Kweli Iran bado Mtoto mdogo sana kwenye game

Siku mwisho wako hapa duniani ukifika hakuna chochote kinacho weza kuzuia usiondoke , masuala ya ulinzi sijui intelegensia ,cheo umaarufu, pesa hivyo vyote ni taka taka mbele ya kifo.
Hata Magu alinusurika kumuua Tundu Lissu matokeo yake yeye ndiye akatangulia.
 
Kwann wasitengeneze za kwao?
Kwanini wasinunue kwa kaka yao urusi au china? Wameweza kumudu gharama za drones inakuaje washindwe kwenye helicopter tena ya rais?
Helicopter sio matako kwamba kila mtu anayo, ni ngumu kuliko ndege. Drones ndio rahisi zaidi.

Iran ina vikwazo na mara nyingi Urusi na China huvizingatia hata bila kupenda. Hata hivyo China hawana helicopter ya kuuza Iran, wala Iran sio wajinga kununua helicopter China na haziko proven. Bora ubahatishe ndege kuliko helicopter. Makampuni ya kuunda helicopter ni machache sana sana Sikorsky, Bell na Airbus. Warusi ndio wana Mil na Kamov ambazo hazifanyi vizuri soko la kiraia.
 
Ibn batuta alisifu pesa za noti za wa wachina alipofika china,hiyo ni 1300,kuhusu tiba msome IBN Sina/ave Cena halafu ukipenda utahariri andiko lako
 
Humu kila siku mnaongea viongozi wa Ki Africa wanakula mema ya Nchi wanatembelea V8 etc.


Huyo Raisi wa Zamani wa Iran akiwa kwenye usafiri wa Uma anaotumia kwenda kufundishia chuo.

Hili gari lake la zamani Peugeot ambalo lilipigwa mnada San Diego


Raisi wa Sasa anatumia Mark II ama Peugeot 607, ama local made cars na kama Unavyosema Amefariki Na helcopter ya 1978.

Viongozi wao wa Namna hii ndio maana japo wana Vikwazo wametaka kusikojulikana hadi kuwa Nchi ya 15 kisayansi duniani.

So kufa kwenye Hellcopter kali ama Ndege ya Mabilioni ya Hela wakati Wananchi wako wanakula dagaa si sifa.
 
Hapa hatuongelei thaman yan kitu, bali tunaongelea usalama, raisi ni taasisi ambayo inatakiwa ilindwe kwa gharama, technolojia ya helicopter ya mwaka 70 haiwezi kua sawa na ya mwaka 2000 kiusalama

nchi ya 15 kisayansi raisi wao angekufa kizembe hivo?
 
Ibn batuta alisifu pesa za noti za wa wachina alipofika china,hiyo ni 1300,kuhusu tiba msome IBN Sina/ave Cena halafu ukipenda utahariri andiko lako
Hao wamarekani wenyewe hawawezi kuiongelea Iran kama anavyoongelea huyo popoma, Siku zote Trump aki adress iran lazima awasifie wananchi kwanza then ndio aponde uongozi.

Vyuo vyote vya Usa na Duniani kote vimejaa tafiti za Iran ambao wamemfanya Contribution kubwa sana.

Mfano Operation za kichwa, moja ya Sababu watu hawafi wengi siku hizi NI Iran, wa tafiti wake walikuja na njia mpya ya kufanyia operation kichwa inayopunguza death rate toka asilimia 55 hadi 20.

 
Why Raisi apewe ulinzi mkali zaidi mpaka ifike stage ya kusacrifice mambo mengine kwa ajili yake, si kila siku tunasifia viongozi wa Ulaya humu wanatumia baiskeli?

Nchi inayojielewa inakua na succession plan nzuri, Raisi ni mfanya kazi kama wafanyakazi wengine akiondoka anakuja mwengine.
 
Myahudi kikosi cha Hamas kakishindwa akapigane na Iran [emoji1]

Misalaba ina lana nyie wacheni huoni wachawi wanaitumia hata kina diamond wamejua misalaba ni njia ya shetani [emoji1]
Nyota na mwezi mnavyoviweka juu ya misikiti hutumika pia na wachawi na waganga wa kienyeji kupiga ramli.
 
Sio ulinzi mkali, hapana, tunaongelea ubora na usalama, raisi hapaswi kutumia usafiri ambao usalama na ubora wake ni wa mashaka mashaka, rais anatakiwa kusafiri kwa usafiri ambao una guarantee kubwa ya usalama

mfano tunajua usafiri wa anga hali ya hewa inapobadilika inasababbisha risk kwenye kutumia usafiri huo, ila jinsi vyombo vya anga vinavotengenezwa vipya vinatengenezwa na technolojia zaidi ya kuovercome chalenge hizo, so si sahihi kwa rais kufanya majukumu yake kwa kutumia helicopta ambayo ina technolojia ya zamani na haijawa updated wakati ziko helicopter zenye ubora zaidi
 
Ukijua mtengenezaji wa hiyo helikopta ndio utachoka zaidi
 
Ibn batuta alisifu pesa za noti za wa wachina alipofika china,hiyo ni 1300,kuhusu tiba msome IBN Sina/ave Cena halafu ukipenda utahariri andiko lako
1. Unajua pesa/hela zinatengenezwa wapi? Tangu lini muislamu akawa muasisi wa pesa?
2. Labda tiba za mitishamba ambazo zinauzwa kwenye misikiti hadi vumbi la congo ambazo hazina vipimo😁😁😁😁
 
Alipaswa chagua vita. Israel sio watu wakuchezea hata mrusi analijuwa Hilo na anajuwa mwisho wake.
 
Kwanini wasinunue za Mrusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…