Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Mama Chamira hoyeeee!!!!daah kuelekea uchaguzi Serikali za mitaa ndio haya mambo yanaibuka! Kama vile Muvi za kumkwamisha Mama naona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama Chamira hoyeeee!!!!daah kuelekea uchaguzi Serikali za mitaa ndio haya mambo yanaibuka! Kama vile Muvi za kumkwamisha Mama naona
Hii table imeandikwa ovyo ovyo sana. Angalia hapo Dodoma kwenda Iringa kupitia Mtera. Waiandike upya, waache ubabaishaji.Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza mabadiliko ya nauli katika safari za masafa marefu na masafa mafupi baada ya kupitia maoni ya wadau wa usafiri nchini.
Kwa mujibu wa LATRA nauli za safari zisizozidi kilometa 10 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 500 sasa itakuwa 600. Kwa safari za kilometa 11 hadi 15 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 550 sasa itakuwa shilingi 700.
Kwa kilometa 15 hadi 20 ambapo nauli ilikuwa shilingi 600 sasa itakuwa 800 huku kwa safari za kilometa 21 hadi 25 nauli imetoka 700 hadi shilingi 900. Safari ya kilometa 26 hadi 30 nauli ni shilingi 1100, safari ya kilometa 31 hadi 35 ni shilingi 1300 na kilometa 36 hadi 40 nauli ni 1400.
Aidha nauli za wanafunzi zitaendelea kusalia 200 kwa safari za masafa mafupi.
Nauli za mabasi zimeorodheshwa kwenye jedwali hapa chini.
View attachment 2826735View attachment 2826734View attachment 2826733View attachment 2826732
Wamepandisha 10000mshahara bado laki 7 ile ile kwa mwezi
Mama yenu anajikwamisha mwenyewe!!daah kuelekea uchaguzi Serikali za mitaa ndio haya mambo yanaibuka! Kama vile Muvi za kumkwamisha Mama naona
Mfano ulikuwa unakodisha gari linakuletea bidhaa kwa milion 1. Gharama za kukodi gari zimepanda na kuwa milion 1 na laki 2.Kupanda kwa nauli ya daladala kunahusika vp na vitu?
Magu hakujua chochote kuhusu biashara,mafuta yapande,na mafuta ndiyo yanaendesha gari,halafu nauli isipande!?..Ila je,mafuta yamepanda Tena!?
4000 labda kigomqData data bro, kipindi cha magu mafuta 1,500 petrol, leo unazungumzia karibu 4,000.