Yes, case in point waangalie wazanzibari au jamii zingine hapa Tanzania zinazoendekeza udini (dini za kuletewa).....utakuta wengi wao ni watu wasiojitambua ama watu wasio na elimu. Hawataki kusoma kujuwa ukweli wao bali wamekariri mistari tu ya vitabu vinavyosadikika kuwa ni vya Mungu na kuamini kila kitu. Mtu anashindwa kabisa kufikiri anaposoma kitabuni kwamba Mungu kaamuru watu kuua wenzao na wakati Mungu huyo huyo kakataza kuua. Waafrika tumepotoka sana na ujinga huu wa dini, tunashadadia tu bila kujitambua.