukuka.

Ifahamike BANDARI ni suala la MUUNGANO lakini utashangaa suala la kuuza BANDARI zetu zote kuanzia MTWARA, TANGA, BAGAMOYO na Dar limezigusa bandari za TANGANYIKA peke yake huku BANDARI za Zanzibar zikisalika. Ijulikane mapema zoezi hili la uporaji litagusa pia BANDARI zilizoko katika maziwa yetu yote yaani Ziwa Victoria, Nyasa,Tanganyika.

Wahusika wote katika uporaji wa wahusika wakuu ni WAZANZIBAR kwa maana ya RAIS na Waziri.

Kwa hakika suala la katiba mpya sasa haliepukiki.

Ngongo kwa sasa safari Dubai - Deira
Kumbe mzee ruksa ndio aliuza ardhi kwa wazee wa dubai
 
Mungano uvunjwe

Mungano uvunjwe ,huyu bibi ni janga kwetu.
 
Hiyo nchi ya Zanzibar ina watu milioni mbili wakati mkoa wa Dar peke yake una watu milioni sita. Kapungukiwa nini huyo mtu wa bara mpaka akawe balozi wa nyumba huko Zanzibar?.
Jibu swali acha kuyumba yumba
 
Mbona Migodi inaendeshwa miaka 99 na Wazungu walokole mpo kimya?
 
Jibu swali acha kuyumba yumba
Ndilo jibu lenyewe hilo. Huu upuuzi wa kuidai Tanganyika kama Magufuli angekuwa hai mpaka leo usingekuwepo.

Chuki zetu zinatokana na kutotaka kufikiria masuala nyeti kwa undani, tunakimbilia kete ya utanganyika na uzanzibari tukitafuta kukubalika miongon mwetu.

Ni umaarufu mwepesi sana, ambao una gharama ya dhambi ya ubaguzi itakayoendelea kututafuna sisi wenyewe tunaoitenda bila ya kujua.
 
We mwenyewe sio mtanzania bukililo si mpakani mwa Tz na Burundi ngara huko
 
Kwa wabunge gani? Hawa wabunge wa mchongo?
Hivi ina kuwaje wizara ambayo siyo ya Muungano inaongozwa na Mpemba??
Halafu Bara mna sema ni sahihi kubinafsisha?! Kweli??
Hapa ilipofika kulitegemea bunge ni sawa wendawazimu. Sisi Watanganyika wenyewe tuamke tuache ushabiki wa vyama tuweke mbele utanganyika wetu.
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika.

Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE.

Rais Samia Suluhu Hassan na yeye anauza Bandari zetu zote za Tanganyika kwa waarabu wa DUBAI huku Bandari za Zanzibar zikisalimika katika uporaji huu uliotukuka.

Ifahamike BANDARI ni suala la MUUNGANO lakini utashangaa suala la kuuza BANDARI zetu zote kuanzia MTWARA, TANGA, BAGAMOYO na Dar limezigusa bandari za TANGANYIKA peke yake huku BANDARI za Zanzibar zikisalika. Ijulikane mapema zoezi hili la uporaji litagusa pia BANDARI zilizoko katika maziwa yetu yote yaani Ziwa Victoria, Nyasa,Tanganyika.

Wahusika wote katika uporaji wa wahusika wakuu ni WAZANZIBAR kwa maana ya RAIS na Waziri.

Kwa hakika suala la katiba mpya sasa haliepukiki.

Ngongo kwa sasa safari Dubai - Deira
Ali Hassan mwinyi si mzanzibar kwao mkuranga
 
Watanganyika cc Wajinga na wabinafsi [emoji19]na wengi ni wapumbavu mpk mnakera kila mtu anafungua uzi wa chuki na kibaguzi
 
pambania nchi yako wewe usipostuka uatabakia na kende zako sijui kizazi kiacho cha wajukuu zetu tutakuja waambia nini ama kuwaangalia usoni.
 
Ndilo jibu lenyewe hilo. Huu upuuzi wa kuidai Tanganyika kama Magufuli angekuwa hai mpaka leo usingekuwepo.
Hata huu mjadala wa bandari yetu kuuzwa kwa waarabu siamini kama Magufuli angekuwepo tungekuwa tunaujadili.

Wewe unafikiri Magufuli angewapa waarabu bandari yetu?
 
Kwani hiyo bandari ya Dar haikuwa na mwekezaji kabla? Aliletwa(iliuzwa) na nani!? Familia ya kifalme ya uingereza haina ardhi inayomiliki miaka 100 huko nyanda za juu kusini!? Muuzaji alikuwa nani!? Mgodi wa Mwadui umeuzwa kwa miaka mingapi, muuzaji nani!?
Kwa vile kuna ardhi iliuzwa huko nyuma basi ni sawa tu na wao wauze ....!!? Sijui unataka kujustfy nini hapa!!

Nafiki tatizo kubwa siyo uwekezaji. Watu hawana shida na uwekezaji. Watu wanashida na aina ya mkataba wa uwekezaji!!
 
Back
Top Bottom