Lilian Lema amesomeshwa shule za gharama ila anaumiza sana wazazi

Acha unafki uyo dem kasoma government maisha yake yote.
Primary;Kurasini primary
O level;Kisutu Sec school Alevel;Weruweru girls.....siwezi kujisifia ila najua kwasababu mimi ni mmoja wa ma x wake kipindi hicho
 
mwanao wakiume akiamua kutatulia fresh tu?
 
😂😂😂😂😂kumbe 2016 ni zamani sana daaa
 
mwanao wakiume akiamua kutatulia fresh tu?
Siongelei familia yangu kwenye masuala ya kufikirika.

Pia, huyo ni mtu anayenihusu, si mtu asiyenihusu.

Inaonekana uwezo wako wa kufuatilia mantiki ni mdogo.

Mimi nakuambia huna haki ya kumpangia maisha mtu asiyekuhusu, wewe unaniuliza swali la mfano wa mtu anayenihusu.

Hata huelewi hoja.

Logical fallacy. Logical non sequitur.

But I doubt you will get that through your head.
 
Slut
 
Logically inconsistent...hujielewi mkuu

We unadhani anayekuhusu ni mwanao tu au sio?

Binadamu ni social being we kiande

Jiulize kwa nini wakati wa corona waliokuwa infected waliwekwa quarantine?
Nakusaidia kukujibia tu wewe kiazi...ni kukulinda wewe ambaye unasema watu wengine hawakuhusu.
 
Accumen Mo na darcity hawajaiona hii?
 
Naskia kuna dogo kazama matopeni kushuhudia ukungwi kwa kungwi kama umo. Ngoja tumtafute aje hapa atoe ushuhuda kama yaliyomo yamo kwel
 
Wewe ndiyo mama yake? Kwahiyo uchungu wa mwana ajuaye mzazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…