Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Chadema inashindwa nini kuhamasisha wananchi wawajengee Ofisi ya Chama?Una hoja hata mimi nakubali. Ujue kwanini watu wanaona umiliki wenu wa hizo mali ni ubabe zaidi kuliko uwezo wenu. Zaidi ya 70% ya mali mnazomiliki zilipatikana kabla ya mfumo wa vyama vingi. Iweje msiwe na miradi mikubwa mingi baada ya mfumo wa vyama vingi ukilinganisha na huko nyuma? Hiyo inaleta picha kwamba uwezo wenu ulitokana na nguvu za wote enzi za chama dola.
Mbona watu tunawajua marais wastaafu na coincidí wengine wa ccm wana maeneo makubwa na hayaendelezi kabisa na hamwagusi,Ila mtu akiwa mpinzani wa serikali tu basi ni shida Lazima anyanganywe malí zakeKwani Chadema inashindwa nini kuhamasisha wananchi wawajengee Ofisi ya Chama?
Kwani Chadema inashindwa nini kuhamasisha wananchi wawajengee Ofisi ya Chama?
Naunga mkono hoja.CCM wananyang'anya watu maeneo yao kupitia mgongo wa serikali kujitaftia kura 2020,Wengine kesi ziko mahakamani lakini wao hawajali, wanalipa visasi kutuliza makovu yao ya kisiasa.
Sasa nao warudishe viwanja vyote wanaomiliki ambayo kiasili na kiuhalali ni Mali za uuma. Vipo viwanja vingi vya mpira wa miguu wanamiliki CCM vinajiotea nyasi havijaendelezwa.
CCM wanasahau kua hata Ofisi yao ya Lumumba wanayomiliki ilikua Ofisi ya TANU ambayo ilijengwa kwa jasho la watanzania wote, kiuhalali sio ofisi yao lakini wanajimilikisha kwa mambavu.
Ukifuatilia Yale maeneo yote upanga ya umoja wa vijana yanayojengwa maghorofa chanzo cha umiliki ni miikono ya umma na sio Mali ya chama.
Tuseme kuwa iko siku haya wanayoyafanya yatawaliza, ni suala la muda tu.
Kupambana na hali yako ni shida,lazima ujikane kwanza.Hapa watu wanalilia pepo ila kufa hapana.Katika maneno magumu kuyaelewa ni hili hapa
Pambana na hali yako
Hivi unamtetea vipi mtu mwenye ekari 300 eti ni mpinzani? Vp kuhusu Manji naye ni mpinzani? Wakati mwingine mnatupa hofu sana kuwapeleka ikulu mtatuuza mpaka raia.Wanawanyanganya maeneo ya wale ambao ni wapinzani tu....
Ova
Nikuulize chadema ilinunua lini magari kwa jasho lao zaidi ya kutumia pesa za ruzuku za walipa kodi? Rudisheni magari serikalini mabwege nyie
Hivi unamtetea vipi mtu mwenye ekari 300 eti ni mpinzani? Vp kuhusu Manji naye ni mpinzani? Wakati mwingine mnatupa hofu sana kuwapeleka ikulu mtatuuza mpaka raia.
Sent using Jamii Forums mobile app
uwanja wa majimaiji songea !mkoani ruvumatutajie viwanja vya mpira vinavyomilikiwa na ccm visivyoendelezwa
CCM wananyang'anya watu maeneo yao kupitia mgongo wa serikali kujitaftia kura 2020,Wengine kesi ziko mahakamani lakini wao hawajali, wanalipa visasi kutuliza makovu yao ya kisiasa.
Sasa nao warudishe viwanja vyote wanaomiliki ambayo kiasili na kiuhalali ni Mali za uuma. Vipo viwanja vingi vya mpira wa miguu wanamiliki CCM vinajiotea nyasi havijaendelezwa.
CCM wanasahau kua hata Ofisi yao ya Lumumba wanayomiliki ilikua Ofisi ya TANU ambayo ilijengwa kwa jasho la watanzania wote, kiuhalali sio ofisi yao lakini wanajimilikisha kwa mambavu.
Ukifuatilia Yale maeneo yote upanga ya umoja wa vijana yanayojengwa maghorofa chanzo cha umiliki ni miikono ya umma na sio Mali ya chama.
Tuseme kuwa iko siku haya wanayoyafanya yatawaliza, ni suala la muda tu.
Tukipata Rais KM wewe Mahanju TUta kuunga mkono Kuya taifisha Hayo Maeneo yetu ina tuuma sana mengi tunaya jua na Tulishrikishwa kwa hali na MaliCCM wananyang'anya watu maeneo yao kupitia mgongo wa serikali kujitaftia kura 2020,Wengine kesi ziko mahakamani lakini wao hawajali, wanalipa visasi kutuliza makovu yao ya kisiasa.
Sasa nao warudishe viwanja vyote wanaomiliki ambayo kiasili na kiuhalali ni Mali za uuma. Vipo viwanja vingi vya mpira wa miguu wanamiliki CCM vinajiotea nyasi havijaendelezwa.
CCM wanasahau kua hata Ofisi yao ya Lumumba wanayomiliki ilikua Ofisi ya TANU ambayo ilijengwa kwa jasho la watanzania wote, kiuhalali sio ofisi yao lakini wanajimilikisha kwa mambavu.
Ukifuatilia Yale maeneo yote upanga ya umoja wa vijana yanayojengwa maghorofa chanzo cha umiliki ni miikono ya umma na sio Mali ya chama.
Tuseme kuwa iko siku haya wanayoyafanya yatawaliza, ni suala la muda tu.
kila siku unatumiwa na timu ya maji maji na unaingiza mapato kwa chama na taifa, we ulitakaje
MAMBO ya manji wanajuana huko huko ccm,kuhusu maeneo kupigwa bado Kuna coincidí wengi wanayo na hawajaendelezaHivi unamtetea vipi mtu mwenye ekari 300 eti ni mpinzani? Vp kuhusu Manji naye ni mpinzani? Wakati mwingine mnatupa hofu sana kuwapeleka ikulu mtatuuza mpaka raia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuuKupambana na hali yako ni shida,lazima ujikane kwanza.Hapa watu wanalilia pepo ila kufa hapana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili kuunda Demokrasia ya Kweli CCM inatakiwa ife!Ccm ni mwalim wa demokrasia nchini
CCM Kama chama tawala pekee kilipewa ruzuku na serikali na kuchangiwa na Wafadhili wa Ndani na nje Wanachama Na wasio wanachama WA Ndani ya nchi na nje ya nchi kwa kippesa kimali na kiardhi Kama ambavyo mfumo wa vyama vingi chadema inachangiwa na serikali kwa ruzuku na kuchangiwa kimali kipesa na kiardhi na kimajengo na wanachadema na wasio chadema wa Ndani na nje ya nchi. Mleta hoja lofa na wanaounga mkono mabwege na malofa iwe chini ya mfumo wa chama kimoja au vingi.mleta hoja hoja zake za kibwege na kijingaHapa una hoja kuhusu cdm hata wao wanaona hii imekaa vibaya kwa upande wao. Ila naona unachanganya hoja, hoja ni umiliki wa mali zilizopatikana kabla ya mfumo wa vyama vingi. Je huko nyuma ccm ilizipata mali hizo kama ruzuku ya chama au ilikuwa ni miradi ya umma iliyoratibiwa na chama? Nakumbuka miradi hiyo mingi ilipatikana kwa michango ya hiari na sanasana kwa lazima aidha fedha au nguvukazi. Na michango hiyo iliwahusu wote bila kujali ni mwanaccm au sio mwanaccm. Hapa ndio utata ulipo.