kua na utu na huruma walau kidogo na unaempendekeza achukua hatamu ingawa nami pia kwenye hoja ya msingi ndie nilie mpendekeza...

nadhani mapendekezo ya wengi ya kiutujuu yake yemenitia huruma sana, tumuombee πŸ’
 
Kwa hiyo Leo mpaka tarehe 23 tupate mwenyekiti wa mpito

Mbowe akae pembeni huu mziki hatauweza
nimeandaa uzi wa tar.23 tayari,
stay tuned, can you guess utakua na title gani?🀣
 
zingatia hoja mahususi mezani gentleman,

mengine andikia uzi maalumu itapendeza zaid πŸ’
 
Ccm kama kuna, kitu mnatakiwa kumshukuru Mungu ni Busara, na Hekima ya Mh Mbowe,

Siku Lisu akiwa Mwenyekiti kinawaka mchana mweupe watu wamechoka na, kuburugwa mno.

Ila, pamoja na propaganda zenu ndani, ya chadema hakuna mpasuko wowote.
 
Mtego!

Mnatafuta sababu ya Msajili aifute CDM! Lissu ni tough sio mwanadiplomasia kama Mbowe. Kuna siku tutaamka watu wote wako barabarani. Ndiposa msajili atapuliza kipenga.

Mbowe amekwepa mishale mingi sana! Ni ngumu sana kufanya Siasa na CCM kwa muda mrefu kama mbowe bila kunaswa, unapaswa kuwa na akili nyingi sana, na busara nyingi sana.

Lissu huwa hachagui nyakati! atawabalasa wakati mbaya mkamchome ile sindano ya sumu aliyoahidi Heri james.

Kwa jinsi ilivyo ngumu kufanya siasa na CCM, mpinzani yeyote akigive up sote tunapaswa kumuelewa na kumtakia heri!

Nyie CCM wana hila! na wana hila mpya bado hata hawajaanza kuzitumia.
 
zingatia hoja mahususi mezani gentleman,

mengine andikia uzi maalumu itapendeza zaid πŸ’

Nimezingatia hoja nzima ndugu mjumbe tokea Lumumba pale.

Ya Kwamba ni machozi ya croc siyo?

Tunajua mnachojidanganya ni kuwa hatuwajui.

Kwamba umoja wetu wowote ni mwiba mno Kwenu? Kwamba utengano wetu wowote ni faida mno kwenu?

Mnadhani hatujui?

Ninakazia:

Kunguru hategwi kwa maharage makavu!
 
Ccm kama kuna, kitu mnatakiwa kumshukuru Mungu ni Busara, na Hekima ya Mh Mbowe,

Siku Lisu akiwa Mwenyekiti kinawaka mchana mweupe watu wamechoka na, kuburugwa mno.

Ila, pamoja na propaganda zenu ndani, ya chadema hakuna mpasuko wowote.
chadema inapauliwa na kinywaji tu....

unadhani ni kinywaji gani hicho pendwa sana chadema kuanzia na watoa matamko?πŸ’
 
gentleman,
kuhusu umoja au utengano ni dhahiri nitaeleza, nitashauri namna kwa wakati muafaka jambo hilo,

so, relax ,
na mambo ya kutega kunguru kwenye siasa hakuna kabisa πŸ’
 
Mbowe ni Mjanja sana, na muda si mrefu ujanja wake unaelekea ukingoni! Hoja zilizokuwa zinamsibu kuhusu matumizi ya pesa za chama chake amepata pa kupumulia! tayari wana CDM washasau kama kila mwaka wa uchaguzi unapoisha fedha zao zinalipa madeni yasiyoisha ambayo hayana kichwa wala Miguu, huku Makamanda wa ngazi za chini wakiendelea kupauka.
 
gentleman,
kuhusu umoja au utengano ni dhahiri nitaeleza, nitashauri namna kwa wakati muafaka jambo hilo,

so, relax ,
na mambo ya kutega kunguru kwenye siasa hakuna kabisa πŸ’

Kukusaidia zaidi:

"Maharage makavu hayawezi kuwa chambo kwa ndege yeyote."
 

CCM haitatolewa madarakani kwa kuishi kimachale machale.

CCM haitatolewa madarakani kupitia rules ilizoweka yenyewe.

Kwa hoja zako wamasai wote Ngorongoro wangekuwa leo Msomera.

CCM wanafurahishwa sana na unyonge kama huu unaouonyesha hapa.

CCM haitatolewa madarakani kinyonge.

CCM itasalimu amri itakapotambua "we mean business."

Economist, imhotep, JokaKuu, Zawadini na wale wapenzi wa Mungu au nasema uongo ndugu zangu?
 
Mpole sana, ccm haisikii lugha za upole no Kama quarter pin ya baiskeli ni nyundo tu ndo inaisikia
gentleman,
hebu elezea vizur hapo kwenye quarter pin ya baiskeli na nyundo mbona umenikumbusha mbali sana aise 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…