Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
muhimu zaid ni kumuombea afya njema tu gentleman 🐒Kwani hujui ni kwanini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muhimu zaid ni kumuombea afya njema tu gentleman 🐒Kwani hujui ni kwanini?
Lissu ni mgonjwa, facial appearance inaonyesha anaumwa, na kila mara anakimbilia ulaya kutibiwa. Uso umevimba vimba
Iwapo kama ni waununio sawa.nimefanya kazi na katibu mkuu balozi kwa muda mrefu sana...
chairman wa sasa,
hasa kwenye mkwamo huu ameperfom kiwango cha chini mno na anapaswa kuondolewa mara moja...
sio Lazima.
Infact,
mimi ni mwadiplomasia mwanasiasa mwandamizi huru mshauri wa masuala ya kisiasa vyama vyote tu sio chadema tu gentleman 🐒
nadhani ni umeijua chadema kupitia JF sio mimi gentleman,Mkuu nimejua chadema kupitia wewe, asante sana inaonekana ni chama imara sana.
Naona umenipangia gentleman 🤣nadhani ni umeijua chadema kupitia JF sio mimi gentleman,
maana JF ni shule iliyosheheni kila hitaji muhimu la manadamu timamu..
ukitaka kupata elimu, kuongeza uelewa, maarifa na ufahamu juu ya masuala ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa,
JF ndio university ya hayo yote,
hata hivyo nakushukuru kwa kunitambua tu, ila mimi sie, ni JF🐒
by the way who am I?
hapana,Wewe ni msemaji wa CHADEMA?
nimekueleza facts tu gentleman 🤣Naona umenipangia gentleman 🤣
elezea kwa kina kifupi kidogo gentleman kwa faida ya wadau 🐒Iwapo kama ni waununio sawa.
Wewe inakuhusu nini?.kiongozi alieko sasa ameonyesha kiwango cha chini sana cha kiuongozi katika kujikwamua kwenye mikwamo ya masula mbalimbali ya kitaifa na kimataifa kwa njia za kidemokrasia na kidipomasia...
badala yake ana hamasisha chuki kwa wananchi dhidi ya serikali yao ya kidemokrasia madarakani, na kuchochea wanachama wake kujiandaa kufanya vurugu na fujo na kufanya mapinduzi ya kiongozi aliechaguliwa na wananchi kidemokrasia, hali ambayo tayari imezua taharuki, wasiwasi na inahatarisha umoja, amani na utulivu wa wananchi humu nchini...
kama mwanadiplomasia mwandamizi mbobevu katika siasa za vyama vingi, kiongozi huyo wa Chadema anapaswa kuachia ngazi au kuondolewa mara moja uongozini, kwasababu amepoteza uhalali wa kiuongozi kitaifa na kimataifa, kwasabb ya kukiuka ustaarabu wa kidemokrasia, sheria za kitaifa na kimataifa, katika kufikia muafaka wa amani ikiwa kuna mkwamo wa kisiasa mahali flani na sio kutumia fujo, vurugu, uharibifu na pengine vifo kufikia suluhu ya mkwamo huo....
Napendekeza TUNDU ANTIPAS LISU makamu mwenyekiti taifa, kuchukua wadhifa huo maramoja, ili kuficha aibu na fedheha kubwa sana kwa chadema yenyewe, Demokrasia ya Tanzania na Taifa kwa ujumla,
kwa mtu mchochezi kama huyu mwenye record za kutumia umafia kupata uongozi, lakini pia mtu mwenye record za uhalifu kama vile ugaidi kutoa wito kwa mataifa ya ng'ambo kuja kufanya uchunguzi wa mambo ambayo yanawezekana kufanywa na vyombo vya ndani ya nchi yetu,
sambamba na kuomba hayo kwa mataifa ya nje, humu nchini anapanga mapinduzi yenye sura ya vurugu na umwagaji damu...
Hiyo ni aibu kwa chadema na Taifa kwa ujumla. kiongozi huyo aondolewe haraka sana kwa maoni yangu 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
mimi ni mwanadiplomasia na mwanasiasa mwandamizi huru, mshauri wa masuala ya siasa za vyama na taifa kwa ujumla 🐒Vipi tukupendekeze wewe mwenye uwezo?
inawahusu wanachadema na waTanzania wote wapenzi wa chadema na ili kuimarisha utendaji wa chadema na kurejesha kwenye misingi ya kuanzishwa kwake....Wewe inakuhusu nini?.
Muerevu ndio una sentensi moja tu yenye muhemko dah 🤣CCM wajinga kweli kweli
wako wapi hao hicho chama kinachojaribu kufitinisha wengine?CCM mnachojaribu kufanya ni kuwafitinisha na kuwachonganisha CHADEMA kupitia thread zenu za kijinga
akina nani hao na wanakwendra wapi ndio watafute pa kutokea?Naona bado mnatafita pa kutokea, chadema hivi chadema vile. Tatizo ni nini?
sure,Very truth, Tundu aiongoze chadema kwa sasa as chairman ⏬
sihitaji kuskizwa sasa gentleman, ispokua niko vizur makini na tayari sana kusikiliza wengine zaid..Wewe Fala Tu Nani atakusikiliza mjinga kama wewe