Humu kila siku mnaongea viongozi wa Ki Africa wanakula mema ya Nchi wanatembelea V8 etc.
View attachment 2995543
Huyo Raisi wa Zamani wa Iran akiwa kwenye usafiri wa Uma anaotumia kwenda kufundishia chuo.
Hili gari lake la zamani Peugeot ambalo lilipigwa mnada San Diego
View attachment 2995547
Raisi wa Sasa anatumia Mark II ama Peugeot 607, ama local made cars na kama Unavyosema Amefariki Na helcopter ya 1978.
Viongozi wao wa Namna hii ndio maana japo wana Vikwazo wametaka kusikojulikana hadi kuwa Nchi ya 15 kisayansi duniani.
So kufa kwenye Hellcopter kali ama Ndege ya Mabilioni ya Hela wakati Wananchi wako wanakula dagaa si sifa.