Kwanini Wazanzibari wengi wanatumia nguvu kubwa sana kulazimisha undugu na Waarabu

Kwanini Wazanzibari wengi wanatumia nguvu kubwa sana kulazimisha undugu na Waarabu

How is it possible to hate ur self so much? Self hate ni mbaya sana learn to love yourself🙂
Umeandika kwa lugha ya mfanya biashara mkuu ya utumwa,mkoloni,muuaji wa kimbari,na bila Shaka utakua umevaa suti kwenye nchi yenye 28-30c,na unamuona mwingine ana self hate
 
Swali moja muhimu sana.
Kule kwa wazungu kuna mchanganyiko(half casts). Maana yake kuna wazungu wanaoa weusi na weusi wanaoa wazungu!
Nipe nchi moja tu ya kiarabu yenye system kama hiyo!
Mwana mfalme bandar,alikua balozi wa Saudi Arabia marekani,ntafute umuone,halafu jiulize kwa nini ni mweusi kuliko maalum seif
 
Yes, case in point waangalie wazanzibari au jamii zingine hapa Tanzania zinazoendekeza udini (dini za kuletewa).....utakuta wengi wao ni watu wasiojitambua ama watu wasio na elimu. Hawataki kusoma kujuwa ukweli wao bali wamekariri mistari tu ya vitabu vinavyosadikika kuwa ni vya Mungu na kuamini kila kitu. Mtu anashindwa kabisa kufikiri anaposoma kitabuni kwamba Mungu kaamuru watu kuua wenzao na wakati Mungu huyo huyo kakataza kuua. Waafrika tumepotoka sana na ujinga huu wa dini, tunashadadia tu bila kujitambua.
Nyerere alisoma na alikua mdini..Kama walivyo wakatoliki wenzie,acha kuifanya hiyo elimu ya test tube na nadharia za darwin kuwa ya maana kiasi Cha kumbadilisha mtu,wasomi wengi wajinga
 
Mwafrika aoe binti wa kiarabu? dah hapo ni shughuli pevu aisee... kiukweli waarabu ni wabaguzi sana kwenye swala la kuoana.
🇹🇿 Asia yote kisili wana tamaduni zinazoshabihiana na hazina mahusiano na dini ijapokuwa sisi wabongo nyoso na wasfrika nyoso tunadhani kujifananisha na hao ndio kuwa karibu na Mungu , hapo unskuja wanaume na wanawake wanatumia mikorogo ili wasifiwe wana rangi so called " ya mtume😀" , wanaume wanaweka hina kwenye ndevu zionekane za kiarabu, wanawake hata nywele ndefu hana atazungusha mavitambaa kichwani ili akifunika ionekane kama kafunga nywele za singa

🇹🇿 Kuanzia kwa wahindi ambao asilimia kubwa wana imani za kihindu kiasili wanavaa vikanzu na vipedal kadhika wachina ambao asilimia kubwa wanaabudu ma idel yao, mavazi na hata namna ya ukaaji chini ni kama waarabu na hili sio kwa sababu ya dini bali tamaduni mbongo sasa anaysiga hayo ya kukaa chini hadi miguu inapinda kama mcheza judo

🇹🇿 Kwenye suala la Ndoa na Mahusiano Asia wote ni wabaguzi,kuanzia India, China waarabu kidogo kuna baadhi ya jamii wanawatumia msbinti zao kama nyenzo ya kurneza dini, na ili umuoe , au akikufurahia atakuambia " badili dini nikuoze binti yangu" kwa hilo wamefanikiwa kuwanada mabwege maana mwanaume ambaye sehemu zote tatu za ubongo zimejaa na uafikirk vyema, kubado dini kwa ajili ya mwanamke ni ujuha na utaahira
 
Umeandika kwa lugha ya mfanya biashara mkuu ya utumwa,mkoloni,muuaji wa kimbari,na bila Shaka utakua umevaa suti kwenye nchi yenye 28-30c,na unamuona mwingine ana self hate

Ni moja kati ya lugha rasmi inayotambuliwa Tz na duniani na inatumika kufundishia n.k lazima niitumie ila point yangu ipo pale pale hahah acheni kujichukia eti me mwarab mtu mweusiii pyeee jifunzeni kujikubali afu mnavyoona waarab kama waungu wenu shobo nyingi wenyewe wanavyowadharau sasa hahahaha!
 
Ni moja kati ya lugha rasmi inayotambuliwa Tz na duniani na inatumika kufundishia n.k lazima niitumie ila point yangu ipo pale pale hahah acheni kujichukia eti me mwarab mtu mweusiii pyeee jifunzeni kujikubali afu mnavyoona waarab kama waungu wenu shobo nyingi wenyewe wanavyowadharau sasa hahahaha!
Wewe mzungu anakuthamini!!?
 
Hahahaha karakana ndo home so naelewa yote hayo ila me silagi TU mirungi imenishinda bei

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Vijana wa karakana ni wa moto faya , baada ya majengo kupoa ukorofi ukahamia hapo .

Vipi sasa hivi wameacha au bado

Wenyewe wanajiita masarange 😂😂😂
 
Acheni ujinga,muoman kaenda zenji 1800s,zenji Pana watu kabla ya hapo,hawakupelekwa Kama watumwa
Kuna wenzako wanasema zenji kilikua kisiwa tupu..wakaja waarabu ndio wakakianzisha na kuleta watumwa toka bara walime karafuu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ni kutokujitambua kulikotokana na propaganda za dini walizoletewa.
Waislamu wanajiona wako karibu na waarabu na wakristo wanajiona wapo karibu na wazungu na wayahudi wa israel ya 1948.

Waafrika bado wamelala tu na bado wanaendelea kutafunwa na dini bila kujua hakuna mwenye nafuu.
Acheni wivu huoooo

Wazanzibar wengi wamechanganya utakuta baba mwarabu mama mzenj
Hapo utasemaje kwamba wazenji wanajipendekeza kwa waarabu?
 
unaelewa chimbuko halisi la waarabu ni weusi tititiii soma historia kwanza jombaa
Hapana mkuu siyo kweli waarabu ni Semites (Iyo iko wazi kwenye DNA na historia) na sisi manigger ni Nubians. Ethiopians and Somalis ni chimbuko la mchanganyiko wa waarabu hasa wa Yemen na Nubians (blacks) several thousand years ago.

Ole wako muarabu akusikie eti yeye ni chimbuko la mmatumbi huo mkono utakavyotembezwa.
 
Unasema wazanzibari wanavaa mavazi ya waarabu na jambia kiunoni kuiga waarabu,

Vipi kuhusu wanao vaa suti na tai wao wanamuiga nani?

Vipi wanaochanganya Kiswahili na English wakiongea wao wana muiga nani? Mpaka kuna maeneo eti yanaitwa Uzunguni!

Umewasahau pia wale wamarekani na mayahudi weusi wa Manyovu? Yupo tayari kumtukana ndugu yake ili amtetee yahudi!
Huo wote ni upotofu wa akili
 
Back
Top Bottom