She loves Me
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 809
- 939
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubirie wa chato
Mkuu ni hivii:
Viwanja vyote mfano CCM Kirumba, Uwanja wa Taifa, Sheikh Amr Abeid Arusha,wa Mbeya n.k vilijengwa na Wananchi ambao hawakuwa na fursa ya kuchagua vyama vingine kwasababu hakukuwa na vyama vingi wakati huo.
Kwahiyo si wanaCCM.
Labda hata wasingetaka kuijua CCM ni nini.
Ni kama hizi shule zote nzuri na za zamani zilizojengwa na jumuiya ya wazazi, ambazo CCM wanaziita kuwa ni shule zao.
Sio kweli mkuu viwanja vilijengwa na wananchi bila kujali itikadi zao,watu walichangishwa,mifugo mazao na pesa taslimu watumishi walichangishwa nguvu zao hivyo kusema eti vilijengwa na wanaccm sio kweli.,Hakuna tangazo lolote la ujenzi wa viwanja lililowahi kutolewa na CCM kuwa inajenga Viwanja kama leo Klabu ya Simba ilivyotangazwa.Viwanja ni vya Serikali.Ivyo viwanja ni Mali ya CCM kwakua kipindi icho vinajengwa wananchi walikua wana CCM tena kwa Kadi kabisa ilikua kadi ya CCM ni kitambulisho Chako. Sasa vilivyo ingia vyama vingi aliyetaka Kubaki CCM alibaki, aliyeona aitaki CCM alienda kujiunga na chama kinacho Mpendeza. Hivyo viwanja havikua mali serikali kusema vilitakiwa vichukuliwe na serikali.
Sasa unashangaa nnKwani Chato unajengwa uwanja
Kwa mantiki hii pia hospitali nyingi za mkoa ni mali ya CCM si ndo hivyo?!Ivyo viwanja ni Mali ya CCM kwakua kipindi icho vinajengwa wananchi walikua wana CCM tena kwa Kadi kabisa ilikua kadi ya CCM ni kitambulisho Chako. Sasa vilivyo ingia vyama vingi aliyetaka Kubaki CCM alibaki, aliyeona aitaki CCM alienda kujiunga na chama kinacho Mpendeza. Hivyo viwanja havikua mali serikali kusema vilitakiwa vichukuliwe na serikali.
Sio kweli mkuu viwanja vilijengwa na wananchi bila kujali itikadi zao,watu walichangishwa,mifugo mazao na pesa taslimu watumishi walichangishwa nguvu zao hivyo kusema eti vilijengwa na wanaccm sio kweli.,Hakuna tangazo lolote la ujenzi wa viwanja lililowahi kutolewa na CCM kuwa inajenga Viwanja kama leo Klabu ya Simba ilivyotangazwa.Viwanja ni vya Serikali.
Sio kweli hivyo viwanja vilijengwa na wananchi wa Tanzania na si kila mwananchi alikuwa mwanachama wa CCMIvyo viwanja ni Mali ya CCM kwakua kipindi icho vinajengwa wananchi walikua wana CCM tena kwa Kadi kabisa ilikua kadi ya CCM ni kitambulisho Chako. Sasa vilivyo ingia vyama vingi aliyetaka Kubaki CCM alibaki, aliyeona aitaki CCM alienda kujiunga na chama kinacho Mpendeza. Hivyo viwanja havikua mali serikali kusema vilitakiwa vichukuliwe na serikali.
Ni wazo jema lakini kwa manyang'au ni vigumu kurejesha mali walizowapora wananchi kwa jina la chama na bado kwa kuwa hawana uchungu navyo wanahiyari viharibike tu!Iko wazi, tuseme karibu ya Viwanja vyote vya michezo Tanzania vinamilikiwa na CCM, sina shida na hilo...
Shida yangu ni kutaka viwanja hivi vipewe serikali, kupitia halmashauri za wilaya hata ikiwezekana kwa ubia, CCM hawawezi kuviendeleza, srikali ikipewa itaviemdeleza.
CCM ndio inayoshika dola, maendeleo yetu kama nchi tunategemea kusimama na kutekelezeka kwa ilani ya CCM, CCM itoe hata kwa ubia viwanja hivi kwa serikali, vikarabatiwe na wote serikali na CCM watanufaika kwa mapato.
Tukivipata hivi viwanja na vikaboreshwa hata ligi yetu itakuwa ni bora sana, badala ya kujenga vipya vya serikali
Una sema FISIEMU au ccm? Hawa ni wazee wa kaziYaani wakati serikali inataifisha makampuni ya wafanyabiashara ambao wanaajiri na hata wengine kubaki hawana kitu na kukimbia nchi hasa wahindi CCM ilikuwa busy kujibinafsisha viwanja!. Sasa ni kwanini hivi viwanja havijawa vya serikali? Mbona wenyewe waliruhusiwa kufanya biashara? tena kwa vitu ambavyo ni vya serikali maeneo ya watu. Itakuwa busara warudishie wananchi wote wa Tanzania viwanja vyao.