castieltsar
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,528
- 2,723
mboye anadelay kwenye kufanya maamuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni muhimu zaid akaondolewa kwa nguvu mara moja 🐒mboye anadelay kwenye kufanya maamuzi
na huo ndio msingi muhimu sana wa kujitegemea comrade 👊💪Mimi nasimamia kile ninachokiamini.
kua na utu na huruma walau kidogo na unaempendekeza achukua hatamu ingawa nami pia kwenye hoja ya msingi ndie nilie mpendekeza...Lakini tundu ni jasori lazima atawapeleka watu barabarani
Hakuna afadhali dogo
Ni sawa na kusema ukitemamoto ukimeza moto pia
Nadhani ccm mkubali tu kunyooka
Uchaguzi uwe fair mpoteze viti vingi
Na mkubali kumtanga raisi kutoka upinzani
Komesha mauaji na utekaji wananchi wanaenda kuwafurusha madarakani
Mwisho salama yenu ni kukubali katiba mpya mapema kabla Hali haijawa tete
nimeandaa uzi wa tar.23 tayari,Kwa hiyo Leo mpaka tarehe 23 tupate mwenyekiti wa mpito
Mbowe akae pembeni huu mziki hatauweza
zingatia hoja mahususi mezani gentleman,CCM anapofanya hot preemption.
Kwa hiyo mmefugundua namma ya kupata mnayopata?
Ya kwamba mmetega kunguru sasa kwa maharage makavu?
Ila msikonde tunajua bila Masai style hakuna unchunguzi huru, katiba mpya wala kupatikana waliotekwa!
Hadi hapo unasema he ndugu?
zingatia hoja mahususi mezani gentleman,
mengine andikia uzi maalumu itapendeza zaid 🐒
Endelea kushauri vyama vingine achana na chama letu CDMgentleman,
mtaalamu nashauri vyama vyote vya siasa nchini...
sio Lazima kuzingatia ushauri na mapendekezo yangu ni hiyari gentleman 🐒
chadema inapauliwa na kinywaji tu....Ccm kama kuna, kitu mnatakiwa kumshukuru Mungu ni Busara, na Hekima ya Mh Mbowe,
Siku Lisu akiwa Mwenyekiti kinawaka mchana mweupe watu wamechoka na, kuburugwa mno.
Ila, pamoja na propaganda zenu ndani, ya chadema hakuna mpasuko wowote.
sio Lazima kuzingatia uchauri wangu wa kitaalamu gentleman 🐒Endelea kushauri vyama vingine achana na chama letu CDM
gentleman,Nimezingatia hoja nzima ndugu mjumbe tokea Lumumba pale.
Ya Kwamba ni machozi ya croc siyo?
Tunajua mnachojidanganya ni kuwa hatuwajui.
Kwamba umoja wetu wowote ni mwiba mno Kwenu? Kwamba utengano wetu wowote ni faida mno kwenu?
Mnadhani hatujui?
Ninakazia:
Kunguru hategwi kwa maharage makavu!
sio Lazima kuzingatia uchauri wangu wa kitaalamu gentleman 🐒
gentleman,
kuhusu umoja au utengano ni dhahiri nitaeleza, nitashauri namna kwa wakati muafaka jambo hilo,
so, relax ,
na mambo ya kutega kunguru kwenye siasa hakuna kabisa 🐒
Mtego!
Mnatafuta sababu ya Msajili aifute CDM! Lissu ni tough sio mwanadiplomasia kama Mbowe. Kuna siku tutaamka watu wote wako barabarani. Ndiposa msajili atapuliza kipenga.
Mbowe amekwepa mishale mingi sana! Ni ngumu sana kufanya Siasa na CCM kwa muda mrefu kama mbowe bila kunaswa, unapaswa kuwa na akili nyingi sana, na busara nyingi sana.
Lissu huwa hachagui nyakati! atawabalasa wakati mbaya mkamchome ile sindano ya sumu aliyoahidi Heri james.
Kwa jinsi ilivyo ngumu kufanya siasa na CCM, mpinzani yeyote akigive up sote tunapaswa kumuelewa na kumtakia heri!
Nyie CCM wana hila! na wana hila mpya bado hata hawajaanza kuzitumia.
Tatizo mbowe anatumia Sana busara. Ilibidi jino kwa jino tuu.mambo ya upole yashapitwa na wakati
gentleman,Mpole sana, ccm haisikii lugha za upole no Kama quarter pin ya baiskeli ni nyundo tu ndo inaisikia