Lini Viwanja vinavyomilikiwa na CCM vitakuwa chini ya umiliki wa Serikali Kuu au Halmashauri husika?

Lini Viwanja vinavyomilikiwa na CCM vitakuwa chini ya umiliki wa Serikali Kuu au Halmashauri husika?

Hoja yako inafanana na ya mwanamke aliyeamua kuachika kwa mume wake kisha akalazimisha kugawana mali walizochuma pamoja ilhali mali hizo zimeandikwa hati ya mume na watoto wake. Ndivyo chadema wanavyofanya. Mali ni za ccm na hati zina majina ya CCM. Msahau kabisa chadema kupata viwanja hivyo. Kama mnashindwa kujenga hata ofisi, mtaweza kumiliki viwanja?
Lakin ukisoma kwa makini mtoa mada kasema mali za wananchi sijaona mahali kaandika mali za chadema na wala hajasema zirudishwe chadema bali zirudishwe mikononi mwa wananchi wakiwemo wa ccm pia mkuu nadhan umakin unatakiwa sana wakati wa kusoma hoja za wenzio usiandae majibu kabla hujasoma na kuelewa.
 
Kadi yako namba ngap
Kadi ya nini? Hivi siku hizi tunatambulika kwa namba za kadi? Kwa àkili yako unadhani kila Mtanzania ana kadi ya Ccm? chadema? Cuf? Udp? n.k. Sisi ni Watanzania, tutambulike kwa Utanzania wetu. Vyama ni hiari za watu na vinaweza kufutika, Tanzania itabakia ilivyo isipokuwa Muungano ukivunjika tutabakia na Tanganyika.
 
Lakin ukisoma kwa makini mtoa mada kasema mali za wananchi sijaona mahali kaandika mali za chadema na wala hajasema zirudishwe chadema bali zirudishwe mikononi mwa wananchi wakiwemo wa ccm pia mkuu nadhan umakin unatakiwa sana wakati wa kusoma hoja za wenzio usiandae majibu kabla hujasoma na kuelewa.
Wanatumikia dhamira na ahadi za kukilinda chama kwa Gharama yoyote, ikiwemo kuimarisha kiwango cha ujinga wao
 
watu sasa ivi wechachamaa wanataka ukomo wa mwenyekiti ndani ya chadema, katiba ya chama ibadilishwe!, ww unaulizia viwanja!!

tunataka uchaguz wa mwenyekiti sio kukabiziana tu
 
Huyu baba J. amesilimu au vipi? Mbona alikuwa analalamikiwa kuwa ni mdini iweje tena atetee mali za waislamu jamani.
 
Ha ha ha kikundi kidogo cha CCM ha ha ha hapa JF bhana raha sana
 
Hoja yako inafanana na ya mwanamke aliyeamua kuachika kwa mume wake kisha akalazimisha kugawana mali walizochuma pamoja ilhali mali hizo zimeandikwa hati ya mume na watoto wake. Ndivyo chadema wanavyofanya.
Uje umuache mkeo kwa kudhani hana chake kwenye mali ulizoandika hati kwa jina lako, ndio utajua kuwa hujui
 
Hoja yako inafanana na ya mwanamke aliyeamua kuachika kwa mume wake kisha akalazimisha kugawana mali walizochuma pamoja ilhali mali hizo zimeandikwa hati ya mume na watoto wake. Ndivyo chadema wanavyofanya. Mali ni za ccm na hati zina majina ya CCM. Msahau kabisa chadema kupata viwanja hivyo. Kama mnashindwa kujenga hata ofisi, mtaweza kumiliki viwanja?
Kasome vizuri sheria ya ndoa,mall walizochuma wanandoa pamoja hata kama zina jina LA Mume lzm zigawanywe,hata kama mama hakutoa senti lakini kukaa na mumewe na kumfulia au kumpikia na usiku anampa nyumba kisheria tunaita ni mchango wake.IPO kesi ya Bi hawa Mohammed...kwa uhalisia CCM wameiba viwanja vya wazi na vya michezo,hivi vyote ni Mali ya umma na sio ya chama sharti virudishwe kwa wananchi
 
Hoja yako inafanana na ya mwanamke aliyeamua kuachika kwa mume wake kisha akalazimisha kugawana mali walizochuma pamoja ilhali mali hizo zimeandikwa hati ya mume na watoto wake. Ndivyo chadema wanavyofanya. Mali ni za ccm na hati zina majina ya CCM. Msahau kabisa chadema kupata viwanja hivyo. Kama mnashindwa kujenga hata ofisi, mtaweza kumiliki viwanja?
Kwa majibu Lizaboni unajitaidi......yangu macho tu kwa sasa!
 
Jana ilikua ni Eid Mubarak sasa anaanzaje kuzungumzia mambo ya chama katika sherehe ya waislamu?
 
Pam
Hoja yako inafanana na ya mwanamke aliyeamua kuachika kwa mume wake kisha akalazimisha kugawana mali walizochuma pamoja ilhali mali hizo zimeandikwa hati ya mume na watoto wake. Ndivyo chadema wanavyofanya. Mali ni za ccm na hati zina majina ya CCM. Msahau kabisa chadema kupata viwanja hivyo. Kama mnashindwa kujenga hata ofisi, mtaweza kumiliki viwanja?
Pamoja na kwamba ninaungana na wewe kumupinga mleta mada lakini siiungani na wewe kufuatia Lugha uliyotumia kudhalilisha akina mama
Tafuta maneno mengine vya kufikisha ujumbe
 
Rais kama mlinzi wa mali za umma,ni lini atatoa tamko juu ya urejeshwaji wa viwanja hivyo?

Naunga mkono hoja yako. Imejengwa katika maslahi mapana ya taifa.

Tofauti na ilivyo sasa, viwanja hivyo vikirejeshwa vitahudumia Watanzania wote kwa ujumla wao bila kubagua itikadi za

vyama vyao...
 
Ukiunga mkono up.umbavu ina maana na wewe ni mpu.mbavu!!
Pam

Pamoja na kwamba ninaungana na wewe kumupinga mleta mada lakini siiungani na wewe kufuatia Lugha uliyotumia kudhalilisha akina mama
Tafuta maneno mengine vya kufikisha ujumbe
 
Pia alisahau kutaja nyumba zilizojengwa wakati wa chama kimoja ambazo CCM leo wanazitumia kama ofisi zao.
 
Hizo ni fikra za kijinga kabisa. Mleta mada hajasema Chadema ndiyo wanaotaka viwanja hivyo. Sisi wananchi ndiyo tunavihitaji viwanja virudi kwa halmashauri za miji vilipo. Mfano wako ni wa kijinga kwa sababu Chadema siyo walioomba kuanzishwa vyama Vingi, na wakati vinaanzishwa Chadema haikuwepo. Baada ya vyama kuanzishwa, Ccm ilipata usajili kama vingine na kabla ya hapo Mali hizo zilikuwa za uma kwani tulijenga kama "wananchi" na si kama "wanaccm". Hata kabla ya vyama vingi, siyo kila mwananchi alikuwa mwanachama wa ccm.
Kenyatta Conference center ilioko Nairobi Kenya,ilijengwa na nguvu za wananchi wakati wa mfumo wa chama kimmoja KANU,Lakini baada ya utawala wa vyama vingi iliamliwa kurudishwa serikalini,na ndio jambo la msingi.Ifike mahala ukweli na haki zitawale nafsi zetu,ndio kukuwa kwa demokrasia.
 
Hoja yako inafanana na ya mwanamke aliyeamua kuachika kwa mume wake kisha akalazimisha kugawana mali walizochuma pamoja ilhali mali hizo zimeandikwa hati ya mume na watoto wake. Ndivyo chadema wanavyofanya. Mali ni za ccm na hati zina majina ya CCM. Msahau kabisa chadema kupata viwanja hivyo. Kama mnashindwa kujenga hata ofisi, mtaweza kumiliki viwanja?
Chadema wamedai wapi viwanja? Wananchi ndio wanadai nguvu zao zimilikiwe na Halmashauri zao.
Rais hawezi kutuambia tumuombee kwa Mungu huku familia yake (ccm) ikiwa inaendelea kuishi na Mali za zulma na wizi toka kwa wananchi. Hatutamuombea labda awaambie warudishe
 
Jana katika baraza la Idi Karimjee,Rais Magufuli alionyesha kuchukizwa na waislam walioshirikiana na matajiri kupora maeneo ya jumuia hiyo.Hilo lilikuwa chukizo zuri sana!Pamoja na kuwa Rais Magufuli sio mnafiki na anachukizwa na uporaji wa mali za jumuia za wananchi kwenda kwenye vikundi vya watu,nataka kumwambia kuwa kikundi kidogo kiitwacho CCM kilipora na kunyanganya viwanja vilivyojengwa na wananchi!Karibia mikoa yote Tanzania vipo viwanja vya michezo kama Mkwakwani-Tanga,Kambarage-Shinyanga,Al Hassan Mwinyi-Tabora,Kirumba-Mwanza,Jamhuri-Dodoma,nk vilijengwa na wananchi wote kipindi cha mfumo wa chama kimoja.Tofauti na ilivyokuwa kwa shule za mashirika ya dini kurejeshwa serikalini,viwanja hivyo vikaporwa na chama!!Je,Rais kama mlinzi wa mali za umma,ni lini atatoa tamko juu ya urejeshwaji wa viwanja hivyo?
Ukawa mnamatatizo hivyo viwanja na shule zinawakereni sana hivi mnataka kujifananisha na ccm .
 
Back
Top Bottom